Drilling ni bonge la kozi sema kibongobongo hailipi
Nenda iyo water supply and sanitation ukimaliza omba kazi kwenye mashirika ya humanitarian kama water mission, world vision, NRC, DRC, Oxfam, from there proceed to the higher ranks usikubali kuajiriwa selikarini vision yako iwe kufanya kazi...
Basi tena, mana huwa hawatoagi contacts zao pia for the first time ni lazima waishike simu yako wainstall app zao, so kwa ww tenga muda uende pale na simu yako kama unataka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa, inamake sense kabisa....
Unakuta mtu hata experience baada ya kumaliza degree hana anakimbilia masters, matokeo yake anarudi na masters yake bado anahaha mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri zako, watu wameshasahau bei za bando...
Ongea na watu vizuri..[emoji23][emoji23][emoji23]
DIT pale Kuna watoto wanaichezea iyo mitandao utafkiri wameiunda wao..., kwa buku 5 tu wanakuunganisha unatumia unlimited mwezi mzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni lecturer?? Degree yako umeshaifanyia kazi??
Watu hukimbilia masters na wakati degree tu yenyewe haijakupeleka popote....
Sent using Jamii Forums mobile app
CCP wanahaha kubakia madarakani, wanajua wachina wengi wamewachoka na ndomana wanazidi kuzidi kuwabana wachina kwa kuwafatilia zaidi kwa kutumia teknolojia.
Ogopa chama ambacho kinaweza kuharibu culture ya jamii nzima ili kuendelea kuwepo madarakani, rushwa na tamaa ya madara ya kutaka...
You sound like you are furious or in pain, why?
We were just exchanging ideas and views concerning existence of OMNIPOTENT and OMNISCIENT LORD.
You sound like you are feeling angry as like you're defeated. Just take it easy and relux my friend.
We were not in competition. I am not in...
Square root of 2 can be equal to 10 na inawezekana. Na inaweza kuwa proved.
In fact numbering system imeundwa na binadamu.
Kuna mifumo mingi ya numbering..
Binary
Decimal
Hexadecimal
Octadecimal n.k
In decimal form square root ya 2 haiwezi kuwa 10 but in other numbering system square root...
Do you know how the universe came to its existence?
The facts that unakwepa hili swali ni kwasababu lipo beyond you logical capability of thinking.
You can be god to your followers, but OMNISCIENT AND OMNIPOTENT GOD, ALPHA AND OMEGA LORD? No You can't be the one and never anybody shall be!
Hauna hoja,
unakwepa kujibu swali,
unakwepa facts,
Kuamua kwako ww kutokuamini uwepo wa Mwenyezi Mungu mwenye nguvu muweza wa yote kwasababu ya "logical contradictions" hakumaanishi kwamba Mwenyezi Mungu hayupo au hana nguvu na sio muweza wa yote.
There are still alot of magical things...
Kama ni just made up stories,
Please explain hoja yangu ya pili kuhusu swala la universe.
Nilifafanua kuhusu logic ambapo ww uliegemea, umepinga. Okay sasa tufafanulie kuhusu ulimwengu
Kama Mwenyezi Mungu sio omnipotent and omniscient basi tueleze nani aliepelekea huu ulimwengu kutokea na...
Nimeyasoma maelezo yako..!
Nimeona umeegemea kwenye vitu viwili, 1)logic na 2)evil
1) logic kwa maana ukweli unaoitwa ukweli wa kwamba Mwenyezi Mungu ni mkuu na muweza wa yote haiendani na uhalisia uliopo Duniani
2)Evil, madhambi, matukio mabaya na matatizo yanayoikumba Dunia kwanini yapo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.