Search results

  1. K

    Watangazaji wa ITV na Kiswahili potofu!

    Sio slip of the tongue kwa sababu wanalirudiarudia na sio mmoja. Hayo maneno mawili "lakini" na "kuweza" wanayatumia vibaya hadi inakera!
  2. K

    Watangazaji wa ITV na Kiswahili potofu!

    Nadhani tuko kwenye kurasa tofauti.
  3. K

    Watangazaji wa ITV na Kiswahili potofu!

    Nawe nani kakulazimisha kujibu hapa? Au kiherehere tu!
  4. K

    Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Sio kweli jamaa. Acha upotoshoji!
  5. K

    Watangazaji wa ITV na Kiswahili potofu!

    Hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu tumekuwa tukisikia Kiswahili kibovu kikitumiwa na baadhi ya watangazaji wa ITV na hasa matumizi ya neno "Lakini". Kwa mfano, mmoja wao alisema: "...Watazamaji na wasikilizaji wetu mnaojiunga sasa na ITV, Radio One Stereo 'lakini' Capital Radio...."...
  6. K

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Typical of a confused fellow!
  7. K

    Spencer Lameck: Lowassa avunja rekodi yake mwenyewe

    Kwa "kukoleza vyema kampeni za UKAWA" ndio "kuitendea haki fani yake"? Nyamaza kama hujui FANI za watu.
  8. K

    Magufuli yupo wapi

    Hahaa! JF bana!!
  9. K

    Nijiue ama? Kutokana na hii picha na hali yangu

    JF bana! Yaani nimecheka mpaka basi!!
  10. K

    Natafuta mbinu ya kumuona mchawi, nipeni utaalaamu

    Hivi hao 'wataalam' huwa wanachoka (kwa sababu mbalimbali kama vile uzee) hizo shughuli na kuacha au kustaafu?
  11. K

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Badala ya kuchoshana, we sema unachotaka kusema!
  12. K

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Wananikera baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva wanaoiga 'beats' za Kinigeria. Nampongeza Diamond Platnumz na wenzake wengine ambao wameendelea kuikumbatia na kuikuza Bongo Fleva ili na Watanzania tujidai tuna muziki wetu. Tumejitahidi kufurukuta katika michezo na sanaa nyingine imekuwa ngumu sana...
  13. K

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Si vyema wala busara kutetea hili. Ni jambo la hatari na la kukemewa na Watanzania wote ili likome haraka kabla ya kutupeleka kuzimu!
  14. K

    TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

    Mzee kabla ya kuibukia humu umeshafanya utafiti kidogo? Coz yawezekana hayo marudio yamelipiwa. Vyombo vya habari pia viko kibiashara eti.
  15. K

    BBC Swahili Tumewachoka!

    Unasikitisha!
  16. K

    BBC Swahili Tumewachoka!

    Binafsi sina haja ya kuelimishwa na wewe coz najua hujui kitu unakurupuka tu! Nisingekujibu kabisa kwa sababu nimekugundua ni kopo tupu. Ila nimekujibu kutokana na sentensi yako ya kwanza tu, ambayo inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani! Mimi sio saizi yako--period!
Back
Top Bottom