Search results

  1. Feberia

    Watumiaji wa GB whatsapp msaada unahitajika

    Wakuu habari Naomba msaada wa kupata LINK ya kudowload GB whatsapp Natanguliza shukrani
  2. Feberia

    Habari wakuu

    Msaada kidogo natumia GB whatsapp leo hii imegoma naambiwa niupdate wakati nimeiupdate na mwisho inadai ni 6 Dec 2021
  3. Feberia

    Naomba msaada wa jinsi ya kudownload Coreldrawx3

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu kuomba msaada kwa yoyote mwenye kuweza kunifahamisha zaidi jinsi nitakavyoweza kudownload CORELDRAWX3 Au nyingine yeyote yenye kufanya kazi sawa na hii Asanteni
  4. Feberia

    mSAADA KTK tECNO K7 LINE YA VODA HAITOEI INAANDIKA ACT LIMIT EXCEED

    Msaada wa wakuu TECNO K7 LINE YA VODA IMEKATAA KUTOA CMU INAPOKEA TU UKIPIGA INAANDIKA ACT LIMIT EXCEED
  5. Feberia

    msaada wa keys

    msaada wa key za kaspersky any year please!!!!!
  6. Feberia

    Msaada wataalamu

    Napenda kufahamishwa program ambayo nitaweza kurisize picha na kuziandika jina namba na signature (usajili wa wanafunzi f 4) kwa mahitaji Yale ya Necta Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Feberia

    Msaada ktk computer

    Msaada wakuu Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata driver za HP laser jet 1200 ambayo ni wireless ktk Linus 15 mint 15 Oliva
  8. Feberia

    Msaada wakuu

    Napenda kufahamu wakuu jinsi ya kupata au kujuzwa mahali kilipo chuo cha bandari Kwa kijana mwenye pass zinazofikia tank ( c na d) kwa kidato cha NNE Fomu zao na hata ikiwezekana kupewa contacts za mawasiliano
  9. Feberia

    Prof Muhongo tunakukumbuka!!!!!

    Ni kweli usiofichika kipindi cha prof Muhongo umeme ulikuwa hausumbui kama siku hizi mpaka unawaza labda Bombadier ndio inachukua umeme kila mara umekatwa na kuwafanya wakubwa na watoto kuwa na shangwe mara uwakapo UOOOOOOOO!!!! Mnisaidie wadau ndio tunakoterajia 2025 kufika? Ndoto tena za...
  10. Feberia

    Laana ya dhuruma yawakuta Kagera sugar

    Kwa matukio yaliyofanywa na TFF Malinzi & Mwesigwa kuangalia upande wa asili (nyumbani) umeanza kuzaa matunda ya wazi sasa Pointi tatu walizomnyima Simba kwa kupindisha ukweli hautawaacha salama msimu huu na uwezekano mkubwa wakarudi daraja la kwanza mcimu ujao. Itakuwa funzo kwa wengine
  11. Feberia

    Kibaha Vijijini kunani?

    Wanajamvi habari Napenda kuwasilisha kero kubwa kwa watumishi wa halmashuri ya Kibaha Vijijini ambapo watumishi walio wengi wanafanya kazi kwa kujituma na pindi juhudi zinapoonekana wengi wa wakuu wa vitengo ambao wanahofu ya kuondolewa na watendaji wanaojituma basi hutengeneza maneno au...
  12. Feberia

    Seleman Jaffo, karibu Kibaha vijijini

    Kwanza nikupongeze Kwa kazi nzuri uzifanyazo na uhakika IPO Sikh utaeleweka Kwa Yale utakayo yatekelezeke. Naibu Waziri upange safari ya kikazi utembelee Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Vijijini utajionea uozo wa kutizha katika sekta ya Afya, Elimu, Ardhi na, maji na nyinginezo. Katika ziara...
  13. Feberia

    Namba za Mzee wa Upako

    Wadau naomba msaada wa namba za mzee wa Upako Lusekelo , Ninashida sana wana JF
  14. Feberia

    Window wizard activator failed

    Wa kuu Napenda kuwasilisha ombi la kujuzwa nini kifanyike ili niweze kuondoa ACTIVATOR WIZARD FAILED katika PC katika window 10
  15. Feberia

    Maandalizi ya uchakachuaji wa uchaguzi mkuu 2015

    Habari wana Jf Kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa kuonyesha nini wananchi wameamua kuna mpango wa serikali ambao upo jikoni kuanza kuchakachua uchaguzi mkuu ujao kwa kuweka kiasi kikubwa cha pesa kwa kutumia maslahi ya wafanyakazi wa nchi hii mfano uliopangwa ni kwa serikali kuchelewesha...
  16. Feberia

    Pinda aaaaaaaa escrow + deci

    Wanajamii napata wasiwasi kidogo na kutahadharisha watanzania kutunza kumbukumbu jinsi gani Waziri mkuu anavyolipotosha bunge alikuwa anafahamu yote yaliyokuwa yanatendeka na kuahidi kuwa watashunghulikiwa wale wote waliohusika na kufanya watanzania kuamini yatafanyika. Miongoni mwao ni...
  17. Feberia

    Je! salary slip zinauzwa?

    Ndugu habari zenu Ningependa kufahamu wenzangu mnaofanya kazi katika serikali hii nje na mkoa wa Pwani je mmepata SALARY SLIP? Maana toka Julai 2014 hatujapata salary slip na kuleta shaka kidogo huku wenzetu wakifanya jambo si zuri la kutafuta mtu ama jamaa hazina na kutoa pesa ili aweze...
  18. Feberia

    Msaada wakuu

    Wanajf hbr Napenda kujua frequencies za kuangalia bure channel za cctv news, france 24, voa,bbc ,swahili africa na ubc ktk startimes ukiwa mkoa wa pwani
  19. Feberia

    Mizigo ya brn mafia 2014

    Wakuu wa JF habari zenu. Kuna jamaa mmoja alishawahi kuandika thread moja iliyohusu ELIMU katika wilaya Mafia. Mizigo hii inayosemwa hapa nchini kamwe haitawajibika mpaka Watanganyika wenyewe tuchukue maamuzi magumu ya kuwatoa hawa waliolewa madaraka. Matokeo ya mitihani kidato cha pili 2014...
  20. Feberia

    Kwa hili lahitaji kieleweke.......

    Ndugu wana JF Napenda kuweka mjadala hapa ili sisi watanzania tuweze kuchangia na hatimaye kuweza kufikia msimamo kwa miaka ijayo hasa katika kipindi kijacho cha uchaguzi mkuu. Yapo mashirika ya umma kama vile TANESCO, TTCL na huduma za maji. Mengi ya mashirika haya yanafanya hujuma ya...
Back
Top Bottom