Search results

  1. M

    Sheikh Khalifa Khamis alalamika Waislam kuminywa na Serikali Kuu, TRA na Vyombo vya Dola

    Sijui mnatupeleka wapi?Itafika wakati timu za michezo zikichaguliwa tutauliza mbona timu haina waisalamu ni wakristo watupu!!! Baada ya hapo tutaacha hata kusalimiana. Tatizo la waisilamu hata wasomi baada ya kukemea vitu kama hivyo, wanaunga mkono madai ya kijinga. Ndiyo maana nasema tukichagua...
  2. M

    VIDEO: Hotuba ya Mh Mbowe alipozuru wahanga wa tetemeko la ardhi Bukoba

    Nina bahati ya kuishi nchi mbali mbali ki kazi. Ofisi au Kitengo cha Maafa kazi yake kubwa kote nilipo kaa ni kuratibu na kutoa elimu jinsi ya kukabiliana na maafa ya kitokea. Pia kuna mafungu maalum kwa ajili ya ununuzi wa vitu vya dhalula vitu kama mahema, mablanketi, magodoro, vyandalua nk...
  3. M

    Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Naunga mkono mtoa mada. Anachotaka kusema ni kwamba serikali imeshindwa ku-mobilize misaada kutoka kwa local and international aids agencies. Hivi kweli serikali imeshindwa kutoa hata mahema, mablanketi na watu wanalala nje? Hivi kweli serikali imeshindwa kutoa hata mahindi na vyakula vya...
  4. M

    USA/Ulaya Magharibi NO No no, Asia/Ulaya mashariki (Scandinavia) okay to Tanzania

    Kwa taarifa yako Shirika la Sweden ni SIDA. DANIDA ni shirika la Denmark. Pia aliyejenga barabara ya Dar es salaam Tunduma ni Mmarikani sio mchina.
  5. M

    CHADEMA wapinga muswada wa mchakato wa katiba mpya

    Naunga mkono hoja. Naona CCM na serikali yake hawajajifunza cho chote kutokana na mapinduzi yanazoendelea Africa ya kaskazini na Uarabuni kwa ujumla. Sikio la kufa alisikii dawa. Tumechoka na mazingaombwe ya CCM, kilicho baki ni kuingia mitaani na kudai haki zetu, tumevumila kiasi cha kutosha...
  6. M

    More from WikiLeaks: Tanzania and the Fight to Stop Airbus Sale

    Nakubaliana na maneno ya Dr. slaa kuwa, kuendelea na Kikwete miaka nyingine mitano nikujitakia mahafa!!! Kikwete achia ngazi.
  7. M

    Nani anayekabidhiwa fedha ya Dowans?

    It is just matter of time, hawa viongozi na familia zao kuna siku watafikishwa mahakamini na mali zao zitataifishwa. Tumeona nchi kama Chile na Arigentina vingozi wao walioiba na kuhujumu uchumi wa nchi zao wamefikishwa mahakani wakiwa na miaka zaidi 80. Wengi walifungwa, wengine walihukumiwa...
  8. M

    SERIKALI inunue MAGARI VX V8 BRAND NEW kutoka Japan, kwa $80,000 & below

    Tatizo la serikali wanapenda kutumia middle men ili wakatiane 10% au zaidi. Mtandao wa ufisadi ni mpana sana serikalini. Kama alivyosema muanzisha mada na mimi nimetembelea web-site kama 4 bei ya magari hayo ayazidi $ 80,000. Wabunge wetu mpo?????
  9. M

    Chadema kuhudhuria sherehe za uhuru?

    Kadogoo ulitaka Kikwete alipohapisha na Dk. Slaa angehapishwa vilele kama kule Ivory Coast?? CHADEMA ni wastarabu sana hawakufanya hivyo. Ila mizengwe ya kutobadili katiba isiposhugulikiwa itabidi CHADEMA wafanye hivyo.
  10. M

    Namshukuru mungu sikusoma UDSM

    Au unatamani Chuo Kikuu cha Kata Dodoma?? !!!
  11. M

    Elections 2010 Waliopiga kura Oktoba 31, milioni 12 walienda wapi Jumapili ile?

