Kitu nlicgogundua humu jf ....kila MTU anafanya uchunguzi, na uchunguz huo unafanyika kiboya sana kiasi kwamba MTU anakuja na data za kupotosha watu
Kwenye masuala ya research mnafeli
Mna-complicate vitu simple ,halafu vya kuwa complicate mnavifanya easy
No research, No right To speak...
Watu weusi tumeduwazwa na wazungu, ila wazungu wamekopi from what we have and make them artificial
But they took everything from
Ni wezi so ukitaka kufanikiwa iba [emoji23][emoji23][emoji23]
Habari zenu wapendwa, huwa nasikiaga tuu kuhusu biko, tatu mzuka..... Je? Kuna mtu yeyote humu ambaye ameshawahi kushinda hii michezo??
Naomba kujua kama kuna ukweli wowote maana naona ni kama utapeli tu na maigizo
Naombeni michango yenu wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.