Search results

  1. Che Guevara

    Kenya 2022 Ruto amestaafisha siasa Familia 3, Kenyatta, Moi na Odinga Family

    Tume huru ndio imesababisha kura kuhesabiwa na kutangazwa kwa haki huko Kenya. Hongera kwa wote waliopigania demokrasia ya kweli, hasa tume ya Uchaguzi kuwa huru. Tunaangalia Bomas mubashara kusubiri kutangazwa kwa matokeo ya urais.
  2. Che Guevara

    Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Makamo wa kwanza anatoka upinzani Kwa mujibu wa muafaka baada ya mazungumzo ya Rais Hussein Mwinyi na marehemu Maalim Seif. Hivyo anaweza kuwa na msimamo tofauti na msimamo wa CCM wa serikali mbili.
  3. Che Guevara

    Mataa ya Serengeti siku akipata ajali kiongozi mkubwa pale ndio Serikali itakuwa makini

    Machinjioni hapo toka long time. Watengeneze hizo taa za kuongozea magari aisee
  4. Che Guevara

    Bunge latengua kanuni kuruhusu Serengeti Girls kutinga mbele ya Bunge

    Hongera kwa Serengeti girls! Mmeweka historia kwa kufuzu. Lakini Bunge lisingetengua kanuni na kuwaingiza ndani ya ukumbi. Wangekaa tu kwenye gallery kama wageni wengine. Vinginevyo itaanza tabia ya kutengua kanuni. Tuache mizuka.
  5. Che Guevara

    Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

    Nimekikumbuka chama cha UNIP cha Zambia cha kina Keneth Kaunda. Hakipo kwa kuwa kilikubali kushindwa kwenye uchaguzi. Kingekuwa bado kinatawala kingekuwa sehemu ya shughuli hiyo kwani nacho kilikuwa chama cha ukombozi.
  6. Che Guevara

    Mzee Warioba: Siyo lazima Mbunge aitwe Mheshimiwa

    Ngoja tusahihishe kidogo. Wakati wa Nyerere akiwa rais hakuitwa Mtukufu, aliitwa Ndugu rais, au Mwalimu. Wabunge waliitwa Ndugu mbunge. Nadhani ni Mzee Mwinyi aliyekuja kuitwa Mtukufu. Wabunge nao wakapitisha hoja kuwa waitwe waheshimiwa.
  7. Che Guevara

    Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Nadhani sasa yeye na wengine wataelewa hii summary. Thanks mkuu Memento
  8. Che Guevara

    Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Mkuu Matola waambie hao wanaodhani kuwa maendeleo yao yataletwa na kugawa mikoa yao, wilaya zao, tarafa zao au kata zao, kwa maana ya kuzigawa na kuunda nyingi zaidi. Kinachotakiwa ni kuwa pesa zitumike kupeleka maendeleo maeneo yote, huduma za miundombinu ya barabara, elimu, maji, umeme na...
  9. Che Guevara

    Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Nchi masikini zinang'ang'ania kuongeza idadi ya mikoa au majimbo yao, haswa ili kukidhi matakwa na matamanio ya viongozi wa kisiasa. Gharama kubwa inaenda kwenye utawala. Huduma za jamii zinabaki nyuma. Nchi tajiri hazishughuliki na kugawa states/ landers/ counties au cantons zao. Zinahakikisha...
  10. Che Guevara

    Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

    Wasitambuliwe! Hawana faida zaidi ya kuendeleza na kuendekeza ukabila na ukanda. Walithaminiwa kutokana na ujinga wa zamani wa watawaliwa (subjects) wao. Hongera ziende kwa Baba wa taifa Mwalimu Nyerere kwa kuutupilia mbali upuuzi huu wa uchifu.
  11. Che Guevara

    Mzee Jakaya Kikwete kuhudhuria kikao cha maridhiano kati ya Rais Lungu na Rais Mteule Hichilema ni fundisho kwetu?

