Wakubwa gani waumbuke live?mbona mnapenda kurukia tu kuna mkubwa gani anae ishi south africa au anae fanya kazi mahakama ya south africa?wabongo na kelele ndio mnazo zijua ndio mana hata haki zenu hamzijui mnabaki kulalamika tu
Wewe mbona unaleta udaku wakutia hasira wana nchi kamati gani ya kitaifa mbona mnaleta maneno mengi kwanza hao watu mpaka sasa hivi hatima yao bado ipo kwenye mikono ya serekali ya south africa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.