Search results

  1. N

    Nani ali-plan viti na meza kwenye Bunge la JMT?

    Wanabodi, Naomba kwa wajuzi wa mambo ya majengo ya mabunge duniani wanisaidie haya majibu: 1. Ni "Genius" gani alibuni jengo letu la bunge Dodoma na alikuwa anawaza nini kwenye kichwa chake? 2. Nimeangalia mabunge mengi ( mfano Kenya, UK n.k) , sijawahi kuona muundo kama wa kwetu wa viti...
  2. N

    Sababu zipi zilizomfanya rais Magufuli kutokwenda Zanzibar?

    Wanabodi, Najaribu kujiuliza kwanini Magufuli hakwenda Zanzibar kwenye sherehe ya Mapinduzi na badala yake akawa Shinyanga. Najua alilifafanua hilo kwa kusema anavunja utamaduni ili sherehe ziwe kitaifa zaidi. Lakini nikiangalia mahudhurio ya viongozi kule Zanzibar, napata shida kidogo, kwani...
  3. N

    I miss You Paka Jimmy

    PakaJimmy where are you? Sijakuona muda kwenye uchangiaji, umebadili ID ? cc Ngongo
  4. N

    Msomaji raia amepotelea wapi?

    Wana JF, Mimi ilikuwa kawaida yangu nikinunua Gazeti la Raia Mwema, page yangu ya kwanza kuisoma ilikuwa ni ile ya MSOMAJI RAIA, bila kujali ina heading gani. Hii ni kutokana kwamba nilizipenda makala zake za uchambuzi maana zilikuwa makini sana na zenye mwongozo mzuri kabisa. Sasa naona muda...
  5. N

    Tanzania tunaibiwa: Benno ndulu atueleze vizuri

    WADAU JF:<BR>Nimeiona picha hii kwenye blog ya Mjengwa, ikabidi niwaletee hapa tujadili jinsi nchi yetu inavyoibiwa. Kama hili Jengo ni kweli limeghalim $1 M tu , basi ufisadi nchini mwetu unatisha. Hii naisema kwa sababu nyumba ya Governor wa fedha ilighalimu $1M na haiwezi kuwa hata robo ya...
  6. N

    Kesi ya Richmond: JK, Mwakyembe, Lowasa............who is a winner?

    Wana Jamvi, Kuna kila dalilil CCM kupasuliwa na mjadala wa Richmond. JK ametuhumiwa, na akanyamaza. Bila shaka atakuja na suluhisho zimamoto kama kawaida, ama la kumfukuza kinyemela Lowasa kwa kutumia kamati ya maadili, au kumtia hatiani kwa kumfungulia kesi. Vyovyote vile, njia hii...
  7. N

    Kulikoni BAKWATA?

    Just thinking loudly..........hawa vigogo huku na mwenendo wa magamba. A new Mtandao? Mufti Simba asambaratisha kamati kwa kushindwa kazi Wednesday, 03 August 2011 23:00 Hussein Issa SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban Issa bin Simba, ameivunja kamati iliyoteuliwa kwa kuunda...
  8. N

    DHAMBI HII YA CCM NA JK itawamaliza wenyewe

    Katika kutapatapa kwa na kwa kufanya mambo ambayo hawajajiandaa na hawajui wafanyeje CCM na JK wamejikuta wanafanya dhambi hizi , na ambazo hazitawaacha salama: 1. Kufuta azimio la Arusha na kutokuweka azimio mbadala lenye maslahi ya nchi hii ( Ally Hassan Mwinyi) 2. Kuuza mashirika hovyo na...
  9. N

    Kenya kuwa kitovu cha demokrasia na maendeleo Afrika Mashariki

    Wakuu, Kwa kadri mambo yanavyoenda Kenya , Afrika Mashariki ijiandae kuwa koloni la Kenya. Hawa watu wako serious kwa kila kitu na si mizaha inayoendelea hapa kwetu. Ukiangalia katiba yao sasa hivi , haitofautiani sana na za nchi za Magharibi, na uwajibikaji uko wazi. Hivyo mihimili yote ya...
  10. N

    JK NA UONGOZI WA ZIMAMOTO : What is he up to?