    Huko Zambia safari hii watangaza matokeo (huku kwetu ni wakurugenzi na tume) na pia mahakama zilikataa kuhalalisha haramu, wakatangaza ya kweli. Lungu alitawanya mpaka wanajeshi majimbo mbalimbali wakati wa uchaguzi na hasa baada ya uchaguzi mambo yalipoanza kumuendea mrama. Wakurugenzi, tume na...
  12. Che Guevara

    Kuna haja ya Wananchi kudai Kodi ikatwe kwenye Mishahara ya Wabunge

    Wakatwe kodi kwenye mishahara na posho. Wakatwe pesa ya kuchangia mifuko ya hifadhi ya jamii. Posho ya vikao iondolewe kwani wapo kazini. wabunge/Spika wasiwe na uwezo wa kujipangia kufanya vikao vya posho.
  13. Che Guevara

    Job Ndugai: Wabunge mkiikataa bajeti mmejivua Ubunge wenyewe kwa mujibu wa Katiba

    Si ndio alijiuliza vitu fulani (vyenye kasoro?) walivipishaje?
  14. Che Guevara

    Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

    Haina haja ya kuwepo. Ziendelee kupanuliwa za Dar, Tanga na Mtwara. Wanatumwa?????
  15. Che Guevara

    Kwanini Chato iwe Mkoa kutoka kwenye Mkoa mchanga wa Geita ulioundwa 2012?

    Chato ilikuwa kijiji ndani ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. Baadaye ikawa wilaya ikimegwa kutoka Biharamulo. Ulivyoundwa mkoa mpya wa Geita mwaka 2012 Chato ikawekwa mkoa huo mpya, ikiondolewa kutoka mkoa wa Kagera. Hakuna haja wala hoja kabisa ya kuanzisha mkoa mpya eneo hilo. Ni mtu...
  16. Che Guevara

    Rais Samia Suluhu akifanya kosa hili uongozi wake utakua mgumu sana

    Muacheni Rais Samia achague analoona ni chaguo bora. Litakalomsikiliza na kumsaidia katika majukumu, siyo litakalosikiliza 'wazee' ambao wakati wao ulishapita, walishaongoza zamani ilitosha. Walisahau nini ambacho wanataka kukirudia Ikulu?
  17. Che Guevara

    Kumbukizi ya maisha ya Maalim Seif imeandikwa na Profesa Ibrahim Haroun Lipumba

    Mtwara wanasema hi ni 'Kuntumia ntu maalufu kuelezea histolia yako ya usomi kidogo' Kwani mengi yanayoelezwa ni ya Ibra.
  18. Che Guevara

    Meghan Markle: Walikataa kumfanya Mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

    Kweli mkuu mkaliman Unajua hata Malkia wa sasa Elizabeth asingekuwa malkia wa Uingereza ila baba yake mkubwa Edward Albert (baadaye alikuja kuwa Mfalme Edward VIII) alijiuzulu ufalme baada ya kutawala kwa siku 326 tu kuanzia tarehe 20 Januari mpaka tarehe 11 Disemba mwaka huohuo 1936 ili naye...
  19. Che Guevara

    Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

    Nadhani hakuna kabila linalowakilisha jingine, mfano itamkwe kuwa vazi la Wagogo linawakilisha pia Wanyaturu, Wanyiramba au Warangi wakati si vazi lao. Pia mavazi ya Wamasai kuwakilisha Wachagga na Wapare wakati si mavazi yao. Pia umetumia kigezo kipi kugawa kanda? hakuna Kanda ya Ziwa wala...
  20. Che Guevara

    Uchaguzi 2020 CHADEMA inakuwaje mtu anagombea Kiti cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?

    Sofia Simba wakati akiwa mwenyekiti wa UWT alipendekeza kuwa mbunge wa viti maalum awakilishe miaka isiyozidi kumi (vipindi viwili), yaani agombee ubunge wa jimbo baada ya miaka mitano ya viti maalum na asiposhinda agombee tena jimbo baada ya miaka 10 ya viti maalum. Asiposhinda hapo basi...
Back
Top Bottom