Search results

  1. K

    Tatizo la uume kusinyaa baada ya kuvaa kondom limekua sugu

    Cheki saizi ya condom. Kama inabana mno lazima ngoma ikatae. Jaribu king size
  2. K

    Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Huyo ni chipukizi wa ccm, ajiunge na chama,chap!!🤣
  3. K

    Qualified Baker of Bread And Pastries/ Muoka Mikate na Keki

    Je wajua kutengeneza, keki aina mbalimbali na biskuti? Na unatafuta ajira? Tafadhali piga simu namba: 0621878809 ama tuma barua pepe :lediwa@gmail.com
  4. K

    Qualified Baker of Bread And Pastries/ Muoka Mikate na Keki

    Natafuta mtaalamu wa kuoka mikate ya aina mbalimbali, keki, biskuti , donut, maandazi. Awe na cheti kutoka Veta/ chuo cha utalii ama taasisi nyingine zinazotambulika. Mahala pa kazi ni Dar es Salaam, Kijitonyama. Awe tayari kufanya kazi kwa shifti- mchana ama usiku, na pia awe mbunifu...
  5. K

    TOYOTA RAV-4 brand new mpaka kufika Dar ikilipiwa ushuru na usafiri hugharimu zaidi ya Mil 120

    Whats the fuss? Na kwa nini ununue toyota mpya from UK wakti kuna toyota tanzania?!! Lukuvi hajapotosha...rav 4 2014 edition inauzwa usd 39,000 hapa toyota tanzania
  6. K

    Government Ban Job Recruitment Agencies!

    Mkuu naomba nikusahihishe... nielewavyo...kilishizuiwa sio recruitment process outsourcing BALI ni labour brokerage. kuna tofauti hapo. labour broker ni yule ambae mimi kama kampuni namwambia nahitaji assistant accountants 5, na yeye anawaajiri na kuwaleta kwangu mimi principal. in turn mimi...
  7. K

    Vacancy - Administrative Assistant -

    In a nutshell the incumbent will be responsible for: Providing administrative support to area sales managers and petrol stations to enable them in achieving their full potential of sales. Ensuring compliance of all statutory requirements...
  8. K

    Nafasi za Kazi (2) - Gapco Tanzania Limited - Field Engineer

    We are looking to hire on a contract basis 2 construction engineers to oversee or terminal modernisation project. the project is expected to last 1.5 years. the two candidates should have the following qualifications: Must be a mechanical or civil engineer with a minimum of 5 years experience...
  9. K

    nafasi ya kazi kwa mtaalamu wa kutengeneza keki/confectionery

    natafuta mtaalamu wa kutengeneza keki, donut, maandazi. mwajiri ni bekari binafsi ya saizi ya kazi ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikitengenea mikate peke yake na sasa inahitaji kujikita pia kwenye uokaji wa keki, donut, croissants na kadhalika. kama unafaa ama una ndugu au jamaa mwenye utaalamu...
  10. K

    Help Needed - Soil Analysis

    Nashukuru sana mdau. hao ukipitia kwao mzunguko mrefu. Nimeshapiga Wizarani, na pia Tanganyika farmers association hakukua na msaada wa maana. nahitaji very specific contacts hasa kwa mdau ambaye tayari ameshafanya hichi kitu ama anafahamu kwa uhakika wahusika.
  11. K

    Help Needed - Soil Analysis

    Wadau Nahitaji sana kupata contacts za taasisi au kampuni binafsi inayoshughulika na kufanya soil analysis. Nahitaji SOil Analysis kwenye kipisi changu cha arshi kabla ya kuanza shughuli za kilimo. Mwenye contacts naomba aweke hapa. Asanteni
  12. K

    Mwambalaswa naye pressure inapanda

    Kwani yeye mwenyewe alipataje huo ubunge?? Si aligawa mapesaa!! Sasa ashangaa nini fisadi wa chini chini
  13. K

    Pet Dog Puppies for Sale

    Kwa sasa hivi sina ndugu, ila ninafahamu mtu mwenye Belgian Shepherd kama una interest nikupe namba yake, nadhani alikuwa anauza USd 300
  14. K

    Pet Dog Puppies for Sale

    6 weeks old pet dog puppies for sale (small breed). parents are very well behaved and good for the family and kids. price - TShs 400,000. See attachment for pictures and contact details
  15. K

    Head of Sales & Sales People Needed!

    check and apply through: .:: Welcome To Gapco Website ::.
  16. K

    Kazi Katika Kampuni Ya Mafuta!

    Bofya .:: Welcome To Gapco Website ::. kujua nafasi gani zipo wazi
Back
Top Bottom