Search results

  1. N

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    Huyo Mzee alikuwa sawa. Mtoto natakiwa aambiwe live - ushakuwa katafute mali zako.
  2. N

    Jedwali la kodi za PAYE 2022 si la kitaalam

    Kamakabuzi , hili hapa liko sawa mkuu?
  3. N

    Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

    Bujibuji kuna hawa samaki wanaitwa tasi, ndo wale wana mwiba mmoja tu katikati ,?
  4. N

    Sijaona sababu za TAKUKURU kumshikilia Mkurugenzi TPA

    Yaani hii kitu mie nachukia sana. Kwa mfano, Waziri Jafo anaambiwa kafanye uchunguzi, yeye anaagiza kutengua nafasi za wakaguzi wa ndani sijui nini...sasa amejiridhisha kwamba wamefanya ubadhirifu? Wakati mwingine kama ulivyoongea hapa Beatrice Kamugisha , unakuta matumizi ni halali, ila kuna...
  5. N

    VIDEO: Askari Polisi alalamikia mishahara midogo

    Yuko Kituo gani huyu...nataka anifundishe kidogo....dah ka ukweli sana haka!!
  6. N

    Fundi simu maarufu ajinyonga Morogoro

    Hakuacha ujumbe wowote, halafu unasema amejinyonga, nani kakuambia kwamba amejinyonga? Kwanini usiseme kwamba amekutwa ananing'i nia juu ya mti au dari, ili vyombo vya usalama ndo viseme kama alinyongwa au kujinyonga!
  7. N

    Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Mzee unateseka sana. Ulimponda Lowasa akiwa CHADEMA< karudi CCM Kimya. Hivyo hivyo kwa Sumaye & Co. Kwa nini unajifanya una uchungu sana na CHADEMA, wamekuomba uwahurumie?? Na kile kijarida chako cha CHECHE vipi cheche zimeisha??
  8. N

    Moto wa ajabu, viumbe wa ajabu, ajali ya kushangaza..!

    Mshana Jr , the spin master...hapaunataka kututoa kwenye mjadala gani vile??? Kwa nini hili jambo litokee wiki nzima ndo polisi wakachunguze??
  9. N

    Eddo Kumwembe: Zamani tulioishia darasa la saba tuliwaogopa Maprofesa, siku hizi hatuna cha kuwahofia...

    Hivi FaizaFoxy , bado yupo, au bakuli limempita pembeni??
  10. N

    Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

    Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie. Asanteni kwa mrejesho
  11. N

    Mwenzetu alibahatika sana " Aliyeonja Pepo" F.Topan

    Mkuu Guru Master , najaribu kutafuta hiki kitabu ili na wanangu wakisome sikipati. Unayo copy hata PDF uatach hapa. Mimi nilikisoma zamani, ni kitabu kinafikirisha sana! Nimejaribu kugoogle, ila naona tafsiri ya Afrikaans tu, na captions chache za kiswahili
  12. N

    Deni la Taifa: Rais, CAG na Mawaziri watofautiana takwimu. Ukweli ni upi?

    Mkuu , hii Engereza ya nchi gani, Nigeria???
  13. N

    Wakati Uganda wamefanya maamuzi ya kupitisha mafuta ya mwanzo Kenya, kuna hili kuhusu Total nawakumbushia

    Hahaa, zishamfikia salamu toka Kenya. Hata sasa anaweweseka. Si umesikia katangaza "ajira" 10,000 kwenye bomba la mafuta? Poor man! Ajira hazipo, na wajinga watajazana kuomba hizo ajira hewa! Chezea kick ya pikipiki kwenye tren weye!!!!
  14. N

    Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Mkuu, mbona sehemu ya 2-4 hazifunguki, au mie nakosea wapi? Naona link zinazofunguka ni kuanzia link ya 5 na ukiisoma inaonyesha kwamba kuna link zinamiss..
  15. N

    Bundi CHADEMA na Wakati wa Malipo - Lowassa Huyu Huyu?

    Ningekuwa na uwezo wa kulike mara nyingi ningefanya hivyo. Siamini kama unaweza kuongea jeuri mbele ya amiri jeshi mkuu wa kaliba ya Magufuli. Magufuli ni mtu ambaye anaweza amuua lolote juu yako. Naamini Lowasa analijua hilo, na kamchezea kijiti kihivyo. Hata wale Wawekezaji wa Accacia...
  16. N

    Kama huna ngozi nene usigombee urais!

    Ok , kutokujua kwamba huna akini pia ni tatizo. Sasa mie nakubali sina akili, njoo hapa Rock City Mall , - THE CASK, nikupe bia ili upate kujua mie nina akili nzuri tu, na nilikushangaa wewe ulipoacha kujadili mambo ya maana, kisa tu wewe ni poti wa Magu!!! nakujua sana Nyani Ngabu , siyo yule...
Back
Top Bottom