    Na kubaliana na sababu zilizotolewa na wenzangu, pia naongezea sababu mbili zilizopunguza wapiga kura 1. Watu wengi waliofia fujo zitatokea, hivyo hawakwenda kupiga kura. Ikumbukwe kwa mara ya kwanza kwenye chaguzi zilizopita hakuna kiongozi wa JWTZ aliye wahi kujitokeza kutisha wananchi kuwa...
  12. M

    Elections 2010 Demokrasia gani? Rais kuchaguliwa na watu mil. 5 kuongoza mil. 45

    Huu ni UPUUZI, Watanzania tuko Million 45. Waliojiandikisha kupiga kura eti ni Million 19 Waliopiga kura ni Million 8 Walio mchagua rais ni million 5 swali, Je Million 11 kwanini hawakupiga kura? Utaratibu huu ni mbovu inabidi ufanyiwe marekebisho, hii ni kasoro kubwa sana kama tunataka kujenga...
  13. M

    Elections 2010 Mdahalo WA JK: WANA CCM TUSAIDIENI KUULIZA MASWALI HAYA

    CCM wajanja wenye kuuliza maswali wameishapangwa. mdahalo huo ni geresha. Hapata kuwa na maswali magumu. Maswali yote yatakuwa ni ya kuonyesha kuwa ni mchapa kazi.
  14. M

    Rostam bado ana 'NGUVU ZA AJABU' 2010

    I ‘m crying for my mother land Tanganyika; Tuedako si kuzuri!!Mungu tuepushe baraha hili!!! Nani atatukomboa?
  15. M

    Kagoda wamerudisha fedha, bado mnataka kuwajua?

    Katiba ya nchi hii inawalinda viongozi sio wananchi. Ndiyo maana viongozi wetu hawako tayari kubadilisha katiba. Kwa mfano rais ana madaraka makubwa mno ambayo katiba imempa kiasi kwamba anayatumia vibaya. Tukibadili katiba (viongozi walio madarakani hawapendi) tutafanikiwa kukomesha uchafu...
  16. M

    World Financial Crisis and Africa.

    Thanks Zungu Pule for your comments. My main idea was to give members of this forum opportunity to see the video of that meeting and how it was conducted. I know it was conducted by CNN International, personally I saw it 2 days ago. when I watched it was of great interest to me, then I dicided...
  17. M

    World Financial Crisis and Africa.

    We still have a long way to go in Africa particulary Tanzania. If you have time watch this video(More than 90 minutes). The venue of the meeting was in Tanzania. The organizer of the meeting was Tanzania Government and International Monetary Fund (IMF). Utaweza kuona rais wetu anavyojikanyaga...
  18. M

    Mgomo wa nchi nzima

    Mwanzo wa mwisho umefika kwa CCM!! Nani alijua Ukuta wa Berlin utaangushwa na wananchi? Nana alijua kuwa Soviet Union ingeporomoka? Wananchi wameishajua janja ya nyani, hawana tena imani na viongozi wa CCM na Baraza la mawaziri. Bahati nzuri tumeishapata watu wa kumfunga paka kengere, sasa...
  19. M

    Mgomo wa nchi nzima

    Nani zaidi? Wananchi au Mafisadi? Watanzania ndugu zangu, tumeonewa kiasi cha kutosha, tumeibiwa kiasi cha kutosha, tumedanganywa kiasi cha kutosha, tumedhulumiwa kiasi chakutosha. Sasa tumechoka na ufisadi huu, upole wetu umetuponza, kinachotakiwa sasa ni sisi wananachi kushika hatamu ya nchi...
  20. M

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Nchi yetu iwezi kuendelezwa na viongozi wanao forge vyeti au kuuziwa vyeti, Kwanza ni serious crime. Ndio hao hao viongozi waliokuwa wanawauzia watanzania nafasi za masomo ya elimu ya juu pale wizarani. Kama ulivyosema Ndg. Mkira, anayewatetea watu hao naye labda ni mhusika mkuu. Napenda pia...
Back
Top Bottom