Search results

  1. Dingswayo

    Je, haya mazoea ya miaka mingi ya kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae?

    Napenda kuogea sabuni hizo ambazo mara nyingine zinaitwa sabuni za magadi. Uzuri wa sabuni hizo ni kuwa zinaondoa vipele kwenye ngozi, hasa vipele vya joto.
  2. Dingswayo

    Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Hakuna sehemu yeyote ile ambapo mwandishi amelituhumu taifa la Tanzania, serikali au mtu yeyote yule binafsi. Kama nimemuelewa vizuri amewalenga wale waliofanya matukio hayo. Kwa maandishi yako haya inaelekea kuwa unaunga mkono vitendo hivyo walivyofanyiwa hao wahanga na kuwatetea waliofanya...
  3. Dingswayo

    This is one of the Reasons why Black people are hated all over the World

    Huo ndio uhalisia wa mambo. Kwa wale wanaoweza kukipata kitabu hiki wakisome. Kinaelezea kwa undani zaidi kwa nini watu 'weusi' wanachukiwa na watu wa rangi zingine.
  4. Dingswayo

    Hali ya Mapenzi imeimarika mtaani baada ya Covid-19

    Sio kweli. Madaktari wengi wameambukizwa corona kwa kutibu watu ambao wameletwa hospitali kwa magonjwa mengine au hara waliopata ajali. Unaweza kuwa umebeba virusi vya corona na huna dalili kwa sababu virusi vinachukua hadi siku 14 ili mtu apate dalili za ugonjwa. Tuwe makini corona ni hatari sana!!
  5. Dingswayo

    Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

    Wakuu, kuna yeyote ana uzoefu wa VW Touareg?
  6. Dingswayo

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Iliiogopesha kwa sababu kua wakati mwigine nilikuwa napata shida wakati wa kurudi, na nikirudi nakaa kwa muda siwezi kufanya kitu chochote, nashindwa kunyanyuka, hata kukunja kidole, ingawa nasikia kila kitu kinachoendelea.
  7. Dingswayo

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Kuna wakati nilikuwa natoka mara kwa mara, sio kwa kupenda lakini. Nilikuwa kila nikilala baada ya muda najiona napaa na kwenda sehemu mbali mbali kama ndege. I
  8. Dingswayo

    Fundi wa vitasa vya Abloy anatafutwa

    Wakuu natafuta fundi anayeweza kufunga vitasa vya vya Abloy kwenye milango. Naomba anipigigie 0714 61 20 58.
  9. Dingswayo

    Je, ushawahi kukutana na kibwengo au jini barabarani/ popote; ulifanyaje?

    Vipo, nimeshakutana na mmoja alikuwa hana sura! Aliponiona alikimbia kwa hofu!!
  10. Dingswayo

    Je, ushawahi kukutana na kibwengo au jini barabarani/ popote; ulifanyaje?

    Nilishakutana nao nilipokuwa UDSM pale Mlimani. Walikuwa wawili, mwanamke na mwanamume, wafupi mno!. Walikuwa wanaongea na walionekana kwamba hawakuniona kabisa ingawa tulipishana nao kwa karibu sana. Ajabi ni kwamba hata mimi sikutaharuki, nikaendelea na safari yangu!
  11. Dingswayo

    Mazoezi gani ni rahisi kuyafanya ukiwa nyumbani tu?

    Pia epuka kula vyakula vya wanga kupita kiasi. Kula zaidi mboga za majani, matunda, samaki zaidi. Epuka kushiba sana, shiba kama nusu hivi, ila ule kila unaposikia njaa kwa vyakula hivyo hivyo. Vilevile jitahid ikula chakula cha jioni mapema ili kuepuka kulala ukiwa umeshiba ndi!!
  12. Dingswayo

    Mazoezi gani ni rahisi kuyafanya ukiwa nyumbani tu?

    Inategemea unavyojiweka na ulivyoumbwa. Kwa muonekano inawezekana ukaonekana umenishinda umri!!
  13. Dingswayo

    Mazoezi gani ni rahisi kuyafanya ukiwa nyumbani tu?

    Hata mimi ni +60 kila asubuhi napiga push ups 120 kwa interval ya 30 bila kupumzika. Vile vile nafanya situps , na jogging angalau mara nne kwa wiki. Kufanya mazoezi ni nia, unaanza kidogo kidogo halafu unaongeza jinsi mwili unavyokubali.
  14. Dingswayo

    Jenerali Ulimwengu: It takes More Than a Gun to Kill a Man

    https://www.theeastafrican.co.ke/oped/comment/It-takes-more-than-guns-to-kill-a-man/434750-4966394-10h9id0/index.html
  15. Dingswayo

    HUAWEI: KAMPUNI INAYOKUWA KWA KASI YA AJABU, ILIWAPINDUA APPLE NA KUSHIKA NAFASI YA PILI KIMAUZO NYUMA YA SAMSUNG

    Nimetumia simu nyingi ila Huawei kwa sasa sio wa kupuuzwa. Simu yangu ya sasa i Huawei Nova 3. Huawei nova 3 - Full phone specifications
  16. Dingswayo

    Natafuta vacuum cleaner kwa matumizi ya nyumbani

    Natafuta vacuum cleaner ndogo kwa matumizi ya nyumbani. Ni wapi ninaweza kununua Dar es salaam?
  17. Dingswayo

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Sidhani kama unaishi Finland, na kama unaishi huko nadhani unaishi Pitkaniemi au sehemu kama hiyo. Tafadhali sana usijumuishe Watanzania wengine kwenye mawazo yako binafsi kwa kuwa wewe sio msemaji wao. Aalio!
  18. Dingswayo

    Kufungua router/modem iliyofungwa.

    Asante Mkuu, ngoja nijaribu, ingawa mimi si mtaalam wa mambo haya.
Back
Top Bottom