Search results

  1. O

    Ushauri tafadhali wakuu

    Ndio hivyo,ilikuwaga mzee .
  2. O

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Kwani we ulivyosema ninao ulitumia kithibitisho gani??? Humu Jf wengi ni matepeli na walaghai hakuna ushauri wa maana ,hao wanaojifanya wajuaji ni matapeli wote. Wamenitafuta sana wanitapeli wakaangukia pua !!!
  3. O

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Hospitalini tunafuata ushauri tu,upime hospilini ama ujipime nyumbani kama unao upon tu na km huna huna tu. Mimi nilipitia masaibu makubwa ndugu hd wakina Mzee RAZA humu wakagonga msumari wa mwisho kwamba tayari nimewaka na kunishauri kuwahi dozi mapema . vipimo vyote vya home na hospitali...
  4. O

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari za Leo.naomba kujua ni kwanini Tanesco wameniongezea gharama za unit za umeme ,awali nilikuwa nikinunua umeme wa sh5000 napata unit 24, lakini kwasasa nikinunua umeme wa sh 5000 napata unit 14.1 yaani being zimeongezeka Mara 2 kimyakimya . Serikali ya viwanda na gharama hizi tutafika...
  5. O

    Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake

    Nendeni Hospitali mkafanye na vipimo vingine.
  6. O

    Majibu tofauti na dalili

    Ni ghali kuliko Afya yako au Sijakuelewa?
  7. O

    Majibu tofauti na dalili

    Basi fanya hivyo mkuu.
  8. O

    Majibu tofauti na dalili

    Pole sana. Kwani baada ya majibu walikuambiaje?? Fuata ushauri wa wataalamu.
  9. O

    Madaktari nisaidieni: Ugonjwa gani huu!

    Pole sana AFANDE, nadhani unaweza ukawa na tatizo kwenye mfumo wa chakula au gastriosis, jaribu kufanya check up zaidi. Hata mimi nilikuwa na tatizo km hilo nikafanyiwa EGO, niliambiwa ninatatizo la EGD na hitus hernia, mpaka sasa niko kwenye dozi, nilipewa vidonge vya essomeprazole na anti...
  10. O

    Mwalimu wangu Master Herbalist Dr. Sebi akieleza namna ya ugonjwa wa UKIMWI unasababishwa na mucus au “ute”

    Kwahiyo na ww unadawa ya kutibu UKIMWI?? make wasema kwamba wanafunzi wote aliwafundisha namna ya kutengeza hiyo dawa na wengi wameuawa.
  11. O

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    1) Je, kipimo cha SD bioline na UniGold vinauwezo wa kuonesha maambukizi ya muda gani tangu virusi kuingia mwilini? 2) je ,mtu ambaye ni H. I. V negative anauwezo wa kumuambikiza mwenza wake?? 3) Je, mtu anaweza kuonesha dalili za H I V kwa miezi 6,ila akifanyiwa vipimo anakuwa negative...
  12. O

    Matatizo ya kiafya.

    Powa kiongozi, ni dunia tu!!
  13. O

    Je, mtu mwenye H I V anaweza kutimiza ndoto zake???

    Ahsante MZEE RAZA, nimeshapima majibu ni negative. Nasubiri muda nikarudie. Namshukuru Mungu!!
  14. O

    Je, mtu mwenye H I V anaweza kutimiza ndoto zake???

    Amina na uzima uwepo km ulivyosema namshukuru sana kwa kunitia moyo. Ngoja kipindi cha mpito kiishe nikapime tena!! Ahsante kwa ushauri wako mkuu.
  15. O

    Je, mtu mwenye H I V anaweza kutimiza ndoto zake???

    Mmmh, hujafa hujaumbika, jamaa hajui km anaweza kufa kwa ugonjwa hatari kuliko Ukimwi na akatangulia kabla yangu. Naamini Mungu hajaniacha. !!!
  16. O

    Je, mtu mwenye H I V anaweza kutimiza ndoto zake???

    Namshukuru kwa Ushauri wenu wakuu,ila sio kwamba nina maambukizi isipokuwa kuna dalili zinazotisha kwa muda wa miezi miwili sasa. Nikizingatia kwamba kuna Mahali ilipita nahisi sio salama ingawa nilitumia kinga ila bahati mbaya kuna upele kalitumbuka na kutoa usaha, so km ni virus nahisi...
  17. O

    Je, mtu mwenye H I V anaweza kutimiza ndoto zake???

    Diabetes type 2 ni ugonjwa gani mkuu .??
  18. O

    Je, mtu mwenye H I V anaweza kutimiza ndoto zake???

    Wadau nisaidieni, Je mtu mwenye HIV positive anaweza kutimiza ndoto zake za kitaaluma na kuendelea na maisha?? Mfano kusoma degree ya miaka minne na kufanya kazi na kuendeleza maisha ,hata kuwa na familia?? Naombeni majibu, Ushauri na hata mifano km ipo!!!
Back
Top Bottom