Lipeni deni.
Siyo kwa vile serikali imesema. Ni wajibu wako kulipa. Hakuna cha wakati wa cost-sharing wala sijui wakati wa bodi ya mikopo. Ulisaini mkataba wa mkopo na ukaahidi kuanza kulipa miezi 12 baada ya kumaliza masomo. Sasa kelele za nini?
Na huyo anayesema mbona wagonjwa hawadaiwi...
Mzalendo Sanctus,
Usipoteze muda wako adimu hapa. Wewe endelea na mikakati yako. Mwishowe nawe utaonekana "kichaa". Kaa chonjo.
Ni ushauri tu. Ila kama unao muda wa kupoteza hapa, basi endelea kujibu ....
Labda umzuie asigombee kupitia chama chako mwenyewe, lakini kwa CCM, ni sawa na kupoteza muda bure kujadili kupitishwa ama kutopitishwa kwake kugombea urais. Na haya mawazo yanaonyesha jinsi gani hii nchi itaendelea kuwa chini ya CCM kwa miaka mingi ijayo, maana kama ni kiongozi bora anaweza...
Safari zipi zilizoifanya FoE na sasa CoET idumae kwa miongo karibu minne tangu ianzishwe. Tusitafute majibu mepesi kwa maswali magumu. Hii ni issue siyo kwa serikali tu, hata kwa hivi vyuo vyenyewe. Kama tukiwategemea wanasiasa ndiyo watufanyie kila kitu, nakuhakikishia hatutafika popote. Ni...
Hapo nahisi wahusika ni KENYA na NATO. Kaaazi kweli kweli!!
Ngoja tujue kwenye mawasiliano yake ya simu watagundua ni akina nani amekuwa akiwasiliana nao hivi karibuni. ...
This is the way to go CoET. Msisikilize siasa hizi zisizokuwa na kichwa wala miguu ... Miongo karibu minne ya uhai wenu, mngekuwa na maono ya mbali msingekuwa mnatega bakuli leo hii ... Sasa hii isiwe zimamoto ... mkifanikiwa, basi iwe ni endelevu.
Sahau kuhusu government. Kuna wale...
Wakihudhuria ama wakisusa inatusaidia nini kama Taifa? Rais Karume hakuhudhuria baadhi ya matukio ya kitaifa, kelele nyiiingi. Jana kahudhuria, sijui kama Taifa tumefaidika vipi na kuwepo kwake. Sasa naona tunaanza kutafuta ni nani kakosekana kwenye tukio hilo .... kwani imeandikwa wapi kwamba...
Na haya mashirika yaliyobaki mikononi mwa umma ni bora yakabinafsishwa kabisa maana hakuna cha maana kinachoendelea huko. Cha msingi ni kuhakikisha kwamba hayabinafsishwi kifisadi.
Pili, nadhani haya mambo ya kulipana mshahara mwisho wa mwezi bila kuangalia ufanisi wa mtumishi katika kipindi...
Hii ripoti .... Time will tell ....
Sitashangaa UN yenyewe (... namaanisha UN yenyewe) ikaikana ripoti hii na ikabaki ni ripoti ya watu binafsi ....
tuwe na subira ...
Ukiisoma hii ripoti, ukairudia na kutafakari kwa kina ..... kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa mambo, basi hii ripoti unaweza kupata chanzo chake hasa .... time will tell
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.