Search results

  1. Abdulhalim

    Who are real robbers?

    During a robbery in Guangzhou, China, the bank robber shouted to everyone in the bank: "Don't move. The money belongs to the State. Your life belongs to you." Everyone in the bank laid down quietly. This is called "Mind Changing Concept” Changing the conventional way of thinking. When a lady...
  2. Abdulhalim

    Unatafuta nini kwy profile ya mwanaume mwenzako?

    I cant' really understand. I think it is gay.
  3. Abdulhalim

    Ma-baameni? Je hii ni kweli?

    Was'alamu wandugu wana jamvi. Mi mgeni 'mji' huu nimeonelea ni vyema niulize mapema njia nisije nikapotea na kukanyaga 'maua'. Hoja enyewe iko hivi: Majuzikati tu baada ya kazi ngumu ya ujenzi wa taifa hili tukufu linalobomolewa na wengi, nikiwa na jamaa yangu toka-nitoke tukaonelea ni vyema...
  4. Abdulhalim

    Ukaguzi wa LAZIMA wa ZIMAMOTO: Fundraising nyingine kuelekea 2015

    Wanajamvi, Kwa wale wanaofuatilia vyombo vya habari natumaini watakua wameshaona tangazo linalohusu haya makitu. Wahusika pamoja na wenye mikweche kama ilivokua awali, pia wanajumuishwa wote wenye nyumba, mahoteli, viwanda n.k. Hili suala nililisikia mara ya kwanza mwaka jana kwa jamaa yangu...
  5. Abdulhalim

    'Two and a Half Men' star begs viewers to stop watching his 'filth' of a show

    Kumbe dogo nae ni sabato-masalia..eerh ni show ya shetani, lakini pesa tamu!
  6. Abdulhalim

    "Raha" ya Ubachela

    Hiyo ndio typical dina ya nanihii.. Cku akiamua kupika huwaga ni chapati 2 za Azam + supu ya lamb chop & mchanganyiko wa chinese cabbage, nyanya, pilipili hoho, pilipili kali, kitunguu, spices, chumvi + maziwa kidogo. Halafu unamaliza Windhoek 2 baridi sana.. Life can't be better..
  7. Abdulhalim

    Nami nafunguka!!!

    Wadau Eid Mubaraq, Natumai mnatabaruq maaqul al'asir hii na wale ambao mida bado haijafika basi naona kwa mbaali mmeshajaza mate midomoni na kuandaa njaa. Binafsi nimeshaweka tayari ndizi 3 mbivu kujielekeza huko nilikoalikwa. Kama nilivyojiahidi kuwa kabla ya summer kuisha na mie nitafunguka...
  8. Abdulhalim

    Wapi inapatikana app ya K3565-Z ZTE modem for Lion OSX

    Wandugu heshima mbele, Naomba mwenye ufahamu tufahamishane ni wapi nitapa dashboard application ya hii modem ya vodafone kwa maana ya kuidownload., if it exists at all. Natanguliza shukrani.
  9. Abdulhalim

    'List of references' ndio nini? tujuzane.

    Waungwana heshima mbele, Nilitaka kujuzwa jambo, hivi 'list of references' ni nini? Context ya kuuliza hilo swali ni kwamba kuna tenda/project flani tuna-apply, sasa client anataka tupeleke cover letter, CVs na hiyo 'list of references', my guess labda inamaanisha 'referees', sasa kwene ishu...
  10. Abdulhalim

    Tujuzane kuhusu scales za mishahara (esp. za GoT)

    Wanabodi heshima mbele, Sanjari na zoezi zima la kutafuta ajira ni muhimu pia kwa sisi watafuta ajira kuwa na taarifa sahihi kuhusu kipato-tegemewa kuhusiana na ajira tunazoziomba. Kwa minajili ya kuujuza umma wa watafuta ajira ingependeza kukawekwa hapa jamvini ule mwongozo wa scales za...
  11. Abdulhalim

    Sasatel: Another crappy modem-what else is new??

