Search results

  1. Magnificient

    Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

    Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala. Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya...
  2. Magnificient

    Mbinu ya kujiwekea uwezekano mkubwa wa kupata unachokitaka

    Chochote unachokitaka kwenye hii dunia unaweza kukipata kutoka kwa watu. Kiwe kikubwa, kiwe kidogo; iwe watu wengi, au watu wachache. Cha muhimu ni kujenga mazingira yatakayofanya wakupe “wewe” na/au waendelee kukupa tena na tena. Kwa miaka yote niliyofanya kazi katika taasisi kubwa za serikali...
  3. Magnificient

    Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

    Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu? Aaahhh tuachane na huu msemo bhana
  4. Magnificient

    Kiungulia

    Tumboni kwetu kuna kemikali kali ambayo ina uwezo wa kuunguza ngozi, msumali, sakafu, karatasi na kadhalika kama ambavyo unaona mtu akiwa amemwagiwa maji ya betri (Asidi ya salfyuriki). Kemikali hii ni asidi, na hujulikana kama asidi ya haidrokloriki (Kwa kiingereza huitwa Hydrochloric Acid)...
  5. Magnificient

    Sitahamisha tena pesa kutoka Tigopesa kwenda Bank!

    Nimechoka. Yaani nasema nimechoka. Unless otherwise wapitie upya makato yao na kuweka gharama zenye mashiko, vinginevyo nitasafiri hata umbali mrefu kwenda kuweka pesa kwa wakala wa benki au benki kwenyewe. Kuhamisha pesa Tsh 120,000/= kutoka Tigopesa kwenda benki wanakata Tsh 3,600/=? Na VAT...
  6. Magnificient

    Ni kweli "An apple a day keeps a doctor away"? Maana siioni wizara ya afya ikihamasisha watu kula apples

    Kibongobongo apple moja sasa linasimamia Tsh 800-1,000! Yakilala au kubondeka utayapata kwa Tsh 600-700; na ukienda yale maeneo ya maisha mazuri (Mbagala, Buguruni, Tandale, Gongo la mboto, Bunju nk) huko hadi apple la Tsh 500 utapata. Achjlia mbali yale ma apple ya kutoka Tanga wanayouza kwa...
  7. Magnificient

    Jinsi wazungu, wahindi na wachina wanavyokuja Bongo mikono mitupu na kuondoka na mamillioni

    Kwanza kabisa nianze kwa kupongeza mfumo wa maisha na utaratibu wa wenzetu hususan watu wa Ulaya, Marekani, China na India kuweza kuanzisha, kusimamia na kuendeleza biashara za ndani na nje ya nchi zao na kuweza kumiliki biashara popote duniani. Mfumo wao na mazingira yao husaidia sana kuchochea...
  8. Magnificient

    Wanaume hatutamsahau aliyeleta make-up na Booster

    No way. Yaani no way kabisa! Ukiachilia mbali aliyegundua sindano za kunenepesha kuku na ng’ombe pamoja na wale wa GMO waliotuletea nyanya zenye uzito wa robo kilo na ukubwa kama chungwa sisi wanaume tunalia na aliyegundua make up na booster. Wanaume tunaibiwa, wanaume tunadanganywa mchana...
  9. Magnificient

    Tabia ya walinzi kuombaomba hela

    Nawasalimu wakuu wote wa JF! Binafsi najua kwamba kusaidiana na kupozana ni kitu cha msingi, hususan kunapokuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Kwa upande wa watu hawa imekuwa mazoea na inanipa mashaka kidogo maana muda mwingine hufanya kama ni haki yao kupewa hela na kutamani unapokuwa unatoka...
  10. Magnificient

    Karibu katika Mkutano wa Afya ya Jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa na vipodozi

    MKUTANO WA AFYA YA JAMII KUHUSU MATUMIZI SAHIHI YA DAWA NA VIPODOZI (AFYA, DAWA, UZURI, UREMBO NA VIPODOZI) AGENDA MAMBO YA MSINGI ILI KUWA NA AFYA NJEMA KUWA NA UZURI NA UREMBO UNAOTAKA BILA KUDHURU MWILI MATUMIZI SAHIHI YA DAWA NA VIPODOZI VIPODOZI VISIVYO SALAMA NA...
  11. Magnificient

    Kama hauna kazi wala mtaji unaweza kujiongeza kimtindo huu

    Kwema wakuu? Naona tatizo la ajira na mitaji bado linayakabili maisha ya watu wengi sana; hususan "wasomi". Sasa mimi nina msaada mmoja tu - USHAURI. Ukikusaidia wasaidie na wenzako. UKISHINDWA KUANZISHA BIASHARA YAKO BASI SAIDIA BIASHARA NA MAISHA YA MWENZAKO. NAYE ATAKUSAIDIA CHOCHOTE...
  12. Magnificient

