Search results

  1. C

    Jamani hii dawa ni kweli au vituko vya madenti?

    Mtoa mada sijui amekusudia nini, lakini naona anataka kupotosha Umma, haya ni maoni yangu, I have nothing against her. Lakini japo kua imechangia kitu kikubwa ambacho labda wengi hamjaki-notice, ni Post ya MziziMkavu, hii ni lesson that every one of us should learn and teach our children and our...
  2. C

    Je Watanzania walio ughaibuni Wanaijua Tanzania ya sasa?

    Jamani tusimlaumu mtoa hoja kwani labda amekutana na mtu aliondoka 40+ years, mimi kwa maoni yangu mtoa hoja ametoa kwa nia njema kama kuwabembeleza wa-Tz walioko nje wasisahau kwao hata kwa matembezi especcially vizazi vyao,kwani kuja na kujionea maendeleo au hata si maendeleo ni bora kuliko...
  3. C

    Tanzania imekwisha??

    Braza Lampart, Ingawa umeomba comment zetu bila ya kujali itikadi za kidini, lakini huwezi kujizuia bila kutia dini kidogo. Kwani ukiangalia Mkapa ndio alioiyua hii nchi japo kua Kikwete kaja kuimaliza, lakini kelele hizi hatuzisikia wakati wake na hata baada ya kuondoka madarakani. Kwa mujibu...
  4. C

    Mauaji ya Kisiasa Zanzibar

    Nakubaliana na wewe Nyerere is not there anymore, but Mkapa is still there with Billions of money he accumulated during his term. Kwa hiyo ina maana anaefanya makosa hastahiki kujibu au ndio siasa ya ccm kulindana?. Angalia kwa makini Mkapa wa instruction na mafunzo ya Nyerere amewaaccha watoto...
  5. C

    Mauaji ya Kisiasa Zanzibar

    Nyerere aliwekwa na waislam kua Prime Minister only wakati wa uhuru, lakini alipokubali kutumikia kanisa na kuimeza Znz ndio waka(Vat) mpa uraisi usio na mwisho. One thing you should know is I know what I'm talking about.
  6. C

    Mauaji ya Kisiasa Zanzibar

    Mimi nafikiri unajisemea tu kama uliokunywa vya kulewesha. Natumai kwa elimu yako ndogo unamfahamu Boutros Boutrous Ghali aliekua secretary General wa UN kua alikua ni Mmasri na ni Mkristo. Jee alikua Muislam kwanza na baadae kupata cheo ndio akabadili ?For your information nchi zote...
  7. C

    Mauaji ya Kisiasa Zanzibar

    Braza countries like Lebanon is a Arab country and they are 50-50 Muslim and Christian, There are Mosques and Churches every corner and people live together. Huo ni mfano mmoja wa nchi ya kiarabu , sasa nenda Egypt, Syria, Jordan na Morrocco na Iran uangalie ratio ya religious, infact Morroco...
  8. C

    Hivi Rais Karume Ana Aleji na Sherehe Zihusuzo JMT?

    The point here is, Karume Srn. kapindua na ameuwawa madarakani na tukihisabu alioyafanya mazuri kwa Znz ni mengi kuliko alioyafanya Nyerere bara. Basi kwa nini Karume hakumbukwi kwa gharama za serikali kila miaka kumi? Ni Upuuzi na Ujinga kutoka watu Znz kwenda butiama kwa kumbukumbu za Nyerere...
  9. C

    Mauaji ya Kisiasa Zanzibar

    Nyerere kupewa U-Saint labda ni kwa mazuri alioyafanya,( KAMA KUNA ZURI ALIOFANYA) lakini haina maana asisemwe kwa mabaya ya ki-nyama alioyafanya. AS what you call him "Baba wa taifa" na ndio muasis wa chama cha CCM basi kila aliekuja / anaekuja kukamata U-raisi especcially alipokua hai then he...
  10. C

    Kuoa au kuolewa kuna faida gani!!!

