Search results

  1. House Wife

    Nataka kuwa na uso soft jamani

    Lol hii kitu inasikitisha ila nimesoma post zote na nimecheka sana. Kwa kweli dunia imeisha na hivi nchi za wenzetu wanaanza kuhalalisha mambo ambayo yapo kinyume na maadili na Mungu mwisho waafrika na Watanzania wa dizaini hiyo nao wataomba haki zao zitambuliwe. Asprin uliyonena ni kweli mtupu...
  2. House Wife

    Hii sijawahi kukutana nayo - msaada jamani

    Mzizimkavu ametoa jibu.
  3. House Wife

    Hii sijawahi kukutana nayo - msaada jamani

    Wow unatisha daktari. Lol unatufunza mengi sana kwa kweli. Be blessed.
  4. House Wife

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Tutafanyia kazi kaka MziziMkavu tena naanza na mimi, hubby na bibi yangu mwenye matatizo ya figo. Vp kwa watotot ni salama?
  5. House Wife

    Nimepata mimba kutokea JF Doctor

    Hapana si za majuto sema nakuwa sijapanga kwa muda huo ama sijapumzika vya kutosha. Natumia condom but unaweza kuta zimeisha ndani na sidhani km yaweza kuwa sababu ya kunyimana. Nitakuwa mwangalifu zaidi ama niseme kwa sasa nipo makini kwa kweli. natumia njia njia ya asili na condom hayo madawa...
  6. House Wife

    Nimepata mimba kutokea JF Doctor

    ehe hv ehee basi ndio maana me nisipokuwa mwangalifu zinanasa kila cku. mh leo nimejua sababu pia. Well noted.
  7. House Wife

    Nimepata mimba kutokea JF Doctor

    Pole mpnz. I hope utapata. napenda tabasamu lako.
  8. House Wife

    Embu kachezeeni nje

    Ni joke tu wapendwa. hahahaha nimefurahi
  9. House Wife

    Tabia za wanaume zinawakwaza wanawake na kuwa kikwazo cha kukubali kuolewa nao!

    Naungana nawe 1-3 ila pia kuna uwezekano wa kumbadili lakini kwa lugha nyepesi na kumpa madhara na usitegemee iwe haraka na zaidi atakwambia napunguza zaidi ni Mungu atasaidia. Huwezi jua alianzaje na akifika huko ni tatizo tayari na laweza mtokea hata mwanamke so hapo ni msaada pia unahitajika...
  10. House Wife

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    Ni kweli yupo sahihi kabisa.
  11. House Wife

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    Kila mtu na Imani yake si vyema kulumbana. Hiyo ni imani yake na yako haipo hivyo.
  12. House Wife

    Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    karibu mpendwa. nimefurahi kuona umerudi tena. pole kwa kuuanza mwaka vibaya but i hope the rest will be salama kabisa.
  13. House Wife

    Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    Sijakuita babu ila yule aliyeku-mention.
  14. House Wife

    Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    hahahhaha but u wish to have one siku mija ama huyo kimada awe mke so watuhusu wote. Take maexperience b4 hujatinga ndani ujue rasmi unaingiaje ili usitamani na uwe makini kuchagua mwenzi wa maisha mwenye sifa zote ama almost zote unazotaka.
  15. House Wife

    Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    Hasa babu Asprin tena ukimwita ananunaje. Ila me sijawaita
  16. House Wife

    Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    I will take this. Thank u.
Back
Top Bottom