Search results

  1. M

    Nyumba ya kununua karibia ya Serengeti National Park

    Geti la kuingilia Serengeti National Park? Kwa Jiografia niliyosoma miaka mingi iliyopita, kuna Mageti kadhaa ya kuingilia SNP.
  2. M

    Natafuta Nyumba za NHC za kupanga

    Akupigie "Punda wa Dobi"?? anyway, haishangazi" ally = mohamed =??
  3. M

    Natafuta Nyumba za NHC za kupanga

    Jamii Forum ndio imefika huku?
  4. M

    Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

    Hapo ndipo huwa sikubaliani napo. Tena hapo ndio huwa sipapendi, huwa napinga! Ni umbumbumbu kumshauri mtoto/kijana kwenda kusoma ili aajiriwe. Tanzania tunahitaji Wajasiriamali. Tunahitaji watu wenye nia na uwezo wa kujiajiri, sio watu wa kukimbilia kuajiriwa. Hivyo Kijana anatakiwa ashauriwe...
  5. M

    Remembering "Prophet" Robert Nesta Marley: The World/We Celebrate his 70th Birthday!!

    Rest in Peace, Bob. You'd have been 70 today! Nearly 34 years on, the World is still enjoying your hits of protest, social justice, fighting the power and, of course, love: 1. "Simmer Down," 1962 2. "Concrete Jungle," 1973 (qoute .... "No chains around my feet/But I'm not free/I know I am...
  6. M

    Nimelima alizeti zimesombwa na mvua heka 20

    Sio suala la Kuwait "careless", Mkuu Mzungu! Unafahamu ni karaha kiasi gani na rushwa kiasi gani inayodaiwa kwa Mwenye Bima hadi alipwe fidia hapa Tanzania? Unafahamu inagharimu kiasi gani kufuatia fidia hadi ilipwe? Ni Shirika gani la Bima Mashambani kama sio wote wamerundikana kwenye Mijini...
  7. M

    Nimelima alizeti zimesombwa na mvua heka 20

    Wazungu wanamsemo: "When the going gets tough, the tough gets going"! Mwanamuziki maarufu wa Marekani alicheza Sinema inayoitwa "Get Rich or Die Trying"! Kama mafanikio yangekuwa yanakuja kirahisi bila changamoto, nyingine zikiwa nzito za kukatisha tamaa, hakyanani nisingekuwa naposti...
  8. M

    Tanzania inaongoza kwa kuwa na sikukuu nyingi kwa nchi za maziwa makuu

    Asante kwa "News Alert!". Umaskini wa Tanzania unachangiwa na mambo likiwemo hili la Mtanzania kutafuta Kalenda za Nchi 10 na kuhesabu idadi ya Sikukuu badala ya kufanya Kazi yenye Tija kwa Taifa! Halafu tangu lini Afrika Kusini, Botswana, Zimbabwe, Msumbiji, Swaziland zikawa Nchi za Maziwa...
  9. M

    Inakuwaje wanafunzi warudishwe nyumbani kwa kutokuwa na saa za mkononi ?

    Mwanangu yuko Darasa la Tano. Saa ya Mkononi ni sehemu ya mavazi yake. Sio kwa ajili ya maandalizi ya Mitihani ya Kidato cha Nne kama ambavyo Mwanao anashurutishwa avae, bali ni kumjengea Mtoto hurka ya "Time Management" tangu akiwa mtoto, jambo ambalo kwa Watanzania ni "Janga la Taifa"! Suala...
  10. M

    Fahamu kuhusu vicoba na namna ya kupata usajili wa vikundi hivi vidogovidogo

    Kufuga na kusindika Nyama? Mradi mkubwa huo, lazima TFDA, TBS, BRELA, nk. uwaonemo!
  11. M

    Welcome to Nairobi’s sky restaurants, bars, Kenya

    ... Majukwaa ya Wakenya "Kenya Forums" yamejaa hadi kuleta huu utumbo huku?
  12. M

    Man suspected of Cardiff murder arrested in Tanzania

    Wewe lazima ni genius, umejuaje?
  13. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mkuu, huna haja ya kuhangaika. Ufugaji wa Nguruwe ni moja ya Miradi iliyokwisha dadavuliwa kwa kina na Wataalamu na wasio Wataalamu hapa hapa jamvini siku za nyuma. Wewe tafuta Uzi wa Ufugaji wa Nguruwe na utapata nondo za uhakika, ushuhuda wa waliofanya wakanufaika na hata maoni ya wanafiki...
  14. M

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Anataka kujua jamaa yuko wapi ili "akam-Charlie Hebdo"!
  15. M

    Wamasai wanted Morogoro mjini

    Nyongeza na marekebisho kidogo: watatakiwa kuvaa Vibaragashia, kanzu na malapa!
  16. M

    What Has Gone Wrong in Catholic Seminaries?

    Narrow mindedness + Inferiority Complexity = St*pid Evaluation
  17. M

    Tightening Cream

    Dah! Bonge ya dili!
Back
Top Bottom