Search results

  1. C

    Walimu wataka Waziri awajibike wizi wa malipo kwa walimu hewa

    Yesu akiwa chini ya ulinzi huku picha ndogo ikionyesha mmoja wa majeruhi akipandishwa kwenye ambulansi. Thursday, June 04, 2009 5:05 AM Jamaa mmoja wa Marekani anayejiita Yesu Kristo amewaua watu wawili na kujeruhi watu saba wakati alipovurumusha risasi kwenye chumba cha wanawake wanaosubiria...
  2. C

    Type of suprise for engegement ring

    Nawashukuru sana kwa kunipa ushauri wenu. Naomba msubiri nitawaeleza zoezi hilo liliendaje? Ila nitawakaribisha kwenye harusi naomba mnipe subira kidogo. AVACHE SANA
  3. C

    Type of suprise for engegement ring

    Hata mimi nilikuwa nawazo hilo but kwa stail ipi? Namwita mbele za watu au tunaenda kona au inakuwaje hapo mtu wangu?
  4. C

    Type of suprise for engegement ring

    Jamani wana Jamii naombeni mnisaidie ili niweze kumaliza zoezi hili. mwezangu ananiambia pete ya uchumba huwa inavalishwa kwa kushtukiziwa na sio inavalishwa kama pete ya ndoa au nyinginezo. Nimejaribu kumuomba na yeye atafute ili tuchague moa wapo. Na mimi nemeona ngoja nitafute kwa wanajamii...
  5. C

    Type of suprise for engegement ring

    Nashukuru sana kwa wazo lako sio baya but tatizo hapo ni mtoto wa geti kali so hilo zoezi linaugumu wake. Yaani nachotaka kukifanya kisiwe siri kwa watu baki ila kwake ndio kiwe siri. Wadau naombeni mnisaidie maana siku ndizo hizo zina karibia, Na pete iko kwa sonara
  6. C

    Type of suprise for engegement ring

    Salamu waheshimiwa na wachangia hoja katika JAMII FORUM na kwingineko. Kwa kifupi nategemea kumvisha mchumba wangu pete ya uchumba hivi karibu kwa hiyo naomba mnisaidie hizo aina/tendo hilo kwa ajili ya kumfanya na yeye ashangazwe na hilo jambo maana si wote huwa wanavalishwa pete ya uchumba...
  7. C

    Wanawake Hawapendi nini?

    Salamu waheshimiwa na wachangia hoja katika JAMII FORUM na kwingineko. Kwa kifupi nategemea kumvisha mchumba wangu pete ya uchumba hivi karibu kwa hiyo naomba mnisaidie hizo aina/tendo hilo kwa ajili ya kumfanya na yeye ashangazwe na hilo jambo maana si wote huwa wanavalishwa pete ya uchumba...
  8. C

    Wanawake Hawapendi nini?

    TYPE OF SUPRISE FOR ENGEGEMENT RING Salamu waheshimiwa na wachangia hoja katika JAMII FORUM na kwingineko. Kwa kifupi nategemea kumvisha mchumba wangu pete ya uchumba hivi karibu kwa hiyo naomba mnisaidie hizo aina/tendo hilo kwa ajili ya kumfanya na yeye ashangazwe na hilo jambo maana si wote...
Back
Top Bottom