    Tatizo la usugu wa magonjwa na jinsi ya kukabiliana nalo

    TATIZO LA MAGONJWA SUGU NA JINSI YA KUZUIA USUGU IMEANDIKWA NA: S&E HEALTH SOLUTIONS WATAALAM NA WASHAURI WA AFYA, UREMBO NA VIPODOZI UTANGULIZI Umewahi kusikia kuhusu Malaria sugu? Maambukizi katika nia ya mkojo (U.T.I.) sugu? Homa ya matumbo...
  13. Magnificient

    Nafasi za kazi S&E Health Solutions

    S&E HEALTH SOLUTIONS ni project inayojishughulisha na utoaji wa elimu na ushauri wa Afya, Urembo Na Vipodozi kwa jamii zote za Tanzania . Kwa sasa inahitaji wasichana watatu (3) kwa ajili ya kusaidia kusambaza matangazo, kuelimisha jamii, kuendesha shughuli za mradi na kufikia wateja wengi...
  14. Magnificient

    Pata ushauri wa Afya na kuondokana na matatizo yote ya Afya, Uzuri na Vipodozi

    S&E HEALTH SOLUTIONS ni wataalam na washauri wa Afya, Urembo Na Vipodozi. Tunasaidia watu kuwa na afya njema na kuondokana na matatizo yote ya Afya , Uzuri, Urembo Na Vipodozi. Magonjwa l Matatizo ya ngozi l Harufu mbaya l Chunusi l Makunyanzi l Michirizi l Mba l Ngozi kavu l Mafuta mengi...
  15. Magnificient

    Vipodozi visivyo salama na madhara yake - Sehemu ya Kwanza

    VIPODOZI VISIVYO SALAMA NA MADHARA YAKE SEMINA HII IMEANDALIWA NA KULETWA KWAKO NA: S&E HEALTH SOLUTIONS; WATAALAM NA WASHAURI WA AFYA, UREMBO NA VIPODOZI ILALA BUNGONI, DAR ES SALAAM 0659 528 724 , 0784 082 847 SEHEMU YA KWANZA 1.0 UTANGULIZI Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo...
  16. Magnificient

    Vipodozi visivyo salama na madhara yake : Semina ya bure - 05/06/2016

    Habari zenu rafiki zangu wa Jf! Naomba mkae mkao wa kula kwa ajili ya somo muhimu sana juu ya vipodozi visivyo salama. Somo hili ni la bure na litatolewa online kupitia JamiiForums, Facebook (Ukurasa wa S&E HEALTH SOLUTIONS) na whatsapp kupitia namba 0659528724, group litakuwa VIPODOZI VISIVYO...
  17. Magnificient

    Kutibu na kuzuia tatizo la ngozi kavu

    TATIZO LA NGOZI KAVU Somo hili limeletwa kwako na: S&E BEAUTY SOLUTIONS WATAALAM NA WASHAURI WA AFYA, NGOZI NA VIPODOZI 0 659 528 724 , 0 784 082 847 Facebook : S&E BEAUTY SOLUTIONS Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Inafanya kazi mbalimbali kama vile kuulinda mwili...
  18. Magnificient

    Mafuta mengi usoni : Jua jinsi ya kukabiliana na kuishi nayo

    TATIZO LA MAFUTA MENGI USONI Habari rafiki! Karibu leo tuzungumzie tatizo la mafuta mengi usoni. Mafuta ni moja kati ya vitu muhimu sana katika ngozi zetu. Na chini ya ngozi zetu (ndani ya mwili) kuna mafuta mengi yamehifadhiwa na pia kuna seli ambazo kazi yake kubwa ni kutoa haya mafuta. Mafuta...
  19. Magnificient

    Pata ushauri wa uzuri, urembo na vipodozi uwe unavyotaka

    Pata ushauri, elimu na huduma za uzuri, urembo na vipodozi ili uweze kukidhi mahitaji yako yoyote na kuondoa matatizo yote yanayokabili muonekano na harufu ya mwili na ngozi yako na uwe unavyotaka. Tunahudumia mtu yeyote, mahali popote Tanzania. #Chunusi, Mba, Mvi, Makunyanzi, Michirizi, Madoa...
  20. Magnificient

    Ushauri wa vipodozi na kujipendezesha kwa wanawake na wanaume

    Usipate shida tena pale unapohitaji kuondoa tatizo lolote linalokwaza muonekano au uzuri wako, pata ushauri na bidhaa bora, salama na zenye ufanisi mkubwa kutoka kwa wataalam wa vipodozi na afya yako. Wasiliana na wataalam wa urembo na vipodozi, pata ushauri na matokeo unayoyataka S&E BEAUTY...
Back
Top Bottom