Search results

  1. M

    Hazina SACCOS

    Habari wana jamvi. Nilikuwa kwenye pita pita yangu mtandaoni kuhusiana na mikopo, nikakutana na Hazina Saccos Tanzania. Miongoni mwa vitu vilivyonivutia ni pamoja na riba ndogo walizoziweka. Lakini nikajiuliza maswali yafuatayo: 1. Je huwa wanatoa mikopo kwa wakati? Yaani inachukuwa muda gani...
  2. M

    Mbao zinazotoka Afrika Kusini ni imara kwenye samani?

    Msaada wana jamvi, Ninataka kununua kabati la vyombo, sasa nimeenda kwa fundi nikakuta kabati kama yale ya kichina lakini siyo ya kichina, fundi akasema ni makabati yaliyotengenezwa kwa mbao zinazotoka South Afrika. Mimi nilikuwa nataka kabati za mbao za kawaida kwa sababu ya uimara wake...
  3. M

    Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Habari wanajamvi, Kutokana na hali ya uwepo wa watoto wengi wa nje ya ndoa hivi karibuni, nimeona niulize maswali yafuatayo humu jamvini ili tupate maoni, ushauri na uzoefu juu ya suala hili. Je, ni busara kwa mtu kuoa au kuolewa na mtu aliyezaa na mtu mwingine? Je, ukioa au kuolewa naye...
  4. M

    Msaada juu ya biashara ya burger

    Wasalaam Wanajf, Ninatamani nifanye biashara ya burger sasa nimejiuliza maswali yafuatayo: Inabidi uwe na mtaji wa kiasi gani (kwa kuanzia)? Ni vitu gani vinavyohitajika? Risk za biashara hii ni zipi? Natanguliza shukrani!
  5. M

    Hodi

    Hodi wanajamvi, Nimekuwa nikiangalia jamii forums kama guest lakini nilikuwa sina uwezo wa kupost na kucomment. Nimejiunga kwa hiyo ninauwezo sasa wa kupost na kuchangia mada. Naombeni mnipokee.
Back
Top Bottom