Search results

  1. B

    TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

    Taifa lipi? Labda kama lumumba nalo taifa.hakuna mwenye akili awezaye kuacha shughuli zake kumsikiliza huyo gaidi anayenuka damu za watz wasio na hatia.Jana nilikuwepo maeneo ya Kirumba Mwaloni na watu walikuwa bussy na shughuri zao kama kawaida.Sana sana tumeshuhudia malori yakiwa na watu...
  2. B

    Mwasiasa kijana Zitto Kabwe ahudhuria ibada ya Hijja

    itafika mahala hata akienda msalani mtakuja hapa kumwanzishia sredi ili mvune buku 7 toka kwa mazombi ya lumumba? Kwisha habari yake,ccm tafuteni mbinu nyingine!
  3. B

    Mwasiasa kijana Zitto Kabwe ahudhuria ibada ya Hijja

    Unahangaika bure,bwana wako zitto alishachuja kabaki mitandaoni tu,huku site raia walishamshitukia na kumuona mchumia tumbo tu!
  4. B

    Mwasiasa kijana Zitto Kabwe ahudhuria ibada ya Hijja

    Mtahangaika sana makuwadi wake,alishachuja kabaki kushabikiwa na misukule ya lumumba tu! Kwenda kwake huko inawahusu nini watz wengine wanaosubiri maisha bora waliyoahidiwa? Au kwenda kwake huko kutubu usaliti wake kutatuletea maisha bora? Pambafu sana!
  5. B

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Huu upumbafu na unafiki wa interahamwe peleka lumumba kwa misukule wenzio,hapa Dr Slaa ndiye habari ya mujini
  6. B

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Hawajitambui hawa misukule wa lumumba,wakiskia tu Dr Slaa mapepo yanawapanda.Watahara sana kwenye hii sred ili tu buku 7 iingie
  7. B

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Una akili ndogo sana na ndoi maana ulifukuzwa CDM kama mbwa koko.Kuna watu wanaumwa hayo magonjwa na tunakushangaa unapokuja hapa kuwabeza kana kwamba wewe hutaugua.Elimu uliyoipata haijakusaidia kitu zaidi ya kujipendekeza kwa wanaume na kupost ujinga ili uishi.
  8. B

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Unapoteza muda wako bure.Dr Slaa ndiyo habari ya mjini!
  9. B

    Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Uzuri misukule inazidi kupungua hapa Tz ndo maana hata hapa jf mnahesabika!
  10. B

    Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Jadili hoja na makosa ya kiandishi! Tunamtaka mzee wa gombe awepo
  11. B

    Wassira akacha mdahalo ulioandaliwa na ITV

    Acha kuweweseka bure,mwambie ajitokeze huyo mzee wa gombe kwenye mdaharo.
  12. B

    Namwonea huruma sana Mwigulu na CCM kwa kutumia nguvu nyingi akili kidogo

    Kweli ccm ipo taabani,Mdogo wangu aliyepo Magu kanitonya kuwa wameshuhudia vimbwanga vya kusomba watu kwa malori toka Bunda(malori yapatayo 4) kuwapeleka kwenye mkutano wa nchemba Kirumba.Ni aibu kwao na sielewi wanamdaa nani? CCM tulishaizika hapa Mwanza tunasubiri chaguzi tuwadhalilishe hawa...
  13. B

    Namwonea huruma sana Mwigulu na CCM kwa kutumia nguvu nyingi akili kidogo

    Kweli ccm ipo taabani,Mdogo wangu aliyepo Magu kanitonya kuwa wameshuhudia vimbwanga vya kusomba watu kwa malori toka Bunda(malori yapatayo 4) kuwapeleka kwenye mkutano wa nchemba Kirumba.Ni aibu kwao na sielewi wanamdaa nani?
  14. B

    ACT Msipojitathmini upya hamtakuwa tofauti na CHADEMA, CUF na NCCR MAGEUZI

    Act ni genge la wachumia tumbo ambalo litakufa kwa usaliti.Siku wakidhurumiana posho kutoka lumumba ,basi hili genge la wachumia tumbo litakufa!
  15. B

    CHADEMA imepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Buku 7 zimewapofusha akili aisee,kwa hiyo ccm hii isiyoweza hata kufanya mkutano bila kusomba watu vijijini na kuwalipa posho ndio inakubalika? Chema chajiuza kibaya chajitembeza.Muulize mwigulu akwambie ni gharama gani za kuandaa mkutano mmoja tu wa magamba? CDM imewafilisi huku yenyewe...
  16. B

    CHADEMA imepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Hivi kati ya CDM na CCM kipi kilichoishiwa sera na kukubalika? Ili ccm wafanye mkutano lazima wasombe watu kwa malori,walipe posho wahudhuriaji na wawape chakula bila kusahau burudani mithili ya FIESTA ili hali CDM wananchi wanahudhuria mikutano yao kwa mapenzi yao na gharama zao.Sasa kama una...
  17. B

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Unasumbuliwa na mapepo hata hujielewi!
  18. B

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Jamani mliopo huko tunaomba updates!
  19. B

    Dr Slaa kuunguruma leo Dar!

    Safi sana Dr Slaa rais wetu ajaye wa JMT.Mungu akupe maisha marefu uwatumikie watz.
Back
Top Bottom