Search results

  1. Lee

    Fally Ipupa album "Formulae 7"

    Wale wapenzi wa rhumba hasa wa fally Ipupa ,album yake yenye nyimbo zaidi 30 inapatikana kwenye disc 3 Baada ya kuisikiliza hakuna ata wimbo wa kuskip Hizi hapa ni nyimbo zinazopatikana kwenye hii album 1– Formule 7 2. – Éternité 3. – Centième dossier 4. – Mal accompagné 5. – Bakalos 6...
  2. Lee

    Kero: TAZARA (MFUGALE FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  3. Lee

    USSD PROBLEM, kwenye sumsung Z ford 2

    Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya Samsung Galaxy Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza ghafla ...
  4. Lee

    Msaada: Majibu ya vipimo vya UTI kufotautiana ndani ya lisaa limoja nini tatizo

    Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
  5. Lee

    Simba sc yaingia dili nono na Africarriers ltd

    CEO wa simba anazidi kuchanja mbuga na kuonesha umahiri wake katika kufikia mafanikio ya timu kwani leo simba imeingia mkataba wa milion 800 na wababe wa wauzaji wa magari Tanzania ambao utawanufaisha simba sc kupata mabasi 3 yenye hadhi ya kibingwa (GOLDEN DRAGON NEW MODEL) , baada ya...
  6. Lee

    Simba yazindua Simba App

    Mkutano unaoendelea mda huu wa simba ni uzinduzi wa simba App ambapo kwa maelezo ya afisa habari wa simba amedai ni application ya kwanza japo kama sikosei mtani huwa anayo hii platform. Inaelezwa kuwa kupitia App hii utapata Matokeo ya mechi Taarifa mbalimbali za club Usajili Mechi live hii...
  7. Lee

    Mpira (football) ni Mchezo wa hisia , Je ni kweli Uchawi upo kwenye mpira wa miguu?

    Mpira wa miguu kwa miongo kazaa umeteka mashabiki duniani kote kila mtu kuwa mshabiki na mpenzi wa timu flani ,kwa Tanzania huwezi kuzungumzia mpira bila kuzitaja Simba na Yanga ni club kongwe na zenye mafanikio ukiringanisha ni timu nyingine nchini Kitu ambacho huwa sikiamini mpaka leo ni juu...
  8. Lee

    Special Thread: Best Turkish series & movies

    Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake 1. ARIZA 2. Tesklat 3. Zemheri 4. Sol yanim Ongezea list wale wapenzi...
  9. Lee

    Bodi ya Ligi yatoa tamko kuhusu sakata la mechi ya Simba na Yanga

    Kile kilichotokea Jumamosi ya tarehe 8 na kauacha sintofahamu mpaka mda huu idara husika zinazidi kuchanganya wapenda kabumbu kwani TFF wanadai ilipokea taarifa kutoka bodi ya ligi leo hii bodi ya ligi inadai TFF, tusubirie kikao cha leo.
  10. Lee

    Kuelekea mechi ya watani wa jadi, kipi unakikumbuka katika historia ya Klabu hizi?

    SIMBA na YANGA ni timu zenye historia kubwa katika mpira wetu wa Tanzania tokea kuanzishwa kwake mpaka muda huu japo yawezekana historia ya klabu hizi haiendani na maendeleo ya hizi timu kwa ujumla Kwa miaka ya hivi karibuni SIMBA zamani ikijulikana kama SUNDERLAND wazee wa lunyasi , wazee wa...
  11. Lee

    Msaada: Half engine Nissan Hardbody

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania, Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu muhimu iwe jiji mwetu humu la joto. Asanteni.
  12. Lee

    Nini hatima ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya utambulisho wa Super Cup?

    Wanabodi wapenda michezo kuamkia siku ya leo majarida mengi ya michezo duniani kote yameandika ujio wa supercup kwa baadhi ya timu za ulaya. Ujio huu wa supercup unakuwa tishio kwa ligi zingine ulaya hasa hii kubwa tuliyoizoea ya UEFA , na kwa kuzingatia mshindi na mgawo wa haya mashindano ni...
  13. Lee

    NBA 2020 / 2021 special thread

    Kutokana na janga la covid kuendelea kusumbua sekta mbalimbali hata mwaka huu kwa wapenzi wa NBA mechi zitakuwa chache kulinganisha na misimu iliyopita Tupeane news and updates kwa msibu huu ambao ulianza mwishoni mwa mwaka 2020
  14. Lee

    Watumiaji wa king'amuzi cha Canal Plus, tupeane updates za matangazo ya mpira

    Habari wanajamvi ,wale wapenzi na watumiaji wa ving'amuzi vya canal plus tukutane hapa na kupeana updates hasa kuhusu matangazo na ratiba yao ya mpira na vipindi vingine. Leo taifa stars inacheza CHAN na wanarusha sport 1.
  15. Lee

    Wale wapenzi wa magari ya Muingereza "Spea zake "

    Wakuu kwa wale wapenzi wa magari tofauti na ya kijapani kumekuwa changamoto za upatikanaki wa spea zake ukilinganisha na magari ya kijapani , tupeane location wapi pa kuzipata hasa kwa wenyeji wa Dar es Salaam Mfano nina uhitaji wa engine mount za Mini Cooper 1.
  16. Lee

    Ufafanuzi juu ya mgawo wa dolla laki moja kutoka Caf

    Baada ya maneno mengi kuzungumzwa kuhusu mgawo wa pesa kutoka caf kwenda tff ,hatimae shirikisho limetolea ufafanuzi
  17. Lee

    Uchaguzi 2020 Nitapiga kura Oktoba 28, Wewe je?

    Kumekuwa nadharia kuwa watu wengi tunaoshinda mitandaoni aka wazee wa keyboard hatuna muda wa kwenda kupangana na mistari kwa ajili ya kuchagua viongozi wetu wawe wapinzani wawe chama tawala, msimu huu unaweza kuwa tofauti make vijana /ata kama sio vijana tutatimiza wajibu wetu wa kikatiba...
  18. Lee

    Msaada: Naomba kujuzwa matumizi ya Chassis Number

    Wakuu salaam na heri ya Jumapili, Naomba kueleweshwa juu ya matumizi ya chassis number kwenye magari pale ambapo unakuwa hujapata plate number ya gari husika /japo siku hizi watu wengine wanakuwa na plate number tayari ila wanatumia plate number za chassis tofauti na T. Shukrani
  19. Lee

    Msaada "oil filter ya Toyota crown royal

    Wanajamvi naombeni kujuzwa oil filter ya gari tajwa hapo juu ipo sehemu gani make mda wa kufanya service na nataka nimalizane nalo hakuna cha fundi
  20. Lee

    Inayat Kassam aliyepambana kuokoa raia katika mashambulio mawili ya kigaidi nchini Kenya(Westgate na Riverside) ni nani?

    Salaam wakuu , kwanza wenzetu majirani poleni ila napenda kujua kwa undani huyu mtu wa kuitwa Inayat Kassam ambaye alitrend sana kwenye kuokoa watu kipindi cha shambulio la Westgate 2013 na tukio la jana kuna picha zinasambaa akiokoa watu Nawasilisha
Back
Top Bottom