Search results

  1. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Baada ya kupitia uzi unaomuongelea mtoto wa miaka mitatu mwenye uwezo wa kufanya hesabu na kuongea kiingereza' nimepitia comment za watu tofauti lakini nachelea kusema naungana na Faiza Foxy kwamba huyo mtoto anaendeshwa na nguvu ya ziada. Nasema hayo nikiwa na mfano hai' kama mtakumbuka Sheikh...
  2. Zyamwelele

    Mhitimu wa chuo kikuu akutwa makaburini akiroga ili apate ajira!

    Sijui kama hii habari tayari ishaletwa hapa jukwaani. Ni kwamba binti mhitimu wa Chuo kikuu (sijafaham Chuo gani) mkazi wa Dar es Salaam amekutwa makaburi ya Kinondoni akichumbua kaburi ambalo inasemekana ulilazwa mwili wa mwanaume! Alipobananishwa amefunguka kwamba baada ya kuhangaika kwa...
  3. Zyamwelele

    Daladala yaua na kuacha wengine majeruhi Kimara Suka

    Basi lilikuwa linatokea Mbezi kuelekea Ubungo!! Ajali imesababishwa na harakati za dereva kutaka kumkwepa jamaa wa bodaboda. Sina picha ya ajali walio eneo la tukio wataleta picha!!
  4. Zyamwelele

    Barua ya wazi kwa makampuni ya simu yanayoyotoa huduma za kifedha!!! Hususa vodacom & tigo.

    Kwanza nianze kwakuwapongeza kwa hizi huduma zenu' kwani licha yakwamba zimeturahishia shughuli nyingi sana lakini pia zimetoa ajira binafsi kwa watu wengi sana. Pongezi nyingi sana kwenu kwahilo ingawa gharama zenu bado ni juu sana. Kwaleo tasimama kama Wakala na si mteja!! Kuna kitu...
  5. Zyamwelele

    Hongera sana Raisi Uhuru Kenyata kwa kuliona hili!!

    Wakati viongozi wa Tanzania wakiendelea kujineemesha kwakujilimbikizia posho kila uchao' hali imekuwa tofauti Kwa Raisi wa kenya. Raisi Uhuru Kenyata ametangaza kupunguza asilimia 20 ya mshahara wake na viongozi wa nyadhifa mbalimbali'' pia ameongeza kuwa wanaangalia uwezekano wakupunguza...
  6. Zyamwelele

    Kwawapenda mabadiliko na wenye fikra huru........karibuni sana.

    2012/2013 1.Nauli zimepanda bei 2.Gesi imepanda bei 3.Umeme umepanda (na mgao kama kawaida) 4. N.k 5.Ongeza vingine uvijuavyo vilivyopanda bei 2012/2013 Tanzania swala la kupanda kwa bei imekuwa kama mchezo hasa kipindi cha hawam ya nne na viongozi wapo ila wameziba maskio kwa...
  7. Zyamwelele

    Kwawapenda mabadiliko woote wenye fikra huru.....

    2012/2013 1.Nauli zimepanda bei 2.Gesi imepanda bei 3.Umeme umepanda (na mgao kama kawaida) 4. N.k 5.Ongeza vingine uvijuavyo vilivyopanda bei 2012/2013 Tanzania swala la kupanda kwa bei imekuwa kama mchezo hasa kipindi cha hawam ya nne na viongozi wapo ila wameziba maskio kwa...
  8. Zyamwelele

    R.i.p

    R.I.P 2013 & HAPPY BIRTHDAY 2014 Nikweli kwamba Mwaka unaisha ukiwa wenye kheri na mafanikio kwa wengi wetu" lakini kwa upande mwingine mwaka unaisha ukiwa wenye majonzi na simanzi nyingi kwa wengi wetu pia" yote kwa yote tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuiona siku yaleo...
  9. Zyamwelele

    Jamani nimeibiwa au ndio halisi? Mwenye kufahamu naomba kujuzwa tafadhali!!

