π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Rev ni kichwa haswa!!!Na ucheshi kama wote.
Nimependa hiyo ya Director! Power ya kuwa anonymous! π But, usingekula kona bana...
Yani πππ
Ila watu walimbuni binu ujumbe ufike!
Nadhani lazima kuna muda lilikua the most used word humu.
Heheheh...inawezekana ndo anaukaribia ama ameshaingia, maana nimekuja kugundua baadhi tulikua bado wadogo kiumri enzi zile. Either tulikua tunamalizia uteen au tunachezea early 20s...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kweli ilikua mpaka Maxi a-assist?????π²π² Sijawahi kujua hiyo!ππ
Mi nakumbuka nilikua sipendi kutumia kwenye simu kwasababu scree zilikua ndogo alafu kazi ku-navigate.π₯΄
Kukimbizana na watoto kazi ujue.
ππ€£
Zamani kulikua na balance nzuri. Alafu watu walikua wanaogopa kupigwa zile ngumi za CRAP thread zima tokea mwanzo mpaka mwisho wakizingua sana.
Katika watu nnaowamiss ni partner wangu AshaDii π She was something else!π
Inawezekana ana ka-id kakuchungulia mambo yanavyoendelea.πΆβπ«οΈπ
ππ We Manyanza unataka tu kumpa Lamomy mabomu yakunipiga nayo akinikuta mahali nawasema watoto na utoto wao.πΆβπ«οΈ
Ila tumetoka mbali sana π€£π€£π€£
Imagine mtu ilikua inabidi, uoge, uvae upendeze ndo ukatafute Internet. ππ
Waache watoto wafurahie muda wao bana. 10 yrs from now, na wenyewe watakua wanaboreka na kizazi kipya.
Saint Anne njoo uone portion za zamani!βΊοΈπ
Vincenzo Jr unanikumbusha vitu ambao hata sikua na idea niliwahi kuandika, na mengine hata sijui nilikua nafikiria nini.ππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Na ulikuaga popular! ππ
Kweli those were the days!!!βΊοΈ
Palikua pananoga sana. Ujinga kama wote! Usipoingia jukwaani unahisi homa.π Alafu kuna namna tulikua tunabalance vizuri ujinga/utoto na issue serious.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.