Search results

  1. K

    msaada tafadhari.

    habari zenu wadau, tafadhari naomba msaada jinsi ya kupata zilipendwa dansi za afrika mashariki.
  2. K

    Msaada: Chuo kinachotoa couse ya IT.

    Habari za jioni wadau wa jf, naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya it ngazi ya cheti na stashahada. Nitafurahi mkinitajia vyuo vilivyo kanda ya ziwa na gharama za hizo couse kama hamtojali.
  3. K

    Hello naomba mnipokee wakuu.

    Habari zenu wadau, nimegundua kua kila aina ya habari inapatikana huku jf nami nikaamua kujiunga rasmi. Hivyo naomba wakuu mnipokee.
Back
Top Bottom