Search results

  1. nzalendo

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Siasa ni kilimo. Tanzania 🇹🇿 hakuna njaa.🙂
  2. nzalendo

    Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Pia wale wa CHAPUTA ......kimsingi wanashirikiana nae.
  3. nzalendo

    Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Lilith anahusishwa na giza na ushetani....vile vile majini pamoja na uharibifu.
  4. nzalendo

    Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

    Jibu swali... Mchele ni salama au si salama?
  5. nzalendo

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Tayari keshakula makofi toka kwa mjeda..muha
  6. nzalendo

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Kabisa...Tena hakika....sababu twapenda sana maneno.....hivyo kazi yao ni nyepesiiii
  7. nzalendo

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Kabisa Hata sisi Chuoni kuna jamaa alikuwa hamalizi chuo.....baada ya miaka kadhaa nikamkuta tena Iringa yupo chuo.....duuh....siku ya siku namkuta kumbe ni ngelewee kavaa suti yupo kwenye msafara wa waziri mkuu....mamaa
  8. nzalendo

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Msumi ni kama Miangalua au Namabengo...
  9. nzalendo

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Msumi ni kisiwa cha maudhi...Kuna idadi kubwa ya watu lakini hakuna serikali.
  10. nzalendo

    Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Nunua daladala kubwa weka route ya Mbezi...Mpigi magohe au Mbezi...Msumi. Makusanyo kwa siku 250,000 = 7,500,000 kwa mwezi....Sasa hapo zikitokea hadithi huwezi kosa 5m. Angalizo....kama ukiweza kukomaa mwenyewe ndio hela utaiona
  11. nzalendo

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Msumi watu wanaonya kwanza...halafu baadae..... Kumbuka hapa Msumi Mtendaji alichinjwa ofisini...
  12. nzalendo

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Usishangae...mjumbe ndio msuluhishi wa kesi na mashauri mbalimbali..
  13. nzalendo

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Kuna nyumba alichukua kuku kisa jamaa hana hela ya ulinzi shirki
  14. nzalendo

    DOKEZO Wananchi hatumtaki Mjumbe wa Mbezi Msumi (Dar), anatumia madaraka yake vibaya

    Kwa Msumi mjumbe ni dili....haya ni makazi mapya....raia wako bize..kutoka alfajiri kurudi giza...unakutana na barua ya mchango wa barabara....mchango wa umeme....mchango wa maji....mchango wa ulinzi shirki..na kadhalika wa kadha
  15. nzalendo

    The Fallacy of the Eden Garden Story

    Ingenoga sana kama ungekiswahilisha... Hata hivyo...kama Adam na Hawa...wangekuwa waChina basi badala ya kula tunda wangemtafuna yule nyoka...halafu dunia ingekuwa mahala bora PA kuishi....au sio vep bwan.🙂
  16. nzalendo

    House4Sale NYUMBA YA GHOROFANI (FLAT/APARTMENT) INAUZWA UPANGA

    Wewe ulifikiri ni U nini? Zaidi ya U panga?🙂
Back
Top Bottom