Search results

  1. K

    EFM yapewa ruksa ya kuruka mikoa 10 ya Tanzania, Nape amsifu Majay. Hofu yatanda Clouds Media Group

    sizani hata amewahi hata kumuona live huyo Majizzo zaidi kwenye picha .. .. mwacheni leo tarehe 8/3 anasheherekea sikukukuu yake.
  2. K

    Vimemo Bandarini; Nani walikuwa wanaandika?

    Nashukuru Mungu mpaka jana 8billion kati ya 12 bilion ishaingia kwa Magufuli a.k.a serikalini kwahiyo bibi yangu kule Mliayoyo atapelekewa madawa ya kutosha kwa bei nafuu. Endeleeni kubishania makaratasi (memo) yeye Msukuma anaikimbiza shilingi hapa kazi tu.
  3. K

    Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Yaani ndio naona uwezo wa mungu ulivyo tuumba tofauti kweli kifikra yaani kuna watu hawaoni hata chembe Juhudi za kulikomboa hili taifa nakutafuta vitu vidogo vidogo nakuponda, nakumuombea kufeli Khaa tunakaazi kweli. Kwa kweli mimi binafsi kwa uthubutu aliouenyesha namuombea kwa mungu ampe...
  4. K

    Taarifa kwa umma kuhusu vyeti vya kughushi

    Nimesona gazeti la leo Mwananchi taarifa kwa Umma Kuhusu vyeti vya Kughushi VETA na majina yao yametolewa. Kwa kweli inasikitisha na ndio maana kazi zinakua adimu ndugu zetu hawapati kazi ukiangalia hapo ni VETA tu lundo wamefoji je Vyuo vingine duh inabidi serikali wachukulie hili ni janga...
  5. K

    Mwandosya, Wassira, Lowassa, Amina na Makongoro Kuchukua fomu kesho

    Rais bernard membe 2015 - 2025 kama utaki basi lakni huu ndio ukweli
  6. K

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Benz inakula mafuta na spea ghali ndio maana tunakimbilia kwenye vitz
  7. K

    Kuitwa kazini TRA

    mimi nimeona namba inaishia na 700 je ndio zenyewe airtel naipiga haipatikani?
  8. K

    ACT-Wazalendo kushinda uchaguzi mkuu Oktoba kama chama cha APC cha Nigeria

    Act wazalendo & zitto ndio habari ya mjini
  9. K

    Siyo Siri CHADEMA Imepata Jeraha

    ACT Mzalendo Oyeeeeeeee mengine zilipendwa.
  10. K

    Picha: Zitto Achaguliwa kwa Kishindo kuiongoza ACT-Wazalendo

    Bado tuu Hamjajifungua Mimba aliowatia Zitto!!! au Mimba za Ester?
  11. K

    Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

    Bado tuu mnamimba ya Zitto? Kha!! unajua tunawashangaaa! simfanye yenu ya kuchukua dola 2015 Ingawa mnaota mchana kweupeeee "foward ever backward never"
  12. K

    CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    mmh Kazi kweli kweli kha! alafu nimepeleleza sana CHADEMA akili zenu wote zimefanana hata kama wivu huo wivu wa kike. Haya Wana ACT tukutane kwenye Ufunguzi tarehe 29 ACT oyeeeeeeeee
  13. K

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Acheni kuzua zua mambo msiyoyajua kwanza hy Gwajima afatiliwe na Pinda kwa lipi? Hy Gwajima analaana ya kuchukua Mke wa Mtu, Pinda anamambo mengi ya kufanya, afatilii Mbwia Sembe wa nini!! kaiuza imeona haitoshi sasa anakula mwenyewe.
  14. K

    CHADEMA kususia kuhudhuria mkitano mkuu na uzinduzi wa ACT-Tanzania

    mmh Kazi kweli kweli kha! alafu nimepeleleza sana CHADEMA akili zenu wote zimefanana hata kama wivu huo wivu wa kike. Haya Wana ACT tukutane kwenye Ufunguzi tarehe 29 ACT oyeeeeeeeee
  15. K

    Ujio wa Zitto Kigoma, Magdalena Sakaya wa CUF ndani

    Nimeipenda hii habari Magesi asante kwa taarifa je atakuwa na Mkutano kuhutubia wana Kigoma Kaskazini? please tunaomba kadiri unavopata habari uweke uzi wa kutujuza.
  16. K

    Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    Hilo halina ubishi kwani wao wanavyoomfukuza wanasema na huko usiinde, yeye atakuwa huru na yeye kama mwanasiasa atakuwa na chama kingine chochote atakachopendelea kwenda kuendeleza siasa. Kila la kheri Zitto Alisema kwa upande wake, anachukulia suala hilo kama changamoto ambayo inazidi...
Back
Top Bottom