Search results

  1. W

    Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Wazungu wote duniani staple food yao wengi ni vyakula venye asili ya ngano hasa hiyo mikate, cakes,pizza na mengineyo sio usasa ketu huku ndo usasa. Dah hapo tafuta restaurants za wanigeria au wakongo lasivyo ni mwendo wa ngano
  2. W

    Kuna kitu cha kujifunza kwa Zelensky

    Unaandika tu kwa mihemko lakini hujui chochote. Wakati mwengine chimba kwanza kabla ya kunya, utaibika.
  3. W

    Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Kwanza we mweka mada weka hata picha ya mwanafunzi na hilo vazi. Hivi ni vazi gani tena baibui au?
  4. W

    Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China

    watu wa mistarimistari au wapi maana wale wale viumbe wako wa kila aina Yani dogii ina nafuu wale hawaeleweki eleweki🤣🤣
  5. W

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    50,000 Russians killed in action VS 300,000 Ukrainian Nazis killed in action
  6. W

    Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!

    Kele za chura hazi mzuia ng'ombe kunywa maji unless chura wewe wengi kwenye chombo ndipo ng'ombe ataacha. Ww na wengine tupo huku mtandaoni na porojo ingieni uwanchani mcheze ngoma lasivyo ni useless hahahahahahhahahahahahahahahaha
  7. W

    Wanaume wa kiMassai. . .

    Nilitaka sana kumjibu huyu dada,mama, Binti whatever might that be, embu tuelezee tomaduni na Mila za kabila lako na mpaka sasa zimekusaidia nn ww kama mwafrika na je inaziishi? What I'm seeing here you are dissing and disrespecting people's tribes! Unazungumza as if unajua na kuelewa tomaduni...
  8. W

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Na wengi wao hawana wanaume ni masingle mother ndo wanaaribu watoto wao wa kiume maana hawana role model wa kiume kwenye familia
  9. W

    Rais linda heshima na imani ya wananchi kwako fukuza hao tamaa mbele tafadhari

    Kufukuza tu haitoshoyani wanatakiwa waondolewe kabisa serekalini kama wafakazi wa umma na wanatakiwa kuadhibiwa kulingana na matakwa ya shreia
  10. W

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Lazma vifaa vifike kwenye Uwanja wa maangamizi hiyo ndo njia pekee ya Urusi kupata au kuteka vifaru vizima. There much more to this war than just Ukraine
  11. W

    Marekani yafeli tena kwenye kutest kombora la Hypersonic

    Pro NATO huwa mna mihemko sana, lichanya kutaabika matapishi yako, marekani hajawai na wala hana hypersonic missilès sasa wewe kajamba nani unaonaje ukatuwekea sources zako. No research no right to speak!.or else kalale bado asubui matongo tongo yanakusumbia
  12. W

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hakika kweli we msomalo. With your bu head and brains katafute wengine wa ki copy and paste
  13. W

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Sasa wewe unafananisha standi mpya ya a mabasi ya mwanza na stand gani ya Arusha. Arusha stand mpya itakuwa State Of Art Tanzania nzima kwasababu Arusha ni Tourism Capital of Tanzania haiwezekani kujenga standi Kama ya mikoa mingine kwanza fuatilia ujionee hakuna stand Kama iyo . Itajengwa...
  14. W

    This you will never learn in school

    Ask yourself why are you in the ways you are?!
  15. W

    Botswana: Baba aua watoto wake wawili kabla ya kujiua Kwa sababu ya Wivu wa Kimapenzi

    Kaona achukue njia nyepesi dah I wish angeendelea kubemenda mademu wengine tu na amisha yaendelee
  16. W

    Wanajeshi 10000 wa Urusi wameshajisalimisha kwa Ukraine toka September katika kampeni iitwayo nahitaji kuishi

    Hakuna jipya hapo wana 10,000 wakati Urusi wanao 23,000 sasa objectively sijui unajaribu kuprove nn
Back
Top Bottom