Search results

  1. Oxlade-Chamberlain

    Nimeangalia filamu ya Royal Tour. I was not impressed. Itawakera sana baadhi yenu

    Mie nimeiona pia na ni kweli imetumika kumtangaza Rais badala ya utalii . Nguvu zinazo tumika kuitangaza haziendani na filamu yenyewe.
  2. Oxlade-Chamberlain

    After I Decide To Wake Up At 5:30AM Everyday

    Sana, tena ufanye mazoezi kwa saa moja. Kazini ukiingia uko fresh. Wale Walio lala mpaka saa moja bado utawaona wanasinzia.
  3. Oxlade-Chamberlain

    Nimekoma kuhonga, kumbe zikiisha wanaondoka

    Hawaondoki wanahamia kwingine watarudi ukiongeza salio lako 😂😂😂😂
  4. Oxlade-Chamberlain

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hayo mabomu sijui atajipiga mwenyewe manake hamna mtu yoyote anayeshughulika nae. Watu wako busy na mengine anatafuta attention ya kupewa msaada wa chakula.
  5. Oxlade-Chamberlain

    UTATA WA MATUKIO. Orando pirates vs Simba Sc hapo jana.

    Ni kweli offside lakini kama mshika kibendera na VAR wote walikaa kimya ulitaka refa afanyaje wakati position yake uwanjani haikumuezesha kuona kama ni offside? Huo ndio mizengwe haikosi tuangalie mbele.
  6. Oxlade-Chamberlain

    UTATA WA MATUKIO. Orando pirates vs Simba Sc hapo jana.

    1. Ndio ilikuwa offside lakini hakuna jinsi kama waamuzi wa VAR hawakumwambia refa aende kutizama. 2. Push ilikuwa ndogo sana jamaa ali dive kumdanganya refa. 3. Sikuiona hio lakini kumbuka refa hawezi kwenda kuangalia VAR mpaka wale waamuzi wasaidizi wa VAR wakiona maamuzi ya refa yana...
  7. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Manula kaza mikono hio
  8. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Huyu Hussein hajaelewa swali nini? Kashinda kwenye kura ya shillingi kwanini kakubali sisi tuanze kupiga penati badala ya Pirates?
  9. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Upuuzi huu. Acha ushabiki wa kitoto
  10. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Tuombeni Mungu wakuu
  11. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Refa ana haraka ya nini wakati kasimamisha saa?
  12. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Timu inajitahidi kusema kweli. Wanacheza kwa pamoja vizuri ni uwezo tu wawachezaji wetu ndi mdogo sio uwezo wa kocha.
  13. Oxlade-Chamberlain

    Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Nilikuwa na maanisha ulinzi anao wa kuwasikiliza wanachosema bila kuogopa kupigwa kibao. Manake sijaelewa kwanini kapitishwa mlango wa nyuma wakati angevuka tu barabara pale na kuingia ukumbini huku jamaa wanapiga kelele zao.
  14. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Kadi nyekundu itatuua hio
  15. Oxlade-Chamberlain

    Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

    Jamaa wameanza na kasi sana. Inabidi tutulie tusi panic mapema sana.
  16. Oxlade-Chamberlain

    Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Naona wanalalamika wamekataliwa kuingia ndani na ma Tshirt yao. Na wao kukaa kote Marekani hawajui jinsi ma-heckler wanaingiaje ukumbini kufikisha ujumbe wao? Wengine wangeingia ndani. Wange vaa mavazi ya heshima kuandamana sio lazima uonekane mchafu mchafu ndio ujumbe ufike. Wengi wanafikiri...
Back
Top Bottom