Unataka kujua na kusaidika, au unaweka msimamo wako. Kama lengo lako ni kujua, unaweza kuelezwa hatua kwa hatua kimaandiko juu ya hoja zako zote. Kama ni kuweka msimamo, itakuwa vigumu hata kama malaika ashuke akueleze.
1Timotheo 6:15-16 " .....yeye aliyehimidiwa Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana 16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, emekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa, wala hakuna mwanadamu aliyemuona wala awezaye kumuona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina"
Ili kuwasaidia wale wanaoweza kupotoshwa na bandiko lako,..
Walio wa Mungu ni wale waliouacha uovu, kama ukisoma mstari mzima 2Timotheo 2:19, imeandikwa "Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake, Na tena kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu"...
Hapo ndipo ulipoonesha kuwa hata ukipewa jibu hutaridhika, kwa sababu unaona bibilia inaingiza watu chaka, na wanaopeperusha watakujbu kwa mujibu wa bibilia.
Kwa namna nyingine naona hukuuliza kupata jibu ila kuonyesha itikadi yako ya kiimani dhidi ya bibilia na Israel.
Kuna hii baa ya La Patrona, karibu na kanisa la Katoliki, Nkuhungu, Dodoma. Iko vizuri kimazingira ila inatupa kero wakazi wa jirani. Inapiga mziki mnene kila siku kuanzia mida ya saa nne hivi hadi saa kumi hivi usiku, tena yupo na DJ anapiga kelele mno.
Kuna uzi uliletwa siku chache zilizopita...
Hata sasa wapo wanapiga, hawa jamaa huwa wanafungulia mziki sijui wanaenda kulala, si weekend si weekdays, hadi saa tisa kumi usiku bado ni kelele tu.
Viongozi wamefumbia macho.
Nikupe ushauri utakaomaliza shida yako, majini, mapepo na roho zote za shetani huwatesa watu pale wanapokuwa nauhalali. Dhambi humpa uhalali pepo kumtesa mtu.
Ukimwamini Yesu, unasamehewa dhambi zako na zaidi unapewa uwezo wa kuishi maisha matakatifu (uwezo wa kushinda dhambi).
Unapoombewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.