Search results

  1. Raimundo

    Huduma za changudoa

    Zamani sana mkuu, enzi za hela inashikika, siyo enzi hizi za Malaika kusihi kama shetani. Hata vijiwe nadhani vitakuwa vingi vimekufa.
  2. Raimundo

    Huduma za changudoa

    Haya makaburi tuliyashayafukia mkuu, mbona mnayafukua?
  3. Raimundo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hapa itabidi niipige JF virus ili asubuhi ndo tuendeleze ligi, maana usiku itanipita.
  4. Raimundo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Naona na wewe unaiwinda, pamoja.
  5. Raimundo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Naona dalili za 50k usiku wa leo, sijui iyakuwaje!
  6. Raimundo

    Tecno C7 inauzwa 190

    Kama kuna mtu atakuwa amekuelewa kwa hii post atakuwa genius.
  7. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Okay, ngoja nitafute kujua Bossladies wa sekta zingine, nitaleta mrejesho baada ya kumaliza tafiti yangu.
  8. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Wewe ni Bosslady kwenye jukwaa gani?
  9. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Halafu anasema "Another Bosslady...", nadhani nahitaji kujua Boss-ladies wengine wa humu.
  10. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Kwa hiyo unataka kusema Asprin anamwogopa yule? Sema mwenyewe babu aone.
  11. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Wanasema ukiona Kobe kainama ujue anatunga sheria, nadhani anaweka mikakati ya revenge kwa waliompeleka gerezani. Asprin kuna file liko mezani kwako, lifanyie kazi.
  12. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Mzee yupo mapumzikoni baada ya kutoka kifungoni, sijui wamemfanyia kitu gani huko gerezani maana anaonekana ameathirika kisaikolojia kabisa, kazi hataki kufanya, mafile yamelala mezani tu.
  13. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Acha wivu, mwenzio anatafuta watu wa kumkaribisha JF.
  14. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Nimekushindwa...! File lako nalipeleka kwa babu moja kwa moja.
  15. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Ha ha ha, ngoja niongee na Daby na Bonny juu ya huu ukaka unaonibatiza.
  16. Raimundo

    Ali kiba kasema hashindani na mtu

    Ali Kiba ndo King, afanye muziki asifanye muziki kiti chake hakuna wa kukikalia.
  17. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Kuna maneno tukimwambia na nyie mkiwepo yanaweza kuharibu hali ya hewa, huyu mgeni anatakiwa kukaribishwa vizuri.
  18. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Hili kaka hili, itabidi tulijadili upya hili jina.
  19. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Jamani tumesema mtupishe tukaribishe mgeni, nini lakini?
  20. Raimundo

    Another BossLady in the House, Hodiii

    Hata kama, lengo la kuomba kukaribishwa siyo ninyi mmkaribishe, ni sisi. Ndo maana kuna mahali kasema mbona mmenuna? Sasa kuepusha hilo ni bora muondoke, nitakuja kukudokeza kama utambulisho umefana au la.
Back
Top Bottom