Search results

  1. F

    ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

    Hivi ninavyoongea kuna wateja chungu nzima wameachwa na ndege wakitokea DSM wakiambiwa wafike saa saba ndege imebadili muda kumbe si kweli hivi hawa wataweza biashara kweli
  2. F

    CCM wameshindwa kuishi kwa matumaini

    CCM hoi ha ha Polepole na Mwenyekiti wa CCM tunauliza kinana kawaachia laana hadi mumekuwa hoi modes musiondoe thread mbona zingine hamuondoi
  3. F

    TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

    Taarifa ya habari saa mbili, Nkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa, akithibitsha hali hiyo amesema hawana kamera, vifaa vya kuchanganya matangazo hawana na kwamba 1.2 bilioni waliyopewa ni kwa umeme na...
  4. F

    Kesi ya Mbunge wa Mbeya yatupiliwa mbali

    Leo Hakimu Mteite amewaachia huru Mbunge Sugu na Mzee wa Upako Mwambighija baada yamwenda mashitaka kushindwa kuleta ushahidi ni wa namna gani wananchi waliathirika kwa Mbunge huyo na Viongozi wa Chadema kufanya mkutano bila kibali tuhuma ambazo zimeonekana hazikuwa na ukweli wowote
  5. F

    FFU Kumburuza Mwanafunzi anayevuja damu nyingi kwenye karandinga Je ni halali

    Machozi yamenibubujika nilipoona kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili kwa askari wa FFU waliokuwa chuo kikuu wakimburura kijana ambaye wa kiume alikuwa anabubujikwa damu kichwani sijui kama yuko hai mpaka sasa manake alionyesha ameishiwa nguvu ameshikwa huku na huku akilazimishwa...
  6. F

    CCM, CUF waungana kusherehekea ushindi Dodoma

    Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa nduki kweli kweli my take ndoa yao ndio imekolea mpaka wanaongozana kwenda Dodoma ofisi za CCM...
  7. F

    Heko spika makinda kwa hatua makini

    Tangu jana wenyeviti wa kuendesha Bunge na wewe mwenyeo leo umeonyesha huna mchezo tena wa kuendekeza miongozo,nimelishuhudia ukimzima Ole Sendeka alipotaka MB.Silinde afute kauli yake kwamba kuna wabunge wa CCM wanaitwa na CC yao na kupewa vitisho,Ukiendelea namna hii sasa bunge lako...
  8. F

    Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

    Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo, anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia harufu ya chakula kizuri...
  9. F

    Mbunge wa Kilindi aipaka JamiiForums

    Asema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu ,mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini
  10. F

    Lazima William Mhando,Ngereja wonq'oke

    Kutokana na tabia za uongo za viongozi hawa wawili huku wakipigiwa hapuo na Waziri Mkuu aliyekuwa mtoto wa Mkulima Pinda na Raisi wa nchi Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete anayejulikana kwa uzururaji dunia nzima huku akiacha nchi yake ikiwa gizani totoro, na wengine wakifa kwa kukosa chakula...
  11. F

    Wachina, Wakorea, Wahindi, Waarabu, wanapata wapi ujasiri wa kufukuza watendaji wa afya?

    Karibu mwezi sasa tunaangalia kwenye vyombo vya watu matapeli wa huduma ya afya,wakorea,wchina,waarabu,wahindi, wakifoka na kuwafukuza wataalamu wetu toka wizara ya Afya,kwa maneno makali,kuwatupia mikono ya dharau,wanadai wajitambulishe kwa barua ,wanawzuia wasikague baadhi ya maeneo,kiujumla...
  12. F

    Hawa Ghasia atukana wanafunzi vyuo vikuu Dodoma

    Akiwa kwenye kipindi cha channel ten on monday pamoja na naibu mwanasheria mkuu George Masaja kwa pamoka wamesema wanafunzi wa vyuo vikuu Dodoma walienda bungeni kujadili Mswada na mawe mfukoni alipobanwa watoto waliopelekwa bila kula na kuzomea watu mwanasheria mkuu akasema hakuona wanazomea...
  13. F

    Maige jiuzulu asilimia 20 ya twiga wafyekwa kila mwezi

    Habari za kusitua sana gazeti asubuhi hii limesomwa likieleza kuwa Twiga wamo hatarini kutoweka ,asilimia 20 ya twiga wafyekwa kila mwezi,huyu maige si ndie aliyekataa wazo la Raisi kutumia jeshi kulinda wanyama,nadhani Raisi atakuwa amepata taarifa za gazeti hilo na aone sasa waziri wake...
  14. F

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Shitambara ameiona NGUVU ya UMMA aachwa akisikilizwa na wana CCM wenye mashingingi ,ikiwa kwenye mkutano Uyole alikuwa akisikilizwa na wanachi nadhani wana CCM wachache pemeni kukiwa na wanachadema na bendera zao wakizipeperusha huku wakisikiliza alivyosema tuu jumamosi musihudhurie kwenye...
  15. F

    Kiti cha kikwete na miujiza

    Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini watu wa protokali pale IKULU wazunguka na Kiti cha raisi wetu mpendwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Je kinamiujiza gani ya kiulinzi,jee anamatatizo gani ambapo hawezi kukalia viti vingine,je ni kuendeleza utukufu kwamba kwa vile yeye ni Raisi lazima akalie kiti...
  16. F

    Chanel 10 na music wakati wa mada za maana

    Channel 10 wananiudhi sana sasa hivi kwenye kipindi cha Je tutafika yupo jaji Mkuu mstaafu Agustino Ramadhani Brigedia hashim Mbita wanaongelea kuhusu katiba lakini nasikiia kwa taabu hata neno moja kumewekwa music wa kizazi kipya kwa sauti kubwa kabisa na hii si mara moja hata taarifa zao au...
  17. F

    Huu ndio uhuni uliotokea Arusha

    a Samson Mwigamba KWA ruhusa yenu wasomaji naomba nianze kwa kuwashukuru sana kwa mrejesho mlioufanya juu ya makala yangu ya wiki iliyopita. Ni imani yangu kwamba Waziri Kombani ameisoma ile makala na kama si yeye basi wasaidizi wake wameisoma na watamweleza na kama si wasaidizi wake...
  18. F

    Elections 2010 Bendera Ya Chadema Yapepea Mlima Kilimanjaro,

    @ Madaraka naona nitumie taarifa yako hii hapa JF japo sio yote ,Siku mbili zilizopita, nikielekea kilele cha Mlima Kilimanjaro, katika kambi ya Barafu, ambayo ni kituo cha mwisho kabla ya safari ya kufika kilele cha Uhuru niliona bendera ya CHADEMA ikipepea. Kwa mujibu wa taarifa...
  19. F

    Sema la Moyoni

    nimejiunga na JF muda si mwingi uliopita naanza kugundua kuwa nimekuwa teja wa jamvi hili kila siku napenda kupitia na kusoma wakati mwingine na kuchangia mawazo hamuoni kwamba nimeanza kuharibikiwa jee dawa yake nini Nibaki au niondoke
  20. F

    Wanajamii

    Salamu zenu nafurahi kuwa mmoja wenu,kuna mengi yakujifunza:):)
Back
Top Bottom