Search results

  1. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna kitu nimeona hii week kwa wenzetu wa Nigeria, aise wame mpasua sana mhindi wa Sportybet na hawabet football wao wanapiga tennis na basketball tuu. Kwetu huku sioni sana watu wakichambua basketball na tennis tumejikita zaidi kwenye mpira
  2. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mtu anayenunua code ndo mjinga, kwa kutumia akili ndogo tu kama huyo muuzaji anaamini code zake kwanini siweke pesa ndefu yeye ale awe tajiri?? Kwanini atake kuchukua kihela chako?? [emoji1787][emoji1787] ukijua hilo tu hutakaa utapeliwe na hawa wauza odds.
  3. Siafu na Manga

    Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

    Porojo za mjini hizo, wewe kula miwa achana na juice [emoji28][emoji28]
  4. Siafu na Manga

    Kumekuwa na mlolongo wa Malori yamepaki njia ya ubungo kuanzia shekilango hadi njia ya Ubungo maziwa

    Kumekuwa na mlolongo wa Malori yamepaki njia ya ubungo kuanzia shekilango hadi njia ya Ubungo maziwa, malori haya yamepelekea kuziba njia moja na kulazimisha gari zitumie njia moja tu na kusababisha foleni. Je siku hizi watu wanaamua tu kutumia barabara kama maegesho ya magari wakati...
  5. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii pesa ungekula hata mbuzi sikukuu kiroho safii kabisaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  6. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu level yako ya kujilipua ni kubwa sana 😂😂😂😂😂
  7. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Feel free to edit upate mechi zako chache hizi ni code za Sportybet
  8. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tujaribu na leo 20A28CE Sportybet
  9. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu huu mkeka unafanana na code ile niliyotoa ijumaa hapa. Mimi nime cashout. Uliogopa kuweka pesa ya maanaa [emoji1787][emoji1787]
  10. Siafu na Manga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Waliofata hii code imebaki mechi moja tu ya asubuhi kuna baadhi zimeahirishwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Hapa ncashout mapema tuu [emoji1][emoji1]
  11. Siafu na Manga

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    Ni kweli kwa upande mwingine kila mtu akirudu anataka kufidia muda ambao hakuwa online mchana. Mwisho wa siku kila mmoja anakuwa busy na simu tu hakuna maongezi
  12. Siafu na Manga

    Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

    Hii ni kwa pesa ya Kenya au Tz? Kama ni kwa pesa ya Kenya hapo ni equivalent na Tzs 40,000+
  13. Siafu na Manga

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kafundishe wewe
Back
Top Bottom