Search results

  1. G

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    mtatiro umepotea ndugu yangu, wewe ni kiongozi chunga kinywa chako, unachofanya ni uchochezi sio kutibu jeraha!
  2. G

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    mtatiro umepotea ndugu yangu, wewe ni kiongozi chunga kinywa chako, unachofanya ni uchochezi sio kutibu jeraha!
  3. G

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    mtatiro umepotea ndugu yangu, wewe ni kiongozi chunga kinywa chako, unachofanya ni uchochezi sio kutibu jeraha!
  4. G

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    kwanini tusiwe kama wenzetu wakristo! kila jambo kumwachia mungu, maana imeandikwa usilipe baya kwa baya, usishindane na mamlaka zilizo juu yako. sasa tunajenga au tunabomoa? ndo maana wenzetu wakristu wanatudharau na kutuone wakorofi tusio wacha mungu, watu wachache wanatufanye waislamu...
  5. G

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    hivi mungu akuumbe wewe afu unataka kumpigania hiyo akili kweli! sura gani inayomtaka muumini apiganie dini? tujifunze neno la mungu tulielewe vzr. hata bible na quran zimeandika tiini mamlaka zilizo juu yenu, pia itiini serikali ilioko madarakani, hivi wenzetu tunajifunza nini ktk neno la...
  6. G

    Tatizo sikukariri number yake.....!.!.!

    huu ni uongo usio enda shule, unadanganya watu wazima bwana na wenye akili zao, kwani namba zao hawazijui? Kama mmoja alidanganya namba je wa pili hakuweza kugundua namba ya mwenzake, sio hilo tu hata sauti hawajuani kweli? Acha uongo wa kitoto.
  7. G

    DOWANS waisamehe TANESCO deni lote!

    Nakumbuka wakati Mkapa anamaliza muda wake wananchi walimuomba abadili katiba agombee tena, kwa hekima zake alikataa. JK usipokuwa makini na kukemea uchafu huu wa kifisadi ipo siku utasikia wananchi wako wamechoka uongozi wako na kukutaka uachie madaraka kama hulindi kodi ya Watanzania. Hawa...
  8. G

    DOWANS waisamehe TANESCO deni lote!

    Ni kwamba Dowans ndio wamesamehe Deni lote Tanesco ila kwa sharti kwamba lazima waendelee kutoa huduma, (Yaani wataendelea kuzalisha umeme na kuiuzia Tanesco). Ukiangalia tunarudi kulekule. Na kwa taarifa za uhakika tayari Dowans wamesha washa mitambo yao. Kiini macho hicho, watauziwa umeme kwa...
  9. G

    Elections 2010 Mwita Waitara Mwikwabe ashinda kura za maoni Tarime

    Ni kweli kabisa wenzangu wa Tarime msimtegemee Mwita Mwikwabe kuwaletea maendeleo. Jamaa Bonge la Binafsi, mimi tumemaliza nae UDSM mwaka 2006 aliwahi kuwa Rais wa DARUSO aliyokuwa anafanya hayakutegemewa na waliomchagua. Anyway pengine kabadilika jaribuni kumpa kama hakuna mwingine.
Back
Top Bottom