    @Mods, uzi mtauweka kwene jukwaa muonalo linafit zaidi, mkipenda Baada ya kuchoka na spidi za 'unlimited' za 0.00 kps za Voda niliamuaga kuhamishia majeshi huku Sasatel, kwa sababu mie ni mtu wa kutotaka attachment huwa na nachukuaga package za wiki ili nikiboreka iwe rahisi kusepa na kuacha...
  12. Abdulhalim

    Kuchakachua Vodafone K3565-Z modem

    Heshima mbele.. Samahani kwa wadau kama hili suala lilishajadiliwa, maana tool ya 'search' ya JF imekuwa ya hovyo sku izi. Ni hivii..natafuta means ya kuchakachua hii modem ya Vodafone K3565-Z ya Voda ili nieze kuingiza line ya tIGO. Natanguliza shukran
  13. Abdulhalim

    Dia Frampton: Red album

    Kwa wale mliofuatilia 'The Voice' season 1, mtamkumbuka binti huyu, very innocent and shyly face, alikuwa mentored na Blake Shelton, mzee wa 'you will be my Louisiana, I will be your Mississippi...I will be your honeybee' . Binti ametoa album yake ya kwanza inakwenda kwa jina la 'Red', nyimbo...
  14. Abdulhalim

    LG GT540 phone kutofanya kazi, msaada

    Mazee heshima! Sasa ni hiviii, kuna simu LG GT540 imenunuliwa online kama 'unlcked', sasa kwa specs zake, kama zinavoonekana hapa LG GT540 Optimus - Full phone specifications inaonesha kwamba by default it should work with any of the Tanzanian service providers, kupitia GSM 900, etc sasa cha...
  15. Abdulhalim

    Maumivu makali ya hip and leg muscle(s)

    Wakuu heshima mbele, Nimekuwa nasumbuliwa kwa takriban muda wa wiki 2 hivi sasa na tatizo la maumivu kwene hip muscle. Mwanzoni ilianza kama maumivu ya hip muscle na baadaye yameshuka mpaka kwene goti kwa pembeni yake. nilijaribu kutumia some muscle relaxation drugs bila mafanikio. Kwa...
  16. Abdulhalim

    Tareq Salahi files for divorce due to wife's Journey affair

    RICHMOND, Va. -- Celebrity White House gate crasher Tareq Salahi filed for divorce Friday, claiming his wife was flaunting her affair with the lead guitarist for the rock band Journey. Tareq Salahi filed paperwork in Warren County saying his wife, Michaele Salahi, abandoned the marriage when...
  17. Abdulhalim

    Lil’ Wayne’s Got A Thing For Skylar Diggins, Wears Her Jersey On Stage

    Mcheki hapa. Few days ago alianza kumtweet sijui nini na nini sijui wife..sasa naona anaescalate the assault kwa kuvaa jezi yake kwene concert.sasa naona amedeclare vita...ha ha ha...ze mhunzi is pullin' every trick on his sleeve juuuuust to get laid..lol Nways, imagine kama wewe huu ndio...
  18. Abdulhalim

    4 Out Of 5 Real Housewives Of Atlanta Are Actually Broke

    source My take: WTF?? lol
  19. Abdulhalim

    ZEITGEIST:'' Moving Forward'' movie is OUT

    Dear friends, Mzigo huu hapa.. YouTube - ZEITGEIST: MOVING FORWARD
  20. Abdulhalim

    NBA: Regular Season 2010/2011

    Interesting Games X-mass hii.. Magic naona wamekeep the faith and have just succeeded to snatch away 14-0 streak ya Boston Celtics..it did n't look from the beginning lakini ndio hivyo revival ya 4th quarter imewatoa.. Sasa mpambano unaosubiriwa mda mchache ujao ni Staples Center baina ya...
Back
Top Bottom