Search results

  1. AG.6851

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    WIRE TUN kwangu mpaka Sasa haijapata mpinzani. Na uzuri wake haina kikomo cha matumizi muhimu tuu uwe Connected!!
  2. AG.6851

    JamiiForums Usiku wa manane

    Njoo PM
  3. AG.6851

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Part Time Jobs-Simple Online jobs. Work From home. Bi-weekly Payments. We offer Genuine Extra Income from Home as Part Time jobs, Online Part Time Jobs, Online Data Entry Jobs, etc. Earn unlimited money from home. People who are interested in working from home can either work part-time or full...
  4. AG.6851

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TUNAOMBA KUBADILISHIWA TARIFF KUTOKA tarif 1 kwenda tarif 4. Umeme uliunganishwa toka mwezi wa 8 mwaka huu tukapewa Unit 50 na tukazilipia. Mpaka leo bado tunaendelea kutumia but zinakaribia kuisha. Bila shaka tutakuwa na vigezo vya kuwa tarif 4. MKOA: Mbeya WILAYA: Mbeya Jiji SIMU: 0653...
  5. AG.6851

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Bado sekunde chache uuzaji wa korosho ufungwee
  6. AG.6851

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
  7. AG.6851

    Nacte hawanitaki naomben ushauri..

    Pole Sana kwa yanayokukuta, usikate tamaa. Changamoto tunayokutana nayo wakati wa uchaguzi wa vyuo ni kutokuangalia idadi ya wanaohitajika, Applied so far, Available Slots, Muda wa kutuma maombi Na aina ya Kozi unayochagua. Aidha wengine kutaka kuchaguliwa kwenye vyuo vyenye Majina au...
  8. AG.6851

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji41]
  9. AG.6851

    Post a word starting with the last letter of the previous word

    Example Sent using Jamii Forums mobile app
  10. AG.6851

    Kangi Lugola yupo?

    Duuh! Mtu akiongea ni shida na akinyamaza ni shida Sasa lipi litakuwa sawa kwakooo!? Mwacheni Muheshimiwa apige kazi #Hapa_Kazi_Tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. AG.6851

    Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Hivi kwa Azam miereka ni chanel namba ngapi!?
  12. AG.6851

    Waziri Ndalichako: Michango ya hiyari shuleni inaruhusiwa

    Hata ile kauli ya "Nyie fyatueni tuu...." Ilidaiwa kueleweka vibaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. AG.6851

    Orodha ya mabasi mabovu nchini ambayo hushauriwi kuyapanda

    Moshi Luxury Coach ni Hovya kabsaaa! Kwanza ukiwa ndani ya gar Huoni nje. Vioo wameweka juuuu kama vile.... Mwanzo mpaka mwisho wa Safari huoni Barabara labda uangalizie kioo cha mbele au utoke nje ya bas. WALINIKERA SANA Pia hata wale wakuuza au kununua vitu madirishani hiyo fursa hakuna
Back
Top Bottom