    Wana JF, Nimejaribu kufikiria dira ya uongozi wa JK nimeshindwa. Miaka mitano imepita, sijajua alikuwa ana lengo gani hasa ambalo alilivalia njuga kuhakikisha linafanikiwa. Nilichokiana ni kwamba lengo lake kuu ilikuwa ni kukaa kwenye uraisi miaka kumi na hatimaye aweze ku influence mrithi...
  11. N

    Serikali imeaibika sana kwa hili

    Wanajamvi, MCT (Media Coucil of Tanzania), imetoa hukumu ya haki kwa gazeti la Mwananchi dhidi ya serikali. Kwa ufupi , ni kwamba serikali ililitishia gazeti la Mwananchi kufungiwa eti kwa kuandika habari za uchochezi dhidi ya serikali wakati wa kampeni za uchaguzi. MCT, pamoja na mambo...
  12. N

    Nundu Amzodoa Chenge : another Cinema in the make!!

    Waziri aanika uozo, madudu mkataba Reli Send to a friend Tuesday, 22 February 2011 21:07 0diggsdigg Ramdhan Semtawa NI nadra kwa viongozi wa serikali kukiri madudu, lakini safari hii hali ni tofauti baada ya Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu, kuamua kusasambua madudu ya mkataba wa Kampuni ya...
  13. N

    Mei mosi 2011

    Ni udadisi tu..... Kwamba bado siku 60 tusherehekee sikukuu ya wafanyakazi hapo tarehe 1/5/2011. Najaribu kufikiria itakuwaje: 1. Bado madai ya wafanyakazi hayajapatiwa ufumbuzi, na hakuna movement zozote zinazoashiria neema 2.Raisi alishaapa kwamba hawataongeza mishahara hata miaka nane ijayo...
  14. N

    Mama terry

    Najaribu kujua alikopotelea Mama Terri, yule wa ITV aliyejipambanua kutoa elimu ya lishe na ukimwi. Yu wapi, mbona simsikii tena au alikuwa anatumia kipindi kujitangaza agombee udiwani kipindi kilee....(nakumbuka aliangukia pua).. Au ndo kusema elimu yake haihitajiki tena? Na kama anaendelea na...
  15. N

    Ni uozo kwa kwenda mbele.......inasikitisha sana

    Kama waswahili wasemavyo, kama baba, kama mwana..... Askari wa wanyama pori wameendeleza yale ya IGP Mwema, kuua raia wasio hatia , tena ukiwa umewafunga pingu! Ni ukatili wa hali ya juu Raisi anasema " mtatoka manundu, ngeu nk IGP anatoa taarifa za kiintelijensia, na kusababisha mauaji ya...
  16. N

    Mkakati wa kulifunga MwanaHalisi, Kumziba Mengi na kumfukuza Sitta Waanza

    Katika hali ya kutapatapa na kuhakikisha mafisadi hawaguswi, juhudi za maksudi zimeanza kuchagiza kuzibwa midomo watu wote wanaojaribu kuongea ukweli. Jitihada hizo zimeanza na gazeti la Rai, toleo la jana. Katika gazeti hilo, mwandishi amelituhumu mwanahalisi kwamba ni jukwaa linalotumiwa na...
  17. N

    SYNOVATE : Mambo mbofu mbofu?

    Kama kawaida, ukiacha taaluma yako na kuingiza uhuni kwenye kazi ujue mwisho wako ni wa aibu tu. Haingii akilini tasisi kama Synovate kukosa Tzs.75M wakati inapata support ya michango kutoka kwa wasamaria, donors na kutoka biashara yao wenyewe. Soma hii hapa : Synovate kwafuka moto na Ratifa...
  18. N

    Mwanamke jasiri afanikisha polisi mwizi kukamatwa!

    Polisi Moshi katika kashfa ya ujambazi Send to a friend Sunday, 19 December 2010 20:25 0diggsdigg Daniel Mjema, Moshi POLISI wa kikosi cha pikipiki mkoani Kilimanjaro ni mshiriki mkuu wa tukio ambalo mtunza fedha wa kampuni ya Machare Investment ya mjini Moshi aliporwa Sh7.5 nje ya Benki ya...
  19. N

    Adelina aliyeshikwa chupi yake na Mzungu, Ashinda kesi ya udhalilishaji

    Adelline, dada aliyefukuzwa kazi baada ya kuugua kidole tumbo ameshinda kesi yake dhidi ya Mzungu aliyejifanya yuko juu ya sheria. Adeline alinyimwa haki katika mahama ya wilaya, lakini alipokata rufaa akashinda na Mzungu ameamriwa kwenda jela miaka miwili, na kumlipa Adeline Sh. Million...
  20. N

    Project 2015: Mwinyi haoni uharaka wa Katiba Mpya

    16th December Retired President Ali Hassan Mwinyi Retired President Ali Hassan Mwinyi has dismissed the idea of overhauling the country's constitution at this time, asking: "Why now?" However Civic United Front Chairman Prof Ibrahim Lipumba said a new constitution was vital to meet the...
Back
Top Bottom