Search results

  1. The Black

    Ni jinsi gani ya kufanya udahili NACTE??

    hellow jaman, naomben msaada wenu ni njia gan au ni utaratibu upi wanaoutumia nacte kufanya udaili wa wanaafunzi kwa mwaka wa masomo 2018/2019,kwa ngazi ya cheti na diploma?? Na pia lini mwisho wa maombi hayoo??
  2. The Black

    Kilio cha wanafunzi hawa kwa umma

    [emoji95][emoji95]KILIO CHETU[emoji95][emoji95] *Ujumbe huu uufikie umma.* Mnamo tar 19/02/2016 Serikali kupitia Tume ya vyuo vikuu (TCU) ili vifungia vyuo vikuu vishiriki vya Mt Joseph tawi la Songea na Arusha wanafunzi hao walihamishiwa katika vyuo vikuu tofauti ikiwemo Chuo kikuu cha...
  3. The Black

    Herbal Clinic iko sehemu gani Dodoma?

    Kuna clinic moja nilishawah kusikia inaitwa Herbal Clinic inatibu magonjwa sugu ikiwemo na fangasi. Kama kuna mtu anajua ilipo hapa Dodoma anisaidie ili nikatibiwe, hata mwenye namba zao za simu aniPM.
  4. The Black

    Mashine za kukoboa mahindi na kusaga

    Jamani habari zenu.. naomba kuuliza bei za mashine ya kukoboa na kusaga na zipi ni ainaa nzuri zinazodumu??
Back
Top Bottom