    Katika jamii nyingi duniani wanasema ukiwa huja owa au kuolewa basi bado hujatimia provided u-mzima wa afya, Kwa wengine wanasema ndoa ni kua na "Legality of ownership" ama ya mume au mke.And then the legality of what you produced between you and your partner. Kuna baadhi ya wazungu nilishawahi...
  11. C

    Spika Sitta Kung'olewa?

    Hii ni moja katika sera ya CCM kuiba na kulindana, Chukulia wewe M-Tz umekwenda Somalia na umedhuliwa na msomali ukaenda kushtaki, siku ya mahakamani ukamuona ulimshtaki ni Msomali na wakili wake na wako ni wasomali na la mwisho Jaji ni Msomali, sasa we Braza kutoka Bongo una lako hapo? Hii...
  12. C

    Risasi Zaruka Pemba: Ni Katika Zoezi La Uandikishaji Wapiga Kura

    In Tanzania and most African countries YES. Look zimbabwe, Kenya ect. Maraisi wengi wanapokaa kwenye madaraka huona kua huo ni urithi mpaka kufa au kutolewa kwa nguvu. Bachanan, Umeshajibiwa " Ukiona mwenzako..........." Jee hizo risasi si zingetumika bora kwenye kuwalinda ndugu zetu wa-albino...
  13. C

    Risasi Zaruka Pemba: Ni Katika Zoezi La Uandikishaji Wapiga Kura

    Hapa hawatakiwi viongozi wa dini, wanaotakiwa ni waganga wa jadi na msaada wa Popo bawa. This is just testing the water, the real game is after the registration is over.
  14. C

    Obama's Kenyan Birth Certificate Released!!!

    Nafikiri huyu mama angelikua TZ angeliwa-Disqualify maraisi wote wa kwetu, Kuazia Nyerere , Karume Snr na Mkapa, hawa wote hawakuzaliwa Tz na wala hawakua raia wa hapa. I think she need to see psych. Doc. Idon't know what she wants to prove. Amwache Mjaluo achape kazi na atoe siri zote za...
  15. C

    Ipi lugha sahihi

    Mimi ninavyo ona yote matatu ni sahihi, inategemea na wakati na kitendo unchofanya. i.e Ikiwa umelikata chungwa vipande vipande na unachukua ukitafuna basi "unakula chungwa". Ikiwa ume li-squeeze au umelikamua maji yake ndani ya glass, hapo ndio "unnakunywa (maji ya) chungwa" Na ikiwa...
  16. C

    Rais Karume Amechemka? Adaiwa Kuvunja Katiba.

    Eee Bwana, Kwa hili mimi naona kafanya cha maana, kwani jamaa ameshaona mbali kua kuna mpango wa kuletewa jaji mkuu kutoka bara (Dodoma's choice). Kwani hukumbuki kuletwa majaji kibao kutoka bara mpaka wilaya ndogo ndogo za Pemba, cha ajabu wote walioletwa majaji ni wakiristo. Mind you sina...
  17. C

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Sasa Braza ulizia kuhusu mahari kwa Wahindi (Hindu sect.) Kwanza unajua kua mwanamke wa kihindi ndiye anaelazimika kutoa mahari? tena ni hela nyingi pamoja na dhahabu, sasa wengi hua hawa afford na wanataka watoto wao waolewe kwa hivyo hutoa ahadi kua watalipa kwa kipindi fulani...
  18. C

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Kwa ki-Islam Mahari ni Suna tu sio lazima, hayo nimaelewano baina ya wazazi, wala sio kama ndoa haiwi halali bila ya mahari. Kuna mtu alikwenda kuposa na baada ya wiki alipopewa jibu kua amekubaliwa, akauliza " baba mahari ni kiasi gani?" Baba wa mtoto wa kike akamjibu " mimi simuuzi (not for...
  19. C

    Vijana wa Bara Wapewa Vitambulisho Vya Ukaazi Z'bar?

    Braza, Huko Pemba nenda kwa marefu na mapana hakuna atakae kuchoma, kwani wana nyama nyingi tu zinatosha kwa mishikaki yao. Iwapo utakwenda kwa salama hutakua jambazi au kupiga kura uliokua unajua hustahiki kupiga pale basi nakuhakikishia utakaa kwa salama na utapapenda. Na ukitaka...
Back
Top Bottom