    Habarini wakuu! Nimeenda kununua gesi mtungi wa kg 15 bei nimeambiwa tsh 61,000, wakati nilijiandaa na tsh 54,000. Sasa wakuu hiyo ndo bei halali iliyotolewa na mamlaka husika au nimeibiwa? Kama ni bei elekezi imeanza kutumika toka tarehe gani na mwezi upi? Ilitolewa taarifa kwa umma...
  10. Zyamwelele

    Kuajiriwa imekuwa utumwa kwasababu elimu hajatukomboa....! Stuka na kujitambua ndugu

    Habarini wanakwetu!! Nianze kwakusema kwamba ELIMU kwa tafsiri ya kawaida ni ukombozi katika nyanja mbalimbali' ikiwa kifikra, kisiasa, kijamii au kiuchumi. Elimu itakuwa na maana pale tu inapotumiwa kama chachu ya ukombozi!! Lakini kwa sisi watanzania wengi elimu imekuwa kama fasheni'...
  11. Zyamwelele

    Cc liangalieni hili kwa jicho la tofauti!! Vinginevyo kiama kitawaangukia...

    Habarini wanajamvi!! Nianze kwakumpa pole ZZK kwayaliyotokea' ingawa pole yangu itakuwa yapongezi hasa nikijua kwamba hayo yaliyomkuta ni changamoto nA yanamkuza na kumkomaza kisiasa!! Binafsi nimwanachama halali wa CHADEMA na niliamua kuwa mwanachama baada yakuona kwamba viongozi wa chadema...
  12. Zyamwelele

    Nauliza tu jamani

    Hizi sio tarehe za illumiti kutoa sadaka? Siku ya leo imeanza vibaya sana'' Ushauri kwawakristo muombe Mungu na kumkabizi siku ya leo kabla hamjaenda kwnye matembezi yenu na kwawaislam vivyo hivyo swalini swala kabla hamjafanya lolote. maana paka tukimaliza siku tutasikia mengi leo.
  13. Zyamwelele

    Kwanini hii haitokei Tanzania

    Habarini zaleo wadau wa hili jukwaa! Imenifurahisha sana lakin kwa upande mwimgine imeniumiza sana hasa pale nilipojiuliza kwanini hii haitokei hapa kwetu (Tanzania)? Asubuhi yaleo nimesikia habari BBC kwamba kampuni ya magari ya Nissan ya Japan imesaini mkataba wakujenga kiwanda chakutengeneza...
  14. Zyamwelele

    Chonde chonde mliopo vyuoni!!

    Habari zenu wabunge wa hili jukwaa!! Kwamda mfupi niliokwepo chuo niliona yafuatayo; 1) Maisha ya wanachuo wengi niyakuigiza (hayana uhalisia) 2) Matarajio ya wanavyuo wengi ni makubwa kama sera ya elim ya sasa yaan (big results now). kitu ambocho ni tofauti na hali halisi ya huku mtaani...
  15. Zyamwelele

    Je kuna ukweli wowote hapa?

    Heshima zenu wakuu!! Nawasilisha kwenu hii'' licha ya kwamba utandawazi(globalization) kuonekana ndo chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili' Kwamtazamo wangu naona chanzo cha wanawake wengi kuwa wadanganyifu kwenye ndoa au kwenye upenzi chanzo ni kufikishwa kileleni! kwavipi? ndo...
  16. Zyamwelele

    Jamani' Jamani Myface!!

    Myface wee' jaman jaman Myface!! Ndo vile kichwa cha mtu hakiwezi kuwa angavu kama gras, laiti kama ingekuwa hivyo ningeumbuka mie leo' jaman jaman Myface' paka mapigo yamoyo yanakimbia!! Kwasababu sijawahi kukutana na maraika lakin wengu hutoa sifa lukuki kwamba maraika ni wazuri kama kwel...
  17. Zyamwelele

    Ukikosea hapa' wewe kwisha!!

    Kwa mtazamo wangu' mwanamke wa kuoa kwanza awe na nidhamu, awe anajitambua, ajiamini na mcha Mungu! Shape, sura na rangi hizi mbwembwe tu' ukitaka kufa kabla ya wakati wako jaribu hii'' oa kwa kuzingatia shape, sura au rangi. kama kama hatutakuzika mapema kwa sababu ya presha' ikikukosa presha...
  18. Zyamwelele

    Ndoa ni paradiso ndogo

    Makusudi ya Mungu nikuifanya ndoa iwe paradiso ndogo' kwawanandoa mnatimiza agizo la Mungu? au ndoa ndoano?
Back
Top Bottom