Search results

  1. T

    MOH kusomesha mtoto wa mkubwa UK ni uungwana?

    nawe muda mwingine uwe unafikiria na kuchunguza kabla ya kuchangia. unahakika paediatric dentist inatolewa kwa mwaka mmoja? una hakika ndio yeye tu aliyepata admission uk? hoja ilikua why kumfadhili mtoto wa mwenye uwezo wa kusomesha ,tena uk ambapo ni expensive sana,huku watanzania zaidi ya 100...
  2. T

    Naulizia gharama za kuunga umeme wa TANESCO

    zinapatikana wapi hizo nguzo za chuma? tanesko wanazikubali? msaada please!
  3. T

    Tatizo la CHADEMA Igunga ni Mgombea

    hili ndilo tatizo letu watanzania. tunashawishika kirahisi na maneno na mbwembwe za wagombea. wanaoongea vizuri wametusaidia nini? hatuwezi kuangalia rekodi za utendaji za wagombea ktk nafasi zao walizowahi kuzishika?
  4. T

    Nimepata soft loan bila riba

    well said voice of reason, watu walikua hawajamuelewa hapo.
  5. T

    The New Dr Shein's Cabinet

    kweli,baraza hilo ni kubwa sana kwa Zanzibar.Nafkiri still hatuna mikakati ya kuleta maendeleo. Just tuna tengeneza ajira tu. Nchi kama Ufaransa ina mawaziri 6 tu.Leo zanzibar ya wapiga kura laki nne ina wabunge zaidi ya 50 nafkiri, wawakilishi kibao, mawaziri 16..........hadi mifugo imeundiwa...
  6. T

    Elections 2010 Kikwete rais mteule asiye na watu wa kuwaongoza ni mwanzo wa misiba na taabu

    Amechaguliwa na 27% ya watanzania waliokata tamaa ya maisha. Wengine waliokata tamaa zaidi hawakupiga kura kabisa
  7. T

    Elections 2010 Nini kilichotokea Zanzibari? ni muafaka tu au kuna kingine Tusichokijua

    Nilivyomuona Shariff Hamad akiyapokea matokeo na kutoa pongezi kwa Shein, ilikua kama alishayajua matokeo muda mrefu tu..... Na ukiiangalia picha hii (toka michuzi blog) Mshindi na mshindwa wakishangilia pamoja imenishangaza sana.sijawahi kuona mshindwa akimsaidia aliyeshinda kushangilia...
  8. T

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Ametoa mfano kuna jimbo alipata kura zaidi ya elfu kumi lkn NEC wametangaza amepata Elfu tatu......Hii ni kwa mujibu wa matangazo ya BBC. Nafkiri DR slaa ana Hoja ya msingi na kama NEC wanajiamini kua wamefanya kazi yao kwa haki sioni haja ya kuogopa. Wanachotakiwa nikujibu Kwa hoja with evidence
  9. T

    Elections 2010 Kumbe saa ya ukombozi iliwekwa betri za kichina!!!!

    Moto wake utaujua Bungeni. Hapo ndo utajua ni betri za mchina au???? Kikosi cha wapinzani kinachoingia bungeni nguvu na effect yao ni sawa na ( ) X 100 ya wabunge wa CCM walioingia kwa ajili ya kupata Posho na Kulinda biashara Zao.
  10. T

    Elections 2010 Watangazi wa ITV wanachakachua habari za matokeo

    Siyo tunagombea nafasi ya pili.Ila wasema ukweli. kama embe sema embe si unabadilisha unaliita chungwa. Watanzania tumezoeshwa kusema uongo mpaka tumeona kua ndio life style tunayotakiwa kuishi. Inasikitisha kama ndugu unaona hakuna effect ktk kureport takwimu za uongo.
  11. T

    Elections 2010 CONFIRMED: Lissu atangazwa mshindi rasmi!

    Hongera Tindu lisu! Kazi kubwa ni kuiendeleza hii nchi kwa rasilimali zetu wenyewe pasipo kutegemea misaada toka nje yenye mashart ya kuuza utu wetu na uhuru wetu kama wafanyavyo CCM. Naamini utaendeleza harakati zako za kudai haki kwa uhakika ukijua nini unachokidai.ALL THE BEST KTK KULIJENGA TAIFA
  12. T

    Elections 2010 CONFIRMED: Jimbo la Ubungo: Matokeo yatangazwa, Mnyika ashinda!

    Hongera Mh Myika. Kazi ni moja tu ya kurudisha nidhamu katika utendaji wa kazi wa serikari. Watu waone utendaji si kusubiri kupewa ahadi tu.......People's power!!!!
  13. T

    Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

    Matokeo rasm....... Chadema yachukua Arusha Mjini, Buriani aangukia pua.....................ITV inatangaza sasa
  14. T

    Elections 2010 Tarime yaangukia CCM

    Mwera alichemka kuama chadema, hakuzisoma nyakati
  15. T

    Elections 2010 Ghasia ashinda

    ITV wanatangaza, Hawa Ghasia ameshinda mtwara vijijini. Udiwani ccm 26 cuf 2
  16. T

    Elections 2010 JK na barabar za juu

    Nchi haina plans. Sijui tunafanya sensa za nini? Mi nilifikiri sensa inatuwezesha pia kujua jinsi population inavyoongezeka na ku-project population yetu kwa miaka ya mbele.so kama tungeitumia vizuri tungejua mapema jiji linahitaji barabara za kutosha,at least zinazopitisha magari nane kwa...
  17. T

    Mrs Anna Tibaijuka new politician in Tanzania

    "if appointed by kikwete" no way.........Lets see if Dr Slaa will appoint her coz i think will include also opposition MPs
  18. T

    Clouds Media wamwandalia Kikwete Birthday 2010?

    kaburunye umesema! japo ana uhuru wa kuchagua amualike nani,but waswahili walisema ndege wafananao huruka pamoja. Hapo alialika watu wa ku-party tu! happy b'day
Back
Top Bottom