Search results

  1. Baridijr

    Msaada kuhusu Elimu yangu!!

    Mkuu hiyo siyo issue kubwa kwa ninavyojua mimi unakuwa tu kwenye level ya mwisho so hapo upo kwenye level ya AD, ila kwa wanaojua zaidi watakusaidia
  2. Baridijr

    Kwanini iendelee kuwa Quality Plaza hata baada ya kuuzwa?

    kaaaazi kweli, ukitaka kufuatilia hii nchi unaweza ukajikuta umepoteza uhai wako bure
  3. Baridijr

    Wandamba mpo?

    Asanteni kwa kuja
  4. Baridijr

    Wandamba mpo?

    jamani wa mofu mpo
  5. Baridijr

    Lowassa, Rostam waumbuana

    kazi ipo ila kuna siku mafisadi watapotea kama upepo, lkn tujiulize je hatuwezi? Kama tunaweza kwanini hatufanyi, mafisadi tunawachagua wenyewe kwa hiyari bila kulazimishwa, na tuseme basi inatosha kwa kuwanyima kura, Mungu ibariki JF Mungu ibariki Tz
  6. Baridijr

    Lowassa, Rostam waumbuana

    jamani huyu Lowassa anataka kuwa nani kwenye nchi hii, hiyo heshima aliyopewa ya kuwa pm wa muda si inamtosha
  7. Baridijr

    Eti mama ndani kwetu kuna daladala?

    kaaaaaaaaaazi kwekweli
  8. Baridijr

    Ajali ya Treni ya TRL yatokea Morogoro

    poleni ndugu zetu, ila na nyie wahindi kama mmeshindwa si muondoke kwani hela mlizochukua si zinatosha
  9. Baridijr

    Serikali inalogeka?

    Ndugu zangu wana JF naombeni msaada wenu kidogo, wakati nipo mdogo kule kijijini niliwahi kusikia kuwa serikali hairogeki nikakubaliana nao, lakini jinsi hali ilivyo hapa tz naanza kuamini kuwa kuna watu wameiloga serikali hadi haielewi majukumu yake kwa raia, kwa sababu mfano rahisi niliwahi...
  10. Baridijr

    Serikali kama haipo au haipo kabisa?

    kwa jinsi wananchi walivyo kosa imani na hii serikali ya JK nahisi watanzania watakuwa na furaha na amani ya kweli iwapo tu wataambiwa serikari imejiuzuru licha haipo
  11. Baridijr

    Lowassa, Rostam waumbuana

    Kama bunge litashindwa kufikia maamuzi sahihi kwa hawa mafisadi lazima wananchi tuwaadhibu kama wahujumu uchumi, haiwezekani wabunge wanatumia hela nyingi za wapigakura halafu ukweli unapatikana watu hao hao wanawatetea wezi, hii nchi imeimekosa nini kwa Mungu hadi viongozi tunaowategemea...
  12. Baridijr

    Tanzania tuendapo

    Je, Dr Mwakyembe angetoa ripoti kamili kuhusu mkataba wa Richmond yanayotokea leo hapa nchini yangekua
  13. Baridijr

    Internet bunndles

    ila hata tz especially town centre kuna watu kama bol hawa jamaa wanatoa unlimited internet acces so jaribu hawa jamaa wapo poa sana
  14. Baridijr

    Hard Disks

    ila issue inakuja tangu chinese walipoanza kutuletea hdd mbovu ambazo wanakupa warranty siku 21, chochote ufanyacho hakisaidii mkuu ila mada nzuri inaeleweka na nimekuelewa sana
  15. Baridijr

    Mwalimu Afungwa Maisha Kwa Kulawiti

    haki imetendeka ila na watu wawe na huruma kwa sababu wengi wamehukumiwa vifungo kama hivyo lkn bado matukio hayo yapo
  16. Baridijr

    Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi

    hilo linawezekana wakuu na kuna tetesi Datoo anaenda new habari ila tusubiri tuone
  17. Baridijr

    Dr. Shein kuelekea 2015...

    heshima yake iko juu sana kuliko kiongozi yoyote kwa tz
  18. Baridijr

    Lwekatare wa CUF kuhamia CHADEMA

    hiyo ni sawa lkn chaguo sahii kwa uchaguzi wa 2010 ni ccm
  19. Baridijr

    Nataka kadi ya CCM rasmi

    karibu ccm
  20. Baridijr

    Moto mkubwa katika kituo cha Bamaga

    ila watanzania kama kawaida yetu, wamejaa sana kushuhudia watakavyo lipuka na mitungi ya gesi ni hatari kwakweli
Back
Top Bottom