Search results

  1. Mjamii

    Ushauri: Mpenzi wangu akipost picha za rafiki zake wa kike status naumia sana

    Nawewe post za rafiki zako wa kiume Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  2. Mjamii

    Najuta kuoa

    Muulize kama wewe ni kaka yake au mjomba wake. Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  3. Mjamii

    Ex wako aliondoka na kitu gani chako unachotamani akurudishie

    Unavyosema ameondoka na moyo wako hiyo damu ingesukumwa na nini? Usingekuwa kuwa hai Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  4. Mjamii

    Naomba kufafanuliwa namna urithi wa mali za Dkt. Reginald Mengi utakavyokuwa

    Mimi binafsi naamini suala la mirathi kila mmoja ana maamuzi ya nani ampe nini. Kwa hiyo hakuna sheria iliyo iliyombana au itakayombana mtu kumuandikia mtu au kikundi fulani urithi. Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  5. Mjamii

    Paul Makonda ni mkweli, jasiri na asiyependa unafiki.

    Si mbali ni karibu Avaaye atakuwa kama avuaye!
  6. Mjamii

    Rais Dkt. Magufuli unataka ‘ Uthibitisho ‘ gani tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Ndugu Makonda ni ‘ Bomu ‘ hatari unalolifuga?

    Gentamycine! Sikumbuki ni lini umewahi kuandika kitu cha kufundisha kama hiki hongera!
  7. Mjamii

    Kwanini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hatelezi?

    Huwa hatumii miemuko au kutaka kusifiwa wakati anapotekeleza kazi zake
  8. Mjamii

    KKKT Mna tamaa sana na hela , ona waliyoyafanya na Mzee Mengi

    Nadhani ungeuliza kwenye vyanzo sahihi kwanza kama Bado Mengi na marehemu Bado walikuwa katika ndoa!
  9. Mjamii

    Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

    Njaa mbaya! Kutwa kuchwa huku Tz Alikuwa habanduki Kwa wachungaji! Aliemroga kamwambia joshua ndo nabii! Kaumia!
  10. Mjamii

    Nipo maeneo ya TAZARA natembea kifua mbele

    Ah haaa! Mbavu zangu Mie!
  11. Mjamii

    Nipo maeneo ya TAZARA natembea kifua mbele

    Ona! Wale wale wa kusifia mtu badala ya kuangalia kilichokuwa mezani! Mbona hausifii uwanja wa ndege wa chato? Huyo ndo haukuwepo kwenye mpango kazi wa taifa! Fly over ilikuwepo siku nyingi
  12. Mjamii

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Katika televisheni yenye kuboa ni yenu! Mnakumbusha TV za kichina enzi za Mao the tung!. Mnasifia tu hamuoneshi changamoto nyingine za upande wa pili. Mfano Hivi hiyo TBC ni ya chama tawala?. Je mkionesha Sera za vyama vingine mtaugua? Acheni ushamba wa karne ya 47! Hata Nyerere alipinga wazo la...
  13. Mjamii

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Jibu ni la mwisho!
  14. Mjamii

    Sheria za Mitandao: Nimedokezwa mahala kuwa Mtandao unaolengwa ni JamiiForums

    MUNGU ni mwema na hana hila! Sioni kama humu tunavyoandika bila hila tutashindwa na shaitwan
Back
Top Bottom