Search results

  1. Blackmamba

    Guinea Bissau Candidate Shot Dead

    African Politics are full of ****
  2. Blackmamba

    January Makamba: A New Generation Leader!

    Nawe mwenzako si ameuliza tu ni kiasi cha kumuelewesha? Kwani amekosea kujua Makamba ni nani? Mimi pia sijasikia kama vijana wenzake wanambania, imekuwaje? Haya huyo hapo: TUPE YA OBAMA
  3. Blackmamba

    Nimechanganyikwa jamani msaada!

    You know mpaka mtu ana fight kukutoa Africa ng'ambo ujue pana kipengele hapo, ukizingatia nchi hizo zinavyobana kuachia njia kwa urahisi kwa mweusi kupita. Sasa ninarudi kwenye hoja kwamba, huyo jamaa anampenda mke wake ndo maana alidiriki kumchukua mpaka kiwanja badala ya kuwaachia wavimba...
  4. Blackmamba

    DR. Mwansasu is no more

    Wote tutakufa, Mzee ametangulia tu...Mchango wake kwa Taifa ni wa kuigwa bila kujali ulikuwa mbaya ama mzuri...APUMZIKE KWA AMANI MZEE WETU
  5. Blackmamba

    The Migingo Saga: Kenya vs Uganda, why?!

    Sina uhakika kama kibaki ameomba ushauri kwa mhe: Kikwete juu ya migingo na sioni sababu maana m/kiti wa umoja wa afrika kwa sasa ni kiongozi muammar gadaffi wa libya, kuhusu afrika mashariki m7 ni member kama ilivyo kenya na tanzania, kwani yeye haoni umuhimu wa mahusiano haya? Ama haoni...
  6. Blackmamba

    Wanyakyusa sio Mwa, Mwa.. tu!

    Jina ni Nomino ya jambo ama kitu chochote ambacho chaweza kuwa hai ama si hai (Living organism or non - living). Hata hivyo kila kabila linatumia herufi hizi ili mradi linaleta maana kwao kutambulisha kitu au mtu fulani, mfano unaposema research yako imebaini majina yanayoanza na herufi 'L...
  7. Blackmamba

    Sumaye ndani ya Uingereza!

    KUTOKANA NA SENTENSI YAKO KWAMBA 'Waziri mkuu mstaafu bwana sumaye alikwenda uingereza kwa ajili ya matibabu (medical check up)' NAOMBA NIKUELEWESHE KAMA IFUATAVYO: Translation: MEDICAL CHECK UP ni UCHUNGUZI WA AFYA, MATIBABU ni TREATMENT/EXACERBATE
  8. Blackmamba

    Sumaye ndani ya Uingereza!

    Kama unakuwa huna utii na adabu kwa viongozi wako wakuu wa nchi, basi utakuwa huna utii hata kwa baba yako na mama yako iwapo unao (samahani lakini), Kama unayo dini ungetambua umuhimu wa mtu yeyote kwenda kusali, sasa iwapo wewe husali na hukuwahi na pengine hutapata hata uongozi wa Kijiji kama...
  9. Blackmamba

    CHADEMA: Baada ya Biharamulo; Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

    Wanachama wa CHADEMA wa Biharamulo wanaohitaji mgombea wao ashiriki uchaguzi, wana lengo kwamba apite ama awe mshindi, ni vyema wakashiriki kujitambua nafasi yao katika jamii ya wananchi wa Biharamulo ipoje, wasije ishia kulalamika baadae pengine kura ziliibwa, ama kulikuwa na hujuma' Tusisahau...
  10. Blackmamba

    Bongo Dar es salaam, inafundisha jamii au inapotosha?

    Mchezo huo nadhani unawafungua macho wananchi wajhadhari na mbinu zinazotumiwa na wezi ambao wasanii hao wanzianika hadharani ili kuumbua wezi hao. Si mbinu ambazo wasanii wanazibuni, bali ni marudio ya mbinu za wezi ambazo zilikwishatumika eneo moja/fulani ambalo wananchi hawalijui kwa hiyo...
  11. Blackmamba

    Jacob Zuma: This man is da bomb!

    There is an African sukuma language that say that 'AGU-BULWA MBESHI' this means 'If theres the human corpse/carcass within the central park (forrest), only vultures on the sky will reveal the body by flying over' Most of the people do sins clandastinely / furtively, but when it comes to 'NGOMA'...
  12. Blackmamba

    Kenyan media voice curiosity over JK, Obama meeting

    Kuitofautisha jamii ya wanyama na Binadamu ni ustaarabu. kIPIMO BORA CHA MTU ALIYE MSTAARABU NI MATAMSHI, MAANDISHI YATOKANAYO NA FIKRA ZAKE. Wakati Wazungu wanaimarisha European Union na Asia Pacific Region Global Systems, Waafrika wanabomoa AU kwa kurushiana maneno ya ajabu kwenye net. 1994...
Back
Top Bottom