Search results

  1. Zamaulid

    Je, ni kweli ukichelewa kuhamia kwenye nyumba misukule huishi humo na huwa haitaki kutolewa?

    Nimeshangazwa na hili, jamaa yangu alijenga nyumba na kuishia kupiga paa. Baada ya hapo ameishi kama miaka nane bila kuifanyia finishing. Last year aliifanyia finishing na kuhamia. Toka amehamia anasema kwenye nyumba kuna mashetani, usiku kuna kelele dalini na wakipika chakula usiku wakiamka...
  2. Zamaulid

    Nahitaji Solar TV

    Habari wakubwa, kama mada inavyosema hapo juu!ninahitaji kununua television inayotumia umeme wa juu (solar TV) naomba mnisaidie kunishauri aina na siyo mbaya mkaniambia hata bei zake
  3. Zamaulid

    Shule ya mziki

    Wakulungwa habari, nahitaji kujifunza kupiga gitaa na kinanda naomba kufahamu shule iliyopo maeneo ya mwenge au ubungo!! Natanguliza shukrani
  4. Zamaulid

    Laptop updates

    Nime update laptop na kila nikiwasha inagoma inasema ime start vibaya itafanya auto restart na mchezo unaishia hapo...naomba msaada kwa wataalam "corona ipo tuchukue tahadhari"
  5. Zamaulid

    Vitambulisho vya uraia

    Hivi vitambulisho vya uraia ni kwa ajili ya kusajilia line za simu tu? Mbona msisitizo umekuwa kutumia vitambulisho hivyo kusajili line za simu tu? Nielewesheni matumizi ya vitambulisho hivyo. Sio kila kiuzwacho sokoni chafaa kununuliwa.
  6. Zamaulid

    Kikuuu wababaishaji

    Hawa jamaa ni wababaishaji...mzigo unazaidi ya siku ishirini hapa Dar lkn kwangu hauletwi...au ndo wamenipiga?!sitashauri mtu kwa style hii
  7. Zamaulid

    Msaada kwa wenyeji wa Kahama

    Naomba msaada, mwenye kufahamu hotel Kahama mjini. Isiwe na kelele za Bar, Night Club au Kumbi za Harusi. Budghet yangu TZS 20,000. Asante
  8. Zamaulid

    Tetesi: Ukweli wa hii ukoje

    *Whatsapp 4G 4.0* is now released,You must install it Now to Enjoy latest features like *Top Whatsapp Group Links,* *Private msg without showing your number,* *Free wifi mode,* *who view your profile pic* etc,This is only for Invited user so I am inviting you to download now, Click here to...
  9. Zamaulid

    Sababu ipi hupelekea wanandoa mke na mme kufungua account ya pamoja?

    Naomba mnieleweshe...hivi ni sababu ipi hupelekea wana ndoa...mke na mme kufungua account ya pamoja... 1. Kutokuaminiana katika matumizi ya fedha 2. Mahaba yaliyopitiliza... Au kuna sababu ipi nyingine? Je ni jambo jema kufungua account ya pamoja?
  10. Zamaulid

    HII MI KILAZA IMENISHINDA...NISAIDIENI

    Hivi kunywa nini haswaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Zamaulid

    Kuna wakati akili hufanya kazi baada ya kutenda

    Ilikuwa 90's nilizama chumbani kwa binti nipige mzigo,huyo binti tulikuwa tunasoma naye secondary. Basi bana zile wanazosema za mwizi arobaini ndo zilikuwa zimetimia. Kabla sijaanza kupiga mzigo nikawa nimepewa chakula nakula!mara paaa baba wa binti akapiga hodi anataka kuja kuchukua kitu kule...
  12. Zamaulid

    Nani anaifahamu hii

    Nimeiona sehemu lakini nikiwapigia hawapikei. Anayeifahamu aniwekee data zake hapa. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Zamaulid

    ASANTE AZAM TV

    Kwa siku zisizopungua tano Azam TV kupitia channel yake ya sinema zetu imekuwa ikionyesha filamu za legendary Steven Kanumba kama kumbukumbu kwake.binafsi nimefurahi namna walivyompa hiyo heshima! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Zamaulid

    Hii vita haina mshindi

    Hii vita itaendelea kuwepo siku zote na hakuna mshindi atakaye kuja kupatikana!!!
  15. Zamaulid

    Brand ipi ya Wireless Microphone ni nzuri kwa ajili ya kanisa?

    Nawasalimu kwa jina la bwana Yesu Kristo. Kanisa linataka kununua wireless microphone kwa ajili ya matumizi ya kanisa. Ninaomba mnielekeze juu ya brand nzuri kwa bei isiyozidi 250000. Na ushauri mwingine juu ya vifaa hivyo. Natanguliza shukrani
  16. Zamaulid

    Hussein Bolt akiitumikia CCM

    Mwanariadha aliyewahi kutikisa katika mbio fupi ameanza kuitumikia timu yake mpya ya mpira wa miguu. Timu hiyo ya CCM imekuwa na matokeo mazuri ilipokutana na CCS. Bolt aliingia kipindi cha pili wakati timu yake ikiongoza kwa goli 6. Hope Ali Kiba naye ataanza kuitumikia Coastal Union hivi...
  17. Zamaulid

    Nimfanyeje huyu mbwa?

    Ni mbwa wa miezi minne sasa nimemfuga kwa ajili ya ulinzi wa nyumbani. Kinachonishangaza sijawahi kumsikia akibweka zaidi ya siku moja alikuwa anambwekea chura. Kitu kingine yeye ni rafiki wa kila mtu; mgeni kwa mwenyeji. Nimemfungia weee lakini akipata upenyo wa kukutana na mtu yeyote basi...
  18. Zamaulid

    Hii nayo ni mpya kwangu!

    Waliokula kiapo wapo kibao tu katika siku mbili tatu hizi lakini huyu mmoja amechukua nafasi kwenye media karibu zote!kwa nini iko hivyo nataka kujua tu!
  19. Zamaulid

    Usafiri binafsi kwenda mtwara toka Dar

    Waungwana nauliza kama naweza kwenda na usafiri binafsi Dar to Mtwara. Napenda kusafiri usiku vipi usalama wake utakuwaje kwani kulikuwa na matukio ya kibiti ambayo sifahamu yaliishaje
  20. Zamaulid

    Natafuta shule nzuri kwa ajili ya mtoto wa miaka mitatu Mbeya

    Natafuta shule nzuri kwa ajili ya mtoto wa miaka mitatu...iwe day na yenye usafiri! Ahsante
Back
Top Bottom