Search results

  1. M

    Kashfa Kubwa Simba SC! Evans Aveva jiuzuru upesi

    Yanga acheni kuweweseka! Subirini dawa iingie Jumapili!
  2. M

    WACHAKA wa kioso mwifooo!

    Nyen ngiwukye Umbwe alya kwa Rafaeli! Nanto Mbe!
  3. M

    GOOD NEWS: Ni Emmanuel OKWI ndani ya YANGA, asaini Miaka Miwili.

    Acheni kudanganyana, Okwi si mchezaji wa Sports Club Villa; Okwi bado ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel! Labda kama mnapenda kufurahishana kishabiki!
  4. M

    Mapunda Apindukia Simba -Picha

    Nahisi 5-0 zitarudi kipindi hiki cha Berko na Mapunda. Simba watasingizia kuwa hawa makipa ni Yanga damu, kwa kuanzia tunawashona 4-0 kwenye mechi ya 'Nani Mtani Jembe'. Ndoto za mchana!
  5. M

    Natamani sana nikututane na "Madame X"

    Aaah MadameX......Mhhhhhh!!!!!!!!!
  6. M

    MH. SELASINI safisha hapa JIMBONI mwako...

    Kwanini Kili Water isikae na wateja wake na kuondoa tofauti zilizopo? Majadiliano yataleta suluhu na itakuwa ni faida kwa maendeleo ya Rombo na taifa kwa ujumla.
  7. M

    Nini Dawa ya Ushoga?

    Ndugu Mungu ni mwaminifu hashindwi na lolote kwa imani yako Muombe kwa dhati kabisa atamponya nina hakika.
  8. M

    etv Ndani ya TBC

    Afadhali maana DSTV kweli ni ghali! Hivi fibre optic haisadii kupunguza gharama za akina DSTV?
  9. M

    Utamsamehee nani kati ya huyu mke!!

    Wote kuwasamehe inawezekana, ila la kumkamata mkeo live 'anamegwa' kumsamehe yataka moyo Waugwana!
  10. M

    Habari zenu wana jf?

    Mwanachama mpya, nafurahi kuwa nanyi ili tuelimishane.
Back
Top Bottom