Search results

  1. O

    Rais wa jamhuri ya tanzania na makamu wawili wa rais akiwemo rais wa zanzibar

    Kwa mujibu ya matakwa ya wajumbe wa bunge maalum la katiba wanaopendekeza uwepo wa serikali mbili, kwamba kuwepo na rais na makamu wawili mmoja kama mgombea mwenza na rais wa Zanzibar awe makamu wa pili, swali RAIS WA ZANZIBAR ANACHAGULIWA NA WAZANZIBAR IWEJE AJE AONGOZE BARA AMBAO HAWAJAHUSIKA...
  2. O

    Hatima ya wahusika wa vyeti feki ndani ya Jeshi la Polisi

    Wadau kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu wale wote wanaotumia vyeti bandia kujiondoa kwa hiari linafikia tamati leo. Wadau wanasubiri kuona ni hatua gani zitachukuliwa kwa wale waliokaidi amri hiyo, mtihani huu mkubwa wa kwanza kwa mkuu mpya wa Jeshi hilo na timu yake...
  3. O

    UKAWA wanaambiwa warudi bungeni vipi wanaokwepa mawazo ya wananchi juu ya rasimu hawaambiwi ?

    Tumekuwa tukiwasikia viongozi mbalimbali wa serikali, dini, siasa na Asasi wakiwasihii UKAWA warudi bungeni kuendelea na mchakato wa katiba, mbona hatuoni nguvu kama hiyo ikitumika kuusihi upande wa pili kwenda kujadili rasimu iliyotokana na mawazo ya wananchi? Iweje ushauri ujikite upande mmoja...
  4. O

    Walijiuzulu au walifukuzwa!

    Jamani wana JF naomba kupewa ufafanuzi juu ya hawa mawaziri 4, kuna baadhi ya vyombo vya habari waliandika na kutangaza kuwa mawaziri 3 walifukuzwa ila mmoja alijiuzuru, vingine vingine vilitangaza wamejiuzulu na vingine wakatangaza Rais katangaza kutengua uteuzi wao huku mwingine akitangaza...
  5. O

    Internal investigation Officer- TRA

    Jamani wadau vipi kuhusu nafasi hiyo jamaa bado wako kimya au wameamua kuahirisha, au kuna mwenye taarifa atujuze tafadhali.
  6. O

    Jamani tumsaidieje huyu dada?

    Jamani tumsaidieje huyu dada? Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa. Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA...
  7. O

    Jamani tumsaidieje huyu dada?

    Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa. Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla...
  8. O

    Airtel money

    Sijui hawa jamaa wanataka kuniibia, majuzi nimetumia huduma yao nikatoa laki 6 bila tatizo, jana naenda kutoa hela wakanifungia line kisa wanadai pin yangu siyo sahihi wakati ndo naitumia kila siku, kuwapigia wakadai nibadili pin yangu na kwamba ndani 24 hrs nitaruhusiwa, yamepita leo naenda...
  9. O

    Kama mjadala ni kuhusu katiba

    :help::help: Kama mjadala wa jana ulikuwa unahusu Katiba, mjadala huo ulipelekea baadhi ya wabunge wa upinzani kutoka nje ya ukumbi wa bunge kwa kile wao wanachodai ni kutoshirikishwa kwa baadhi ya mambo katika mchakato huo, lakini Naibu Spika aliruhusu mjadala kuendelea, nampongeza kwa uamuzi...
  10. O

    Bandari badala ya kujengwa Musoma imejengwa Bagamoyo

    :A S-key: Jamani kwa mnaojua haya mabadiliko tunaomba kupewa ufafanuzi, kwani kabla ya aliyekuwa waziri wa uchukuzi kabla ya Mwakyembe, waziri huyo ambaye ni Omar Nundu aliwahi kufika eneo moja linaitwa EKUNGU liko kijiji cha Kigera Etuma wilaya Butiama zamani Musoma vijijini mkaoa wa Mara...
  11. O

    Waziri Muhongo

    Ndugu waziri, unakijua kijiji cha Kigera Etuma kiko wilaya ya Butiama mkoa wa Mara, ni kijiji jirani na unakotoka wewe. Kijiji hiki kina mgodi wa dhahabu kwa zaidi ya miaka 20 sasa, mwanzo walikuwepo Waafrika kusini wakachimba wakachukua chao wakaondoka. Kabla ya hapo walipita na helkopita...
Back
Top Bottom