Search results

  1. Magnificient

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Wanakuwa na mafua
  2. Magnificient

    Hivi ni vidonge GANI?

    Angalau mpenzi wako anatumia dawa...... Mpe hongera na mwambie ajitahidi kuzingatia matumizi sahihi
  3. Magnificient

    Aina za link

    Maelezo yako kwa kiasi kikubwa ni uongo.
  4. Magnificient

    Namna ya kuishi kwa kipato cha chini ya Tsh. 330,000/- kwa mwezi

    Utabana na bado maisha yatakupiga tobo kwa kipato hicho pekee. Hapo jitahidi zaidi kuongeza kipato kuliko kubana matumizi. Fanya kazi za ziada kazini kwenu, fanya kazi nje ya kazini kwenu, fanya biashara na kadhalika. Vinginevyo hakuna kitu. Wazazi wako wataishije kwa hiyo Tsh 40,000 kwa mwezi...
  5. Magnificient

    Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

    Kwa wewe mwanamke na mtaji huo unaweza kupoint nguo na kuuza kwa watu wenye hela (People With Money). Nunua viguo vya Tsh 300,000 hadi Tsh 500,000 vya kuanzia then pesa nyingine iwe akiba na bajeti ya promosheni na matangazo. USIKOPESHE MTU, HATA MAMA YAKO ALIYEKUPA HUO MTAJI. Usijistress sana...
  6. Magnificient

    Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

    Millioni moja miezi miwili? Unakaa hostel? Anyway, karibu JamiiForums. Kijiwe cha matajiri. Kutengeneza Tsh 200,000 kwa siku njia kubwa sana ni janjajanja tu na dili za udalali. Kama hauna aibu wewe saidia kwenye udadali au mauzo kisha top up cha kwako then mshawishi mteja alipie fasta...
  7. Magnificient

    Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

    Au kuipoteza yote ndani ya siku moja ni kama kutema maji tu 🤣🤣🤣
  8. Magnificient

    Ticket za Abood za usafirishaji mizigo zinamuumiza mtumaji

    Huo ni utaratibu wa mabasi yote sio Abood tu. Mimi siipendi kabisa sheria hiyo
  9. Magnificient

    Kwanini Umiliki Biashara badala ya kumiliki mfumo wa kibiashara?

    Kwa sasa mleta mada hujui business model ni nini. Kwa kifupi ni kwamba business model ni namna gani biashara yako inaleta thamani kwa wateja na kukupa mapato na faida. Mifano rahisi sana ni: 1. Utengenezaji (na Uuzaji) wa bidhaa 2. Usambazaji wa bidhaa 3. Uuzaji wa bidhaa kwa bei ya jumla 4...
  10. Magnificient

    Ada ya kutuma Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda Equity bank ni Tsh 5,000. Tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

    Leo kutokana na hizi mvua pamoja na kuwahisha pesa kwenye akaunti nikaona nihamishe Tsh 80,000 kutoka Tigopesa kwenda akaunti yangu ya benki, Equity Bank. Mweeeeeee...! Nakuta ada ni Tsh 5,000 kwa hako ka muamala. Hivi mbona ni kama hatuko serious na mapinduzi ya kiteknolojia? Moja kati ya...
  11. Magnificient

    Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

    Bagamoyo imekuwaje tena? Hakuna mkwanja kivipi yaani? 1. Utalii 2. Uvuvi/Samaki 3. Kilimo 4. Viwanda 5. Ukaribu na Dar es salaam 6. Hoteli 7. Heritage site(s) - UNICEF What is not happening?
  12. Magnificient

    "Wazo zuri, ila kampuni haina budget"

    Tafuta mtaji uifanye ndoto yako iwe kweli. Vinginevyo makampuni mengi yanafocus na primary objective yao na plan ya miaka 3, 5, 10 nk
  13. Magnificient

    Finally naanza upya maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni nina laki 8 tuu

    Daahhhh nikiangalia jinsi ambavyo nikishika Millioni 1 inavyoyayuka kama barafu ndani ya wiki 3 hadi 4 wewe hiyo laki 8 nakuonea huruma kwa kweli. Ila kwa kuwa wewe sio mimi na mimi sio wewe basi nakuombea dua ikidhi mahitaji ya mwanzo wako wa maisha. Nakutakia kila la kheri! Sasa kwa...
  14. Magnificient

    Brand hizi zinatamba miaka nenda rudi, kuna nini nyuma ya pazia?

    Factor kubwa sana ni bidhaa kujiuza yenyewe pamoja na distribution nzuri
  15. Magnificient

    Chawa wameniandama

    Kwa hao wa mwilini nenda hospitali onana na daktari atakushauri utumie dawa inaitwa Scaboma Lotion/Cream. Then wale wa kwenye nguo na mazingira mengine tumia sumu ya wadudu wanaoruka na wanaotambaa au piga maji ya moto yaliyochemka kabisaaaaa.......
  16. Magnificient

    IMF yakadiria uchumi wa dunia utakua kwa asilimia 5.5 mwaka huu

    Mwanzo hiyo IMF niliona kama IFM. Nilikuwa excited sana....
  17. Magnificient

    Afrika tunatia aibu kutokuwa na uwezo wa kutengeneza dawa

    Jamani eeehhhh kutengeneza dawa sio kupika visheti. Waacheni watu walio na mitaji serious watafanya hiyo kazi, sisi tutaendelea kununua hivi hivi. Kwanza mtaji wa kutosha kumeet standards (Good Manufacturing Practice/GMP) ni mkubwa sana. Waafrika wengi hawana umoja na kuorganize serious...
  18. Magnificient

    Changamoto za madereva na abiria wa Uber na Bolt. Tupia yako

    Ni Uber. I am talking from experience
Back
Top Bottom