Search results

  1. Abdulhalim

    Hakuna upigwaji humu?

    je unataka kunyolewa kwa chupa?
  2. Abdulhalim

    Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

    hatari sana. labda anatumia mihadarati huyu binti
  3. Abdulhalim

    Nyumba ya Dudley Mbowe kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi

    Tarehe 30 February sio? chadem mnachekesha sana yani!
  4. Abdulhalim

    Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

    duh mwanaume unaacha kupambana kiume eti unaandika kabisa kuwa umeshambuliwa! yaani umebondwa kama ngoma!
  5. Abdulhalim

    Arobaini ya Simba wa Vita leo: Amaizing Coincidence!

    "Mzee mpaka leo ukikutana na EL utaiona smile usoni inayokuwa betrayed ya macho yanathibitisha donge moyoni."..unquote!
  6. Abdulhalim

    Muujiza wa hesabu ndani ya Qur-an

    Hamia tu huko, wacha kuitesa nafsi yako.
  7. Abdulhalim

    Muujiza wa hesabu ndani ya Qur-an

    Duh hatari. Umenikumbusha kitambo sana mambo ya Waraq ibn Nawfal.
  8. Abdulhalim

    Serikali kulipa mabilioni mengine kwenye kesi ya kubumba. Nani ni wanufaika wa huu ufisadi wa kalamu?

    mnufaika kivipi tena? kwn uzi unahusu nini? watu mna maagenda yenu lakini nakumbusha tena, sio kila mtz ni mjinga asiyejielewa!
  9. Abdulhalim

    Profesa Janabi apuuzwe!

    hivi huyu jamaa ana umri gani?
  10. Abdulhalim

    Serikali kulipa mabilioni mengine kwenye kesi ya kubumba. Nani ni wanufaika wa huu ufisadi wa kalamu?

    Jikite kumtafuta mnufaika bradha. acha kurukaruka kama malage yanayoivishwa..
  11. Abdulhalim

    Serikali kulipa mabilioni mengine kwenye kesi ya kubumba. Nani ni wanufaika wa huu ufisadi wa kalamu?

    Aliowaita hawa Indiana ndio mnufaika mwenyewe, mtafuteni mtamjua achaneni na nadharia za abunuasi eti awamu ya tano! msifikiri sisi sote ni wajinga.
  12. Abdulhalim

    House4Sale Nyumba inauzwa Dodoma Mjini

    Mil 300 za Zimbabwe au? au basi
  13. Abdulhalim

    Serikali kuunganisha Mashirika 19 yanayozalisha hasara na kuunda Mashirika 7 tu!

    kwa hiyo, mathalan, serikali ikawa na shirika linalouza mandazi na linaleta faida ya ef50 kila mwezi, kwa hivo hapo hilo shirika ni ni bora kuliko, mathalan ATCL?
  14. Abdulhalim

    World Bank yapendekeza Serikali iongeze kodi zaidi kwa matajiri ili kuleta usawa wa kiuchumi nchini

    ushauri wa mganga wa kienyeji. hao matajiri kuhamisha mitaji nje ya nchi ni dk 0 tu.
  15. Abdulhalim

    Milioni 700 za Rais Samia Zamaliza Ujenzi wa Daraja la Kiseru - Kiteto

    Duh sasa nimeelewa kwnn anatembea na mabomu na maaskari wenye binduki kubwakubwa. Kumbe mheshimiwa ana mapesa mengi hivi?
  16. Abdulhalim

    Jana nimeamini ushirikina upo, wamakonde heshima kwenu

    Wamakonde wa Nchumbiji au wa Newala?
  17. Abdulhalim

    Taarifa kwa umma kuhusu madai ya TRA kupandisha ushuru wa magari toka nje ya nchi

    Zibaki ndani ili wanunue Boxer na Mo Dewji sio?
  18. Abdulhalim

    Tuko Milioni 60,Serikali kwanini isitulipe wananchi kila Mwezi milioni 1 ambazo kwa ujumla itakuwa milioni 60?

    wakati wenzako wanasoma hisabati wewe ulikua unasugua mbegu za ubuyu ili uwachome nazo..
  19. Abdulhalim

    Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

    very soon bajaj wataanza kupakia abiria dsm -moro..
Back
Top Bottom