Rais wa Marekani Barack Obama akila kiapo cha kuiongoza nchi hiyo kwa awamu ya pili
Chanzo: http://www.jackandjillpolitics.com/blog/wp-content/uploads/2013/01/january-20th-swearing-in.jpg
Kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya maafa makubwa yakiwakumba wananchi ambao wamejenga na kuendesha shughuli zao za kujikimu kimaisha kwenye maeneo hatarishi kama kwenye mabonde na fukwe za bahari pasipo kuchukua tahadhari yoyote. Katika hili mamlaka husika zimekuwa kimya mpaka...
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu unaotumiwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) katika kudahili wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vya elimu ya juu na pia utaratibu unaotumiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kwa wanaoomba mikopo kwa ajili ya masomo kwa ngazi ya elimu ya juu ambao unatia shaka...
A contestant on the Brazilian version of Big Brother has allegedly been raped on live TV.
Police in Brazil have confirmed that they have started an investigation and carried out a search of the studios in Rio de Janerio.
Their actions come after footage appeared to show 31-year-old housemate...
Wakuu wana JF natatizwa sana na maneno mawili; 'BARABARA' na 'NJIA'.
Naomba wataalam wa lugha ya Kiswahili wanifahamishe kama maneno hayo mawili yana maana sawa ama yanamaanisha vitu viwili tofauti.
Venance George, Kidatu
RAIS Jakaya Kikwete ametaka marekebisho yanayofanywa katika Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma, yatumike pia kuwabana matajiri wasio watumishi wa umma ili kujua kama mali walizo nazo wamezipata kihalali au la.
Akizungumza katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
TAARIFA KWA UMMA
NOTISI YA KUANZISHA MIKOA NA WILAYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mamlaka aliyopewa chini ya Ibara ya 2(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuigawa...
Kuna taarifa kuwa leo JK ameanza ziara kutembelea wizara zote. Kubwa nililoshuhudia ni msongamano wa magari kipindi cha mchana kwenye maeneo ya katikati ya jiji wakati alipokuwa anatoka Wizara ya Fedha kwenda Ofisi za Mamlaka ya Mapato na kilichotokea ni magari kushindwa kutembea kwa zaidi ya...
Kuna matangazo nayasikia mara kwa mara kwenye vyombo vya habari ambayo waandaaji wa matangazo hayo wanaamini ni njia mojawapo ya kupeleka ujumbe wa kuwakinga wanawake/wasichana na maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.
Moja ya matangazo hayo ni lile ambalo msichana mmoja anajitambulisha kama cheupe...
Najaribu kufikiria jinsi bei ya bidhaa zinavyopanda kwa kasi ikilinganishwa na kipato halisi cha Mtanzania. Wakati wa siku za mwisho wa juma nilizunguka kwenye maduka ya mtaani kupata mahitaji ya nyumbani lakini nilishtushwa mno kwa bei nilizozikuta; mfano:
1. sukari shilingi...
Katika pitapita yangu maeneo ya katikati ya mji nilishtuka nilipokuta uzio uliokuwa umewekwa kwa ajili ya kuwezesha ujenzi wa jengo la Mfuko wa Mwalimu Nyerere ukiwa umeondolewa na eneo hilo likiwa limebaki na vichaka pamoja na lundo la kifusi.
Swali nililogubikwa nalo ni kama mradi huo...
Vijana wetu wa jeshi la polisi mnausikitisha sana umma wa Watanzania. Hivi ni kwa nini mnakubali kutumika ndivyo sivyo. Mnapoamrishwa kuwapiga mabomu raia ambao wamekaa kwa amani na utulivu kwa minajili ya kudai haki ama kuangalia hatima ya kile walichokifanya mnajisikiaje.
Maisha ya polisi...
Kwenye mikutano ya kampeni inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 31, kati ya ahadi nyingi anazotoa Kikwete ni kuzipandisha daraja hospitali kadhaa kwenye maeneo ambayo amekuwa akifanya mikutano yake ya kampeni. Ahadi hizo zinajumuisha kufanya baadhi ya hospitali za mikoa kuwa za rufaa na za...
Wakuu kuna jambo linanitatiza na huwa linagonga sana kichwa changu; Naomba kujua wajibu wa viongozi wanaochaguliwa na wananchi hususan wale wanaochaguliwa kwa njia ya kura (Rais, Wabunge, Madiwani) wanatakiwa kutekeleza na pindi wanaposhindwa ni njia gani zifaazo na za haraka zinatakiwa...
Katika siku za hivi karibuni nimeshuhudia vifuniko ambavyo vinatumika kufunika bia za TBL vikiwa na kutu kwa kiwango kikubwa. Bia ambazo nimekumbana nazo binafsi ni Kilimanjaro na Ndovu ambapo mara inapofunguliwa unakumbana na layer kubwa ya kutu kwenye mdomo wa chupa na kifuniko chenyewe na...
Naamini lile sakata la kuvunjwa kwa majengo ya Empire Properties Ltd (Masaki) litakuwa na impact mbaya kwa Serikali siku za usoni.
Niwakumbushe habari hizi:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.