Search results

  1. M

    Nani yuko macho tupige stori?

    Watu kibao wamelala sasa...sie tuna matatizo gani
  2. M

    Masikitiko yangu makubwa sana kutokana na mfumo wa uajiri wa bank ya NMB

    Aliyeanzisha thread hii hakututendea haki. Angeweka basi orodha ya nafasi zilizotangazwa na sifa za waombaji-naye ataje sifa zake hapa...ni rahisi kulaumu-ila pia uhaba wa ajira unasababisha hata wenye sifa kukosa kazi. Inapotokea waombaji ni wengi, watu wenye sifa zaidi yako wanaweza kuwepo-au...
  3. M

    CCM, Madoka wa Kubumba na hatma ya jimbo la Busega

    Namshukuru aliyeanzisha uzi huu. Suala la maendeleo halina chama. Linawahusu watu wote na ikibidi pia viumbe hai pia. Binafsi ni mzaliwa na mwenyeji ya Busega. Kila ninapoenda nyumbani (angalau mara 2 au 3 kwa mwaka) huwa nastaajabu. Mbunge wetu hana uwezo, pia kakosa ushawishi-na eneo kubwa ni...
  4. M

    Sijawaelewa UDSM au mimi ndo mbumbumbu wa lugha, au kuna missing flani??

    Nimeupenda mjadala...kuna wengi waliotoa majibu sahihi. Katika kuweka mkazo; kusema DEVELOPMENT IS STRUGGLE ni kiingereza sahihi. Ni sahihi zaidi hasa unapokuwa unaitumia kama slogan au headline. Unaweza kutokutumia 'articles' ktk mazingira flani flani na ukawa sahihi. Kuna syntax ya kujifunza...
  5. M

    Jamaa abaka hadharani

    Jamaa anayetajwa kuwa ni mwanajeshi (mstaafu au bado anafanya kazi) amembaka mwanamke hadharani eneo la Magomeni Makanya (Dar es Salaam) mchana huu kwenye mida ya saa 6. Kwa simulizi ya shuhuda aliyekuwepo kwenye eneo la tukio, ambaye pia anamfahamu huyo mjeshi mpaka nyumbani kwake kasema kuwa...
  6. M

    Questionaire ya NHC: Ni sahihi kuuliza asili au rangi ya mpangaji?

    mi nawapongeza nhc kwa kuanzisha utaratibu. Wapangaji wanatakiwa kutoa taarifa, malalamiko mengine sijui director anaendesha bajaj au land cruiser anaileta ili kukanganya mjadala. NHC ina bodi na wakaguzi wake, asiwafundishe kazi. NHC wana kazi kubwa ya kufanya; 1. Kuhakikisha wapangaji sio...
  7. M

    Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga, Mti Mkavu (1940-2011)

    RIP general. Ulipigana vita vilivyo vizuri, na Tanzania ukailinda! We will always be proud of u. Seba akujiwe!
  8. M

    HakiElimu yawaunga mkono walimu

    Lipeni Walimu Malimbikizo ya Stahili Zao Ili Kuepuka Mgomo Mkubwa wa Walimu Unaolinyemelea Taifa! Elimu ndiyo msingi muhimu kwa maendeleo ya taifa. Kama nchi, tunaweza tu kusonga mbele kimaendeleo endapo sisi raia tutakuwa tumeelimika, tunao ufahamu na ujuzi wa kutosha utakaotuwezesha kuwa...
  9. M

    Tanzania yaweka Rekodi Msaada wa EU

    Mimi nadhani hiyo mihela ni mwendelezo wa kutukamata tusifurukute kabisa. Kila siku tufikirie kuna mtu atatuletea pesa. Na hiyo inatudumaza. Tunakuwa tegemezi, huku malighafi wanabeba. Si unakumbuka eti waholanzi wametishia kutotupa misaada kutokana na mwekezaji wao eti kanyimwa mpori ili afyeke...
  10. M

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Binafsi nimefurahishwa na wanaBhlo. Wamechagua vizuri. Message sent. CCM imekiuka misingi yake. Haina wa kumlaumu 2010. Baba wa Taifa alikijenga chama kwa kumlenga mtanzania wa kawaida, mkulima na mfanyakazi. Leo wana mdau tofauti wanayempigania. Najua sio rahisi kuwashinda kwenye URAIS. Ila...
Back
Top Bottom