Search results

  1. fahad singh

    Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Mmiliki wa mtandao wa ngono Pornhub ni Rabbi
  2. fahad singh

    Serikali ya Tanzania na Malawi waharakishe Kutatua suala la ziwa Nyasa

    Upo sahihi kwanza wameidanganya dunia kwa kuliita ziwa malawi badala ya ziwa nyasa na ukiangalia kwenye ramani mpaka wa nchi ya malawi umepita mwisho wa maji badala ya katikati yaani kwa kifupi ziwa lote wamefanya ni mali yao, nadhani viongozi wetu wameshindwa kutatua huu mgogoro
  3. fahad singh

    Mzungu arekodiwa akieleza jinsi wamejinga kuendelea kuididimiza Afrika

    Mleta mada hiyo video ina walakini umemlisha maneno mzungu, pamoja na hayo hatuwezi kushindana na watu weupe walishatutawala na wanaendelea kututawala kwa kila kitu
  4. fahad singh

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Karibu breakfast
  5. fahad singh

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Mimi nataka nizitoe huko faida ndogo haitoshi hata kununua hennesy xo ya 500,000 Niliweka 50m UTT BOND gawio nalopata kwa mwezi ni hili[emoji116] Ndugu Mteja Umepokea kiasi cha TZS 436,160.48 katika akaunti yako nambari: 015*******00 Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 071*197700
  6. fahad singh

    Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

    Mkuu nunua Sony Shake X70 hutajuta japo bei imechangamka maana siyo chini ya 4m
  7. fahad singh

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Upo sahihi mkuu Agakhan hawapokei NHIF nikasema sirudii tena kukata hiyo bima Hapana Agakhan hawapokei NHIF ninayo timiza nililipia 1m point something nilienda kwa ajili ya meno walinikatalia hawapokei nikaenda Hindu Mandal
  8. fahad singh

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Mkuu hapo umewamaliza wanakaza tu fuvu
  9. fahad singh

    Makonda ni luku ya Tanzania; CHADEMA wamekubali mziki wake

    Lini mliwapa chadema waongoze nchi?, bahati yenu wananchi ni malofa na wapumbavu, wangekuwa na akili wangejaribu kuchagua upinzani ili wapime utendaji kazi kwa miaka mitano au kumi
  10. fahad singh

    Hivi wanawake shida ni nini lakini?

    Aisee itabidi nifunge camera jikoni ili muda siko bize nitizame kwenye simu
  11. fahad singh

    Tanzania limejitokeza tabaka la "wenye nchi" ambao wanaona hawastahili kuendesha gari kwenye foleni na wana haki ya kutofuata sheria za barabarani

    Tatizo viongozi wetu hawapo kwa ajili ya wananchi, wamejigeuza miungu watu, hivyo bila sheria kali na katiba mpya hakuna kitachobadilika
  12. fahad singh

    Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    Huu ni ukweli mchungu
  13. fahad singh

    Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

    By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty...
  14. fahad singh

    Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

    Wapo wakristo wachache lakini kidogo sana kusikia hizi habari tofauti na upande wa pili
  15. fahad singh

    Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    Fanatics and extremists breed the violence. They are what they fear
  16. fahad singh

    IDF yawataka Viongozi wa Hamas wajisalimishe

    [emoji298]️Netanyahu: I say to the Arab leaders, if you want to preserve your interests, you must do one thing... Remain silent!
Back
Top Bottom