Search results

  1. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Kama una swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa usajili wake, kufanya mabadiliko, kodi za TRA na chochote kile kinachohusu kampuni kwa BRELA na TRA uliza hapa nitakujibu. Karibu
  2. SectionTwenty

    Nahitaji vifaa vya saloon vya kike

    Kwa yeyote anyeuza au anaemjua mtu anayeuza vifaa kwa ajili ya saloon ya kike, Nitaapreciate zaidi ikiwa full set. Mawasiliano 07144499248
  3. SectionTwenty

    Samsung J8+ imetumika wiki mbili tu inauzwa

    Internal 32 GB RAM 4 GB android 7.1 (Nougat) Internet 3G & 4G camera 16 Bado mpya kabisa ina wiki mbili tu tangu inunuliwe (Receipt ipo kwa ushahidi) Bei yake ni 500,000 tu Nna shida ya haraka ya hela Nakupatia na charger yake Mawasiliano 0714499248 0659337348
  4. SectionTwenty

    Kwa wanaotaka Leseni za biashara, TIN na kufungua Kampuni

    Section 20 inawakaribisha watu wote wenye biashara zao binafsi au kampuni ambao hawana TIN au leseni ya biashara kuweza kufanyiwa mchakato wa kuzipata. Na pia kwa wale wote wenye biashara za zamani na wanahitaji kurenew leseni pia mnakaribishwa Huduma nyingine zinazotolewa na section 20 ni...
  5. SectionTwenty

    Ushahidi wa wazi kuwa Ali kiba anahujumiwa kwenye tuzo

    Kwanza niseme mapeeeema mi sio team kibakuli wala team domondo... Ok nikija kwenye point ni hivi wote tunajua kuwa mwaka huu tuzo za kili hazitakuwepo ila tuzo pekee zitazofanyika kwa hapa bongo ni EATV AWARDS zinazoandaliwa na Eatv au Channel 5. Wadhamini wakuu wa hizi tuzo ni Vodacom na Coca...
  6. SectionTwenty

    Yaani Tigo wanakata sh 6000 kwa kuongea dakika 1 tu

    Jana nlikua na kama sh 180 kwenye tigo,nikasema ngoja nibip.. Yule mtu akapokea nkakata fasta,nkawa nmetumia sekunde 1 tu. Kidogo ndio huo ujumbe wa tigo, yaani kwa sekunde 1 tu ya kumpigia mtu wa tigo wamenkata mia nzima!!!? It means kama hujajiunga ukaamua umpigie wa tigo mwenzako kwa dakika...
  7. SectionTwenty

    Computer inauzwa

    GATEWAY DESKTOP COMPUTER INAUZWA… SPECIFICATION ZAKE v Hard Disk 1TB (GB 1000) v Ram 6 GB v Processor Core i3 v Mouse and keyboard ni wireless v Display Inch 21 v Inasupport touch screen n.k Bei yake ni laki 6.5 tu (maelewano yapo) Kwa mawasiliano zaidi nicheki INBOX au kupitia...
  8. SectionTwenty

    Desktop yenye specification nzuri inauzwa

    GATEWAY DESKTOP COMPUTER INAUZWA… SPECIFICATION ZAKE v Hard Disk 1TB (GB 1000) v Ram 6 GB v Processor Core i3 v Mouse and keyboard ni wireless (bado ni mpya) v Display Inch 21 v Inasupport touch screen v Bado iko fresh ni kama mpya v Monitor yake ndio imecontain kila kitu (CPU na PS) v...
  9. SectionTwenty

    BB Z10 INAUZWA

    BlackBerry z10 inauzwa Internal memory 16 GB Camera 8 Megapixels Front Camera 2 MP RAM 2 GB Ipo in very good condition haina tatizo lolote. Bei 200,000 (Maelewano yapo) Nipigie/nitext kwenye 0714499248 Nipo dar
  10. SectionTwenty

    Blackberry z10 inauzwa

    BlackBerry z10 inauzwa Internal memory 16 GB Camera 13 Megapixels Front Camera 8 MP RAM 1 GB Ipo in very good condition haina tatizo lolote. Bei 250,000 (Maelewano yapo) Nipigie/nitext kwenye 0714499248 Nipo dar
  11. SectionTwenty

    RAM zinauzwa

    RAm za 2GB zinauzwa. Bei elfu 20 tu. Kama unataka niPM napatikana Gongo la mboto,Dar es salaam
  12. SectionTwenty

    Nape Nnauye anataka nife na ndoto zangu

    Hii sheria iliyopitishwa ya kuwa vituo vya redio viwalipe wasanii wanapocheza nyimbo zao naona ktatumaliza sana sie wanamuziki underground wenye ndoto za kutoka kimuziki. Waziri nape kwa uamuzi huu aliofanya naona kabisa ntakufa na ndoto zangu za kuwa msanii mkubwa,sitatoka ng'o kwa sheria hii
  13. SectionTwenty

    Solar 5 inauzwa

    Internal memory 4GB, RAM 1GB, Camera 13 MP and Front Camera 5 MP. Bei ni 150,000 tu (Maongezi yapo) Nicheki whatsapp/sms/call 0714499248
  14. SectionTwenty

    Hii kitu itaniuma roho kwa miaka mingi sana

    Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais...
  15. SectionTwenty

    Simu ya startimes inauzwa

    StarTimes Solar 5 Inauzwa. Ipo katika hali nzuri Full Specifications ? 5 Inch touchscreen ? Operating systems android 4.4 ? 13MP Rear Camera 5MP Front Camera ? Micro-SD card upto 32GB ? Internal memory 4GB ? RAM 1GB Bei ni 200,000 tu (fixed) Kwa mawasailiano nicheki kupitia whatsapp au...
  16. SectionTwenty

    Air Condition (AC) Inauzwa

    Ac inauzwa,ipo in good condition. Picha ni kama hapo unavyoiona. Bei ni 600,000 (negotiable) Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nicheki PM.
  17. SectionTwenty

    Blackberry z10 cheki hapa

    [SIZE=3]Natafuta blackberry z10 ambayo ipo in good condition Offer yangu 150k
  18. SectionTwenty

    Blackberry Bold Inauzwa

    Ni blackberry bold 9900... Inatumia touch pamoja na button...Bado mpya,haina hata mwezi mmoja tangu ianze kutumika.. Bei ni 110,000 tu Nipo dar
  19. SectionTwenty

    Gari rav 4 inauzwa

    Kama inavoonekana pichani... Ipo in good condition.. Bei ni USD 5800 (Negotiable)... Kwa maelezo zaidi na mawasiliano nicheki +255714499248
  20. SectionTwenty

    Modem ya airtel inauzwa

    Bei ni 15,000 tu... Ina sehemu ya kuweka memory card... Nipo dar. Mawasiliano nicheki PM
Back
Top Bottom