Search results

  1. D

    Nafasi za kazi tpa

    Naomba kuuliza,kwa wale tuliotuma maomba ya kazi bandari mwezi july vipi watu wameshaitwa kwenye usaili?
  2. D

    Nafasi za jeshi la polisi kwa graduate kutoka chuo

    usahili unafanyika kwa hawamu tofauti,kwasasa ni f4 na f6 ambao usaili wao unamalizika october 3,baada ya hapo mtaitwa wa vyuoni,nyie kwa vile mtakuwa wachache usaili wenu unaweza ukachukua siku 3 tu,ila october lazima watu waende ccp moshi.
  3. D

    Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

    Nimetembelea hiyo website ila mimi kwenye simu haionyeshi,kwani hakuna uwezekano wa kuyapata majina?
  4. D

    Majambazi yapora fedha Benki ya Habib African

    Tusipende kuwalaumu tu polisi kwa kila jambo,inabidi tujiulize tukio lilivyotokea ndani ya hizo dakika polisi walipata taarifa? majambazi wenyewe sasa hivi wanatumia madawa,wanaenda sehemu kufanya tukio mpaka wanamaliza nyie ndo mnakuja kushtuka kama mmeibiwa.
  5. D

    Usaili wa kujiunga na jeshi la polisi 2013

    Nisaidieni niweze kuipata hiyo orodha ya majina.
  6. D

    Sasa nimeamini JKT hakuna na Chuo ni September/October

    Usiwaulize wale waliopo kwenye kozi,hawawezi kukupa majibu ya ukweli maana wale wameshadata na mafatiki ya jkt.
Back
